Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Viewing all 119995 articles
Browse latest View live

United States supports efforts to combat child labor

$
0
0
On April 9, 2014, U.S. Chargé d’Affaires a.i. Virginia Blaser, Minister of Labor and Employment Gaudensia Kabaka and the Director of ILO Tanzania Country Office Alexio Musindo participated in a Child Labor conference organized by the U.S. Embassy Dar es Salaam and attended by representatives of the Government of Tanzania, Trade Unions and NGO community at ILO offices in Dar es Salaam. 
 The conference was held under the theme “Working Together to Combat Child Labor,” and focused on a recommitment by various stakeholders to efforts to combat child labor. Attendees agreed that the problem of child labor threatens not only to children involved, but also the future of Tanzania as it places children in unhealthy and dangerous environments and threatens their reaching their full potential as educated, healthy and productive citizens. 
They also realized that they need to enhance their cooperation and coordination of their activities in order to combat the problem more effectively. In this regard the stakeholders committed themselves to use the National Action Plan on Child Labor as a guiding framework for concerted efforts to combat child labor. 
 Highlighting the importance of the occasion, Chargé d’Affaires Blaser said combating child labor is crucial worldwide, but especially in developing countries. She noted that “Tanzania is a young country. Sixty-four percent of the population is under twenty-four years of age, and almost half of all Tanzanians are younger than fifteen. These children are the future of Tanzania, and require care, security and investment to reach their full potential. They will be your doctors, nurses and scientists. Your judges and lawyers, and police officers. Your priests, pastors and imams. Your ministers, parliamentarians and presidents. They will be the future leaders of this great nation”. Chargé d’Affaires Blaser reiterated the United States’ commitment to combating child labor in Tanzania was part of a continuum of efforts to improve the lives of children and their parents. 
 “We treat and combat HIV and AIDS through the President’s Emergency Plan for AIDS Relief; we improve farming techniques and access to markets through our Feed the Future and Partnership for Growth initiatives; and we improve access to power and economic opportunity through our Power Africa and Trade Africa initiatives. 
 A key part of our plan for child labor is eliminating the economic need to exploit children in the first place,” she said. 
 The Government of United States has formed key partnerships with the Government of Tanzania, the International Rescue Committee (IRC), and the International Labor Organization (ILO) to specifically address the problem of child labor. 
 In February 2013, the U.S. government awarded the IRC a $10 million grant through the Department of Labor for the Wezesha Ustawi, Endeleza Kiwango cha Elimu kwa Kuzuia Ajira kwa Watoto (WEKEZA) project. 
 WEKEZA currently operates in six districts across the regions of Tanga and Kigoma, and has a goal of reaching over 15 thousand children and their families. WEKEZA offers children school vouchers and scholarships to increase their access to education. 
 For economically vulnerable families, the program also provides job and financial management training. Finally, WEKEZA works with government officials to increase local capacity to recognize, aggressively investigate, and actively prevent child labor.
United States Chargé d’Affaires a.i. Virginia Blaser (right) addressing a conference on Child Labor in Tanzania held at ILO offices in Dar es Salaam yesterday.  The conference, titled “Working Together to Combat Child Labor,” brought together representatives of government ministries, non-governmental organizations, trade unions and other stakeholders engaged in efforts to combat child labor in Tanzania, and to deliberate on ways to better cooperate and coordinate their efforts.  Also in attendance were the Deputy Permanent Secretary in the President's Office, Public Service Management Mr. Eric F. Shitindi (2nd left) and the Director of International Labor Organization (ILO) Tanzania Country Office Alexio Musindo (3rd left).

WAZIRI MKUU,MIZENGO PINDA AKABIDHI FEDHA ZA RUZUKU KWA WACHIMBAJI WADOGO WADOGO,MJINI DODOMA

$
0
0
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimkabidhi Bw. Juma Digalu wa Kampuni ya Uchimbaji Mdini ya Mwalazi, hudndi ya Dola za Marekani 50,000 akiwa ni mmoja ni mmoja wa wachimbaji madini wadogowadogo waliopatiwa ruzuku na serikali kupitia Benki ya TIB. Hafla ya kukabidhi hundi hizo ilifnyika kwenye Chuo cha Madini cha Dodoma Aprili 9, 2014. Kushoto ni Waziri wa Nisahati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo na Wapili kulia ni Naibu Waziri wa Wizara ya Nishati na Madini, Stephen Masele na Kulia ni Mkurugeni wa Benki ya TIB, Peter Noni.
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akiagana na Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter muhongo (katikati) na Mkurugenzi wa Benki ya TIB, Peter Noni (kulia) baada ya kukabidhi fedha za ruzuku kwa wachimbaji wadogowadogo zilizotolewa na Serikali kupitia Benki ya TIB . Makabidhiano ya hundi za fedha hizo yalifanyika kwenye Chuo cha Madini mjini Dodoma Aprili 9, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

NYUMBA ya kupanga mjini Iringa inahitajika haraka

$
0
0
NYUMBA ya kupanga mjini Iringa inahitajika haraka sana. 
Sifa zake ni vyumba viwili na sebule kimoja. Chumba kimoja kiwe masta. Ama chumba kimoja Masta na sebule Nyumba iwe kati ya Wilolesi , Lugalo, Kihesa , Gangilonga , Ilala , Makorongoni ama Mshindo 
 Kodi yake isizidi zaidi ya 150,000 kwa mwezi mteja anataka kulipa kodi ya miezi mitatu kwa mara moja.
   Angalizo: hatuhitaji dalali tunataka mwenye nyumba mwenyewe kuwasiliana nasi.
   kama una nyumba yenye sifa hizo wasiliana kwa namba 0754 026 299

Miss Tabata kutambulishwa Pasaka Da West PARK

$
0
0
Warembo watakaoshiriki kwenye kinyang’anyiro cha kusaka malkia wa Tabata, Redds Miss Tabata 2014, watatambulishwa siku ya sikukuu Pasaka katika ukumbi wa Da West Park, Tabata. 
Mratibu wa shindano hilo Joseph Kapinga amesema jana kuwa utambulisho huo utaenda sambamba na uzinduzi wa Miss Tabata 2014. Kapinga alisema kuwa wapenzi wa urembo watapata fursa ya kuwaona warembo hao siku hiyo kabla ya kushiriki kwenye shindano la Redds Miss Tabata ambalo limepangwa kufanyika mwishoni wa mwezi ujao. 
Katika uzinduzi huo warembo hao watasindikizwa na washiriki wenzao wa Miss Mzizima na Miss Ukonga. 
Pia watakuwepo viongozi waandamizi kutoka kamati ya Miss Tanzania ikiongozwa na Hashim Lundenga na Redds Miss Tanzania Happiness Watimanywa. 
Kapinga alisema washiriki 21 wanaendelea na mazoezi ya Miss Tabata kila siku katika ukumbi wa Da West Park chini ya wakufunzi watatu - Neema Chaki, Pasilida Bandari na Bokilo. 
Warembo hao ni Esther Frank Kiwambo (20), Jemima Huruma Mawole (22), Badra S. Karuta (20), Mercy Mathias Kazula (19), Lydia Charles (22), Agnes Tarimo (18), Agnes Alex (20), Catrina Lawrence Idfonsi (20), Nuru Omary Athumani (19) na Happyclarrice Wilson Mbahi (19). 
Wengine ni Annatolia Raphael (21), Mary Henry (21), Evodia Peter (22), Fatma Hussein Ismail (20), Ester Wilson Mbayi (20), Ambasia Lucy Mally (22), Faudhia Hamisi (21), Najma Charles Mareges (19), Lightnes Olomi (18), Husna Ibrahim (19) na Ramta Mkadara (20). 
Warembo watano kutoka Tabata watashiriki kwenye shindano la kanda ya Ilala, Miss Ilala baadaye mwaka huu. 
Mrembo anayeshikilia taji la Miss Tabata ni Noela Dorice Mollel ni Redds Miss Ilala. Miss Tabata inaandaliwa na Bob Entertainment na Keen Arts.

MAFUNZO JUU YA MKATABA WA UMOJA WA MATAIFA KWA WATU WENYE ULEMAVU-IFAKARA KILOMBERO

$
0
0
Na Henry Bernard Mwakifuna, Ifakara-Kilombero

Watu wenye Ulemavu nchini Tanzania wametakiwa kushiriki katika mambo mbalimbali ya kimaendeleo kwa muuujibu wa Uwezo wao.

Akizungumza katika Warsha ya Siku mbili iliyofanyika Mjini Ifakara Wilayani Kilombero hivi karibuni Mwenyekiti wa Chama cha Wasioona (TLB) Taifa Mwalimu Greyson Mlanga amesema kuwa ni vyema watu wenye Ulemavu wakashiriki katika shughuli hizo ili kusaidia Jamiii kuondokana na Dhana ya kuwa Walemavu ni watu omba omba.

Mwenyekiti huyo amesema kuwa ushirikiano wa Vyama vya Watu wenye Ulemavu ndiyo njia pekee ya kujikwamua katika maisha huku akisisitiza upatikananji wa Takwimu sahihi za Watu wenye Ulemavu ili ziweze kusaidia maendeleo ya Watu wenye Ulemavu.

Katika Mafunzo hayo yaliyoshirikisha wadau mbalimbali wakiwemo Madiwani, Watendaji na Wawakilishi wa Vyama vya Watu wenye Ulemavu, Mwenyekiti huyo alielezea umuhimu wa kupata Elimu na kujua Haki za Watu wenye Ulemavu.

Mafunzo hayo yaliyoandaliwa na Chama cha Wasioona (TLB) Wilaya ya Kilombero yameshirikisha Wadau kutoka Kata za Ifakara, Kibaoni, Kiberege na Kisawasawa yalifadhiliwa na Taasisi ya Foundation for Civil Society.
SAM_0523
Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Wasioona (TLB) Mwalimu Greyson Mlanga(aliyesimama) akitoa somo juu ya Warsha ya Siku mbili ya Mkatabawa Umoja wa Mataifa Kwa Watu Wenye Ulemavu Mjini Ifakara hivi karibuni. Kushoto ni Mwenyekiti wa Chama Hicho Wilaya ya Kilombero Maria Faya na Kulia ni Mwalimu Janet Kalalu, Mratibu wa Chama Wilaya.
SAM_0515
Viongozi wa TLB Taifa Wakiungana na Viongozi wa TLB Wilaya ya Kilombero katika kuimba Wimbo wa Haki za Binadamu katika Mafunzo ya Siku Mbili yaliyowakutanisha Wadau mbalimbali, Vyama vya Watu Wenye Ulemavu Wilaya ya Kilombero, uliofanyika hivi karibuni Mjini Ifakara. Kutoka Kushoto ni Maria Faya, Mwenyekiti wa TLB Wilaya ya Kilombero Maria Faya, Mwalimu Robert Bundala,Makamu Mwenyekiti Wasioona Taifa, Mwenyekiti wasiona Taifa Mwalimu Greyson Mlanga na Mratibu wa Wasioona Wilaya ya Kilombero Mwalimu Janet Kalalu.
SAM_0541
Washiriki wa Mafunzo ya Siku Mbili ya Mkataba wa Umoja wa Mataifa Juu ya Watu Wenye Ulemavu wakiwa kwenye Picha ya pamoja na Viongozi wa Taifa wa Chama cha Wasiona (TLB) Mjini Ifakara Hivi karibuni.(PICHA ZOTE KWA HISANI YA HENRY BERNARD MWAKIFUNA WA IFAKARA).

ubunifu uliotukuka mkoani iringa

$
0
0
Kenny Mwangoka akiendesha gari hilo ambalo bodi lake limetengenezwa kwa mbao

Kenny Mwangoka akifungua mlango wa nyuma wa gari hilo akionesha umadhubuti wa bori lake

Mwanahabari huyu Oliva Motto wa Star TV hakuamini kama kilichounda bodi ya gari hilo ni mbao mpaka alipogusa na kujiridhisha

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi Peter Tweve akimpongeza Mwangoka kwa ubinifu huo

Na Francis Godwin, Iringa

Amini usiamin. Bodi la gari hili aina ya Hiace lenye namba za usajili T921 BME limetengenezwa kwa mbao aina ya mlingoti na pine. Linamilikiwa na mvunaji na mfanyabishara wa mbao wa Nyololo, Mafinga, mkoani Iringa Bw.Kenny Mwangoka.

Mwangoka alilinunua gari hilo lililokuwa linamilikiwa na mission ya kanisa katoliki Mafinga baada ya kupata ajali na kuharibika vibaya. Jitihada zake za kulifufua gari hilo kwa kuvisha bodi mpya hazikuzaa matunda na ndipo alipotumia ubunifu huu.

"Mimi mwenyewe ni fundi wa magari, kwahiyo kazi ya kuunda na kuvisha bodi hili la mbao nilifanya mwenyewe," anasema, na kuongeza kuwa baada ya matengenezo hayo gari hilo limekuwa kivutio kikubwa sehemu mbalimbali anazopita nalo.

"Sasa nalitumia kuhamasisha utalii, hasa utalii wa mazingira nikiwa na maana kwamba tukiyatunza mazingira yatatufaa kwa mambo mengi ikiwa ni pamoja na matengenezo ya magari kama hili langu," anasema, na kuongeza kuwa  atalipeleka kwenye maonesho ya nanenane mwaka huu kama moja ya njia za kuhamasisha upandaji wa miti. 

yale yale...kizungumkuti cha chuma chakavu mombasa

kamati za bunge maalum la katiba zaanza kukabidhi ripoti

$
0
0
 Profesa  Nehemia Ossoro (wa tatu kulkia) ambaye ni mwataaluma  aliyeko  Taasisi ya Utafiti ya Umoja wa  Vyuo Vikuu vya Afrika ya Mashariki na Kusini  (ESAURP akifafanua kuhusu suala la gharama ya serikali tatu(shirikishi) leo  kutokana kuwa haina vyanzo vya mapato kwa Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe Samia Suluhu Hassan, ambaye hayupo pichani.
 Mwenyekiti wa Kamati namba tisa ya Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Kidawa Hamid Salehe( kulia)akimkabidhi Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe Samia Suluhu Hassan(kushoto).
 Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe Samia Suluhu Hassan (kushoto) akimsikiliza Profesa Ted  Mariyamkono(kulia), ambaye ni Mtendaji Mkuu wa  Taasisi ya Utafiti ya Umoja wa  Vyuo Vikuu vya Afrika ya Mashariki na Kusini  (ESAURP) wakati akitoa maelezo juu ya kitabu cha KATIBA  BORA  TANZANIA , maalum kwa wajumbe wa Bunge hilo  ili kusaidia mchakato wa Katiba mpya ,
Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe Samia Suluhu Hassan(kushoto) akipokea kitabu cha KATIBA BORA TANZANIA  kutoka kwa Profesa Ted  Mariyamkono(kulia) ambacho kimetayarishwa na wanataaluma 100 kutoka Taasisi ya Utafiti ya  Umoja wa Vyuo Vikuu vya Afrika ya Mashariki na Kusini (ESAURP) kwenye ukumbi wa mikutano wa ofisi za Bunge Mjini Dodoma leo kitakachosaidia kwenye mchakato wa Katiba mpya.

WATUMIWA SUGU WA KUCHAKACHUA VIROBA VYA KONYAGI WASHINDWA DHAMANA NA KURUDISHWA RUMANDE.

$
0
0
MAHAKAMA ya hakimu mkazi Moshi, leo imefurika mamia ya wananchi waliokwenda kushuhudia watuhumiwa sugu wa utengenezaji wa konyagi feki na bidhaa nyingine mbalimbali na kuzibandika nembo za TRA ambayo inadiwa kudhuru maelfu ya watanzania. 
 Hata hivyo mahakama ya mkazi moshi imewaachia kwa dhamana watuhumiwa hao nane ambao wanakabiliwa na tuhuma za kutumia alama za biashara za makampuni mengine kwa nia ya kutapeli.na kujipatia pesa kinyume cha utaratibu. 
 Watuhumiwa hao ni Yusuph George, Richard Leonard, Preygod Urassa, Mohamed Rashid, Greyson Jonathan, George Kisivani, Hagai Nelson na Jackson Shayo, ambao wanatuhumiwa kwa pamoja kwa kutumia kwa nia ya kutapeli alama ya biashara ya Konyagi kinyume cha sheria huku wakijua wazi ya kuwa alama hiyo ni ya kibiashara ya halali ya kampuni ya Tanzania Distilleries Limited. 
 Watuhumiwa hawa wana kesi mbalimbali ikiwemo ile ya kutumia nyaraka za mamlaka ya mapato nchini TRA ikiwemo mihuri yenye namba za kodi ya mapato jambo ambalo linadaiwa kuikosesha serikali mapato mengi. 
Wakili wa serikali Julius Semali ameiambia mahakama ya mkazi Moshi kuwa watuhumiwa hao ni hatari na kwamba wanakabiliwa na kesi za namna hiyo maeneo mbalimbali hapa nchini. Singida wana kesi ya namna hii na ambayo itaendelea tena Aprili 30, 2014, Ilala wanatafutwa na polisi kwa kukutwa na nyaraka za TRA wakati Arusha wanatafutwa kwa kukiuka dhamana na kutoroka mwaka 2012. 
 Pamoja na kupewa dhamana kwenye kesi hiyo huko Moshi, bado hakimu aliamuru warudishwe rumande kwa kushindwa kutimiza masharti ya dhamana. 
 Kesi hii imevutia wammia ya wakazi ambapo miongoni mwao ambao ni wafanyabiashara za mabaa wametoa wito kwa wananchi kuepuka kunywa konyagi vichochoroni kutokana na madhara ambayo wameshapata watu wengi.
Watuhumiwa wa Kuchakakachua bidhaa za kampuni mbalimbali wakisindikiwa mahakamani kujibu tuhuma zao leo mida hii katika mahakama ya mjini Moshi Tanzania


Picha kwa hisani ya Mtandao wa prhabari.blogspot.com

mkali wao katika swala zima la kupigilia

$
0
0
 Kamera ya Globu ya Jamii hivi karibuni ilimnasa mdau huyu akiwa amepigia vitu vyake adimu kama anavyoonekana.

MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA YATOA TAHADHARI DHIDI YA UHALIFU UNAOFANYWA KUTUMIA SIMU ZA MKONONI

$
0
0

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), kwa kuzingatia kifungu 5 (b) na (e) cha Sheria ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania ya 2003 inatoa tahadhari kwa watumiaji wa huduma za mawasiliano, wananchi na umma kwa ujumla kujihadhari na utapeli unaofanywa kwa kutumia simu za mkononi na mtandao wa intaneti kama ifuatavyo:

1. Usimpe mtu yeyote usiyemfahamu vizuri simu yako au kadi yako ya simu ili atumie.

2. Usitoe maelezo yoyote kuhusu namba yako ya simu au taarifa za binafsi kwa mtu yeyote anayekupigia simu kutaka taarifa hizo.

3. Usijibu ujumbe wa simu unaohusiana na fedha zako hata kama namba iliyotuma unaifahamu.

4. Usitekeleze maagizo yoyote yanayohusu fedha kwa ujumbe wa maandishi hata kama yanatoka kwenye namba ya mtu unayemfahamu. Mpigie aliyekutumia ujumbe uzungumze naye.

5. Usitekeleze maagizo yoyote kutokana na ujumbe wa simu za mkononi unaokutaka kutuma fedha kutoka namba ambayo mtumiaji wake unamfahamu na ambao unakueleza kwamba simu yake ina hitilafu hivyo hawezi kuongea, usitekeleze maagizo hayo.

6. Ukipata ujumbe kwamba umepokea fedha kwa njia ya simu, mpigie aliyekutumia na usitoe pesa hizo hadi uthibitishe kwamba zimetumwa kwa nia njema.

7. Weka njia za kuthibitisha taarifa kabla ya kufanya miamala ya kifedha kutumia simu ya mkononi.

8. Ukipigiwa simu na mtu yeyote kuhusu masuala ya fedha, hata kama unadhani unamfahamu mtu huyo; mpigie tena kwa namba yake unayoijua ili kuhakikisha kwamba ni yeye.

9. Iwapo unafanya biashara ya huduma za simu hakikisha kwamba simu unayoitumia kwa miamala ya kifedha ni tofauti na unayotumia kwa shughuli nyingine na hakikisha simu hiyo haitumiwi na mtu mwingine

10. Tumia namba ya siri ambayo sio rahisi mtu mwingine kukisia.

11. Usitoe namba zako za siri unazotumia kwa huduma

12. Thibitisha na hakiki namba ya mtu unayemtumia pesa au salio kabla ya kutuma

13. Ukipoteza simu au laini yako ya simu toa taarifa kwa mtoa huduma wako na Polisi mara moja.

14. Ukifanyiwa uhalifu ambapo simu au mtandao umetumika kufanyia uhalifu huo hilo nikosa la jinai. Toa taarifa Polisi ili wahalifu wasakwe na wafikishwe kwenye vyombo vya sheria.

15. Usipopata ushirikiano wa kutosha kwa mtoa huduma wako katika kutatua tatizo lako wasilisha malalamiko yako Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania. 

Unaweza kuwasilisha malalamiko kwa kutuandikia ( S.L.P 474 Dar es Salaam); kufika ofisini makao makuu namba 20 Sam Nujoma Dar es Salaam au kwenye ofisi za Kanda na Zanzibar; kupiga simu ( namba 0784 558270 au 0784 558271) na kwa barua pepe (malalamiko@tcra.go.tz au complaints@tcra.go.tz)
Imetolewa na:
 MKURUGENZI MKUU

 Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania

introducing "Natafuta" by Ema TheBoy

BONDIA WA IRAN SAJJAD MEHRABI AWASILI NCHINI KUMKABILI CHEKA JUMAMOSI APRIL 12 PTA SABA SABA

$
0
0


Mdau wa Mchezo wa ngumi nchini Jay Msangi kulia akiwa na bondia Sajjad Mehrabi wa Iran wa pili kushoto mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa jumatano wengine kulia ni rais wa PST Emanuel Mlundwa na promota Mussa Kova anae promoti mpambano wa cheka na bondia huyo wa Iran 

Mdau wa mchezo wa masumbwi nchini Jay Msang kulia na Promota Mussa Kova wakibadilishana namba za simu na bondia Sajjad Mehrab mara baada ya kuwasili katika uwanja wa kumataifa ya Julius Nyerere kwa ajili ya mpambano wake na Fransic Cheka utakaofanyika April 12 katika ukumbi wa PTA Sabasaba Dar es salaam 
Mdau wa mchezo wa masumbwi nchi Jay Msangi wa pili kulia na Promota Mussa Kova wakiongea na bondia Sajjad Mehrab mara baada ya kuwasili katika uwanja wa kumataifa ya Julius Nyerere kwa ajili ya mpambano wake na Fransic Cheka utakaofanyika April 12 katika ukumbi wa PTA Sabasaba Dar es salaam kulia ni kocha wa bondia huyo wa Iran Lolal Shamlo. Picha na Super D

MRISHO MPOTO AZIDI KUPASUA ANGA NA MJOMBA BAND

$
0
0
 Baada ya "kutoka" kwa wimbo na mashairi ya 'Mjomba' msanii malenga Mrisho Mpoto ameendelea kupata mafanikio siku hadi siku kwa kuweza sasa kumiliki bandi yake aliyoipa jina la Mjomba Band, akiajiri vijana zaidi ya 10 na kuendeleza libeneke kwa nguvu zake zote. Aghalabu Mpoto na bendi yake utakuta wamealikwa katika shughuli mbalimbali za kitaifa na kimataifa ili kutoa burudani. Hakika yeye ni mfano wa kuigwa. pichani  Mpoto akiwa na bendi yake jukwaani.
 Mrisho Mpoto akighani mashairi akitumia vifaa vya kisasa na vya utamaduni katika kufikisha ujumbe katika hafla ya kuchangisha fedha kwa ajili ya ujenzi wa wodi ya dharura ya watoto katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Hapa ni katika hoteli ya Golden Tulip jijini Dar es salaam

THE KILI CLIMB ADVENTURE


Wazee wa CCM Zanzibar Wamtembelea Rais Kikwete ikulu Dar es Salaam

$
0
0
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Wazee wa CCM kutoka Zanzibar mara baada ya wazee hao kumtembelea na kufanya naye mazungumzo ikulu jijini Dar es Salaam leo jioni. Picha na Freddy Maro wa Ikulu

KATIBU MKUU WA CCM,NDUGU KINANA APOKELEWA KWA KISHINDO WILAYANI KASULU LEO,AKAGUA MRADI MKUBWA WA MAJI NA KUPOKEA WANACHAMA WAPYA 500

$
0
0
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia umati wa  watu katika Kijiji cha Nyenge, wakati wa ziara yake wilayani Kasulu leo ya kuimarisha  uhai wa chama na kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwa  kufuata Ilani ya CCM. Kinana ambaye tayari ameshafanya ziara  mkoani Rukwa, hivi sasa ameanza ziara ya siku tano mkoani Kigoma.
 Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akiwa na Baadhi ya Wanachama wapya waliojunga na CCM na kukabidhiwa kati.Kutoka kulia ni Katibu wa CHADEMA-SUA Wilayani Kasulu,Adolf Yanda pamoja na Mweyekiti wa Kijiji cha Rungwe Mpya-CUF katika kata ya Rungwe Mpya,Nahoson Kigamba.CCM imekabidhi kazidi 500 za wananchama wapya walioamua kujiunga na chama hicho cha CCM.

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia umati wawatu mjini Kasulu, wakati wa ziara yake ya kuimarisha uhai wa chama na kukagua miradi ya maendeleo inayote kelezwa kwa kufuata Ilani ya CCM. Kinana ambaye tayari ameshafanya ziara mkoani  Rukwa, hivi sasa ameanza ziara mkoani Kigoma.
 Baadhi ya maelfu ya Wananchi  wakiwa wamekusanyika kwenye uwanja wa Tax Kasulu mjini jioni ya leo wakati Katibu Mkuu wa CCM;ndugu Kinana alipowahutubbia kwenye mkutano wa hadhara
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia umati wa watu kwenye Stendi ya Tax mjini Kasulu, wakati wa ziara yake ya kuimarisha uhai wa chama na kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwa kufuata Ilani ya CCM. Kinana ambaye tayari ameshafanya ziara mkoani  Rukwa, hivi sasa ameanza ziara ya siku tano mkoani Kigoma.
 Mkuu wa Wilaya ya Kasulu,Mh Dan Makanga akijibu baadhi ya maswali kutoka kwa wananchi,kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika jioni ya leo kwenye stendi ya Tax,Kasulu mjini mkoani Kigoma.

ANGALIA LIVE TUZO YA AFRICA'S MOST IMPACTFUL LEADER OF THE YEAR KUTOKA WASHINGTON, DC

ngoma azipendazo ankal

$
0
0
Ngoma ya "Zambe Nakomitunaka" ya  Orchestre Veve bado inadai...

HARUSI TRADE FAIR: 11&12 April - See You Soon

$
0
0
PARTICIPANTS 2014
SHAYLAND PHOTOGRAPHY, AN NISA ABAYA, SHEKINA GARDENS, E-CAKES,  JD PHARMACY, RUSSEL HOBBS, MALAIKA MEDIA, LOTUS CREATIVE CONCEPTS, NELWAS GELATO, IMAGING SMART, NASIM BARDE, HIMA SOMANI, MELIA ZANZIBAR, BIG SOLUTION LTD, BAWARCHI RESTAURANT, HYATT REGENCY, BAHARI BAKERY LTD, O M Gift,  HEAVENLY LOOKS,  GOLD CREST HOTEL, BANG!  MAGAZINE,  WEIGHT LOSS PROGRAM, HUGO DOMINGO, QUEENS GEMS & JEWELLERS,  POSH SALOON,  MC LUVANDA,  VAYLE SPRINGS LTD,  ROBIN BATISTA,  101 STUDIOS LTD, EASTERN WORLD SAFARIS, NEW MSASANI MALL,  I VIEW STUDIOS,  JERRY MUSHALA 
HARUSI TRADE FAIR organized by 361 DEGREES


Viewing all 119995 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>