MKUGENZI MKUU MSTAAFU WA TTCL ADOLAR MAPUNDA AFARIKI DUNIA
HABARI ZILIZOTUFIKIA ASUHII HII NI KWAMBA MKURUGENZI MKUU WA SHIRIKA LA SIMU NCHINI ADOLAR BARNABAS MAPUNDA AMEFARIKI DUNIA USIKU WA KUAMKIA LEO KATIKA HOSPITALI YA HINDU MANDAL JIJINI DAR ES SALAAM...
View ArticleWALIOHUSIKA NA UJENZI WA JENGO LILILOPOEROMOKA LEO KUWAJIBISHWA
Jengo lililo pembeni mwa msikiti wa Shia Ithnaasheri mtaa wa Indira Ghandi katikati ya jiji la Dar es salaam linavyoonekana baada ya kuporomoka asubuhi hii. Kamanda wa Polisi Kanda ya Dar es salaam...
View ArticleRAIS JAKAYA KIKWETE, MAKAMU WAKE DKT. BILAL, WAZIRI MKUU, MIZENGO PINDA...
Rais Jakaya Kikwete, akiweka saini katika kitabu cha maombolezo ya msiba wa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Chambani CUF, Salim Hemed Khamis, aliyefariki dunia jana katika Hospitali ya Taifa Muhimbili...
View ArticleRAIS KIKWETE ATEMBELEA JENGO LILILOPOROMOKA JIJINI DAR ES SALAAM LEO
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili mtaa wa Indira Ghandi jijini Dar es salaam leo akiwa ameongozana na mkewe Mama Salma Kikwete kujionea mwenyewe jengo lililoporomoka asubuhi saa mbili na nusu leo...
View ArticleRAMBI RAMBI KUTOKA UJERUMANI KUFUATIA KUANGUKA KWA JENGO DAR
Umoja wa Watanzania Ujerumani umepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya kuanguka kwa jengo mjini Dar es Salaam. tunawapa pole nyingi ndugu na jamaa wa waliopoteza maisha, Umoja Wa Watanzania Ujerumani...
View ArticleKUMBUKUMBU
Marehemu Mzee John P Sunga Ilikuwa kama ndoto lakini ni kweli yalitimia, tunaamini kimwili hauko nasi lakini kiroho u nasi. Tunakukumbuka daima mpendwa wetu. Upendo na ucheshi wako kwa familia...
View ArticleBREAKING NYUZZZZZ.......: MTUHUMIWA WA MAUAJI YA PADRI EVALIST MUSHI AKAMATWA...
MTU ANAESADIKIWA KUWA NDIE MUUAJI WA PADRI EVARIST MUSHI WA KANISA KATOLIKI VISIWANI ZANZIBAR AMEKAMATWA ALASIRI HII MAENEO YA KARIAKOO, ZANZIBAR.JESHI LA POLISI LIMETHIBITISHA KUKAMATWA KWA MTUHUMIWA...
View ArticleTAARIFA YA MSIBA
Wanangwa Mtawali(Born Feb 1962 – Died Mar 28, 2013)Familia ya Marehemu Clement na Marehemu Mwalimu Margareth Mtawali, wa zamani Chuo cha Ushirika Moshi, wanasikitika kutoa taarifa ya msiba wa Wanangwa...
View ArticleIN LOVING MEMORY
Dada Grace Simtaji NgowiOur beautiful Sister, our beautiful Mother, today 29.03.2013 is exactly one year since you passed away and left us with sorrow, tears and confusion. We thank God for the time...
View ArticleGuess what...KFC to hit Dar soon!
KFC to open shop in Dar es salaam soon! That is at Mikocheni, along Mwai Kibaki Road (formerly Old Bagamoyo Road) on the way to Butiama, next door to the Arcade...yummy!
View ArticleMechi za Kirafiki Mpira wa Miguu na Mikono timu za Ikulu Dar na ZNZ.
Mchezaji wa Timu ya Netball ya Ikulu ya Dar es Salaam Haika Masoud (kulia) akimzuia Beshuu Abdalla wa Ikulu ya Zanzibar wakati wa mchezo wa Kirafiki katika michezo ya Sherehe za Pasaka katika viwanja...
View ArticleMhe James Mbatia aonesha uzalendo wa hali ya juu katika kuweka mambo sawa...
Mbunge na Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi Mhe James Mbatia ni mmoja wa mashujaa wasioimbwa (Unsung Heroes) waliofanya makubwa wakati wa zoezi la uokoaji katika jengo lililopromoka leo katika mtaa wa Indira...
View ArticleNgoma Azipendazo Ankal
Wakubwa wamelalamika kuwa tumewasahau kabisa katika safu hii. Basi nawapa hii ya Aretha Franklin iitwayo 'Respect' ya mwaka 1967
View ArticleALBINUS AWA MFALME WA UZITO WA UNYOYA WA DUNIA KWA VIJANA
Albini Felesianu wa Namibia akipambana na Herbert Quartey wa Ghana jijini WindhoekRais wa IBF Africa Onesmo Ngowi (kulia) akimpongeza Albinu Felesianu Bondia Albinu Felesianu wa Namibia...
View ArticleNENO KUTOKA KWA ERIC SHIGONGO
“Kama zilivyo alama za mikono yetu, hakuna mtu anayefanana na wewe. Umejaa vipaji lukuki ndani yako, tatizo huamini kama unaweza na kwa sababu watu walikuambia hivyo, ndiyo sababu hiyo watu wengi...
View Article