Prof Yash Ghai kutoka Kenya akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa kamati maalum ya katiba ya kituo cha sheria na haki za binadamu.
wanakamati wakisikiliza salamu za ukaribisho na ufunguzi kutoka kwa Mkurugenzi wa Maboresho na Ushawishi wa Kituo cha sheria na Haki za Binadamu,wakili Harold Sungusia.
Wanakamati wakipiga makofi kushangilia uzinduzi huo rasmi wa kamati maalum ya katiba ya kituo cha sheria na haki za binadamu.
Baadhi ya wanakamati wakiwa nje ya ofisi za Kituo cha sheria na haki za binadamu.