$ 0 0 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiagana na Makamu Wakuu wa Vyuo Vikuu vya Jamhuri ya Watu wa China baada ya kuzungumza nao, Ofisini kwake jijini Dar es salaam May 25, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)