Waziri wa Uvuvi na maendeleo ya mifugo Dr.Mathayo David Mathayo (katikati) akitembelea eneo la nje la machinjio ya nyama jijini Arusha wakati alipofanya ziara ya kutembelea machinjio hayo na kuona kazi zinavyofanywa.
Waziri wa Uvuvi na Maendeleo ya Mifugo,Dk. David Mathayo David (kulia) akiangaliwa mandhali ya ndani kwenye ya machinjio ya nyama jijini Arusha wakati alipofanya ziara ya kutembelea machinjio hayo na kuona kazi zinavyofanywa,ambapo aliwaahidi wahusika wa machinjia hayo kuwa watazuia nyama zote zinazotoka nchi za nje ili soko la nyama hapa nchini likuwe.
Waziri wa Uvuvi na Maendeleo ya Mifugo, Dk. David Mathayo David (wa pili kulia) akisikiliza maelekezo kutoka kwa Meneja wa Machinjio ya nyama jijini Arusha,Fabian Kisingi wakati alipofanya ziara ya kutembelea machinjio hayo na kuona kazi zinazofanywa,ambapo aliwaahidi wahusika wa machinjia hayo kuwa watazuia nyama zote zinazotoka nchi za nje ili soko la nyama hapa nchini likuwe.Picha na Woinde Shizza,Globu ya Jamii-Arusha.