Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 120491 articles
Browse latest View live
↧

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MARIET LTD YALETWA BIDHAA MPYA ZA ASILI MAONESHO YA 39 SABASABA

KAMPUNI ya Mariet Ltd, wazalishaji maarufu wa bidhaa za Missifiah, imezindua rasmi aina mpya za bidhaa za urembo zinazoenda kuwa suluhisho la matatizo ya ngozi hasa kwa wakina mama na wanawake kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NHIF Yatoa Unafuu wa Bima ya Afya kwa Wananchi

Na Mwandishi WetuMFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) umesikia hoja za wananchi kuhusu gharama za vifurushi vya bima za afya ambapo gharama hizo zimepunguaHivi saa mtu anaweza kupata kifurushi cha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Bodi ya TASAC Yatoa Suluhisho ya Kupunguza Mlundikano wa Makasha Bandari ya...

Bodi ya TASAC ikipata maelezo katika bandari Kavu ya Kwala wakati Bodi hiyo ilipofanya ziara katika Bandari hiyo.Bodi ya TASAC ikipata maelezo katika bandari ya Dar es Salaam upande wa DP World wakati...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Benki ya CRDB Yashinda Tuzo ya Dhahabu ya Kimataifa ya Uwekezaji Katika Jamii...

Benki ya CRDB imeshinda tuzo ya dhahabu ya Kimataifa ya Uwekezaji katika Jamii (International CSR Awards 2025) kupitia mbio zake za kimataifa ya CRDB BANK International Marathon.Tuzo hii ya hadhi ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RTO RUVUMA: MADEREVA HAKIKISHENI MNAHAKIKI LESENI ZENU.

Songea_Ruvuma.Mkuu wa Kitengo cha Usalama Barabarani Mkoa wa Ruvuma, Mrakibu wa Polisi Issa Milanzi, amewataka madereva wote mkoani humo kuhakikisha wanahakiki leseni zao kwa kufika katika ofisi za...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAJALIWA AMWAKILISHA RAIS DKT. SAMIA MAADHIMISHO YA MIAKA 10 YA WCF

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa leo Julai 04, 2025 amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katik maadhimisho ya miaka kumi ya Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF), katika kituo cha Mikutano cha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWENGE WA UHURU WAZINDUA KITUO CHA AFYA KIA HAI.

Mwenge wa Uhuru 2025 umezindua Kituo cha Afya Kia wilayani Hai mkoani Kilimanjaro kilichogharimu milioni 209.Akizungumza kiongozi wa mbio hizo za Mwenge, Ismail Ali Ussi alisema kuwa, lengo la Serikali...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI KUJENGA SHULE MPYA YA SEKONDARI MITI MIREFU..

NA WILLIUM PAUL, SIHA. WANAFUNZI wa kata ya Mitimirefu wilayani Siha mkoani Kilimanjaro waliokuwa wakitembea umbali wa kilomita 15, kufuata shule ya sekondari Namwai wanaenda kuondokana na changamoto...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Chifu Buhanga azindua kampeni ya mitandaoni ya kulinda amani

Na MWANDISHI WETUCHIFU Buhanga wa Kabila la Wasukuma na Wazinza ambaye pia ni mwanaharakati mzalendo wa masuala ya kijami na kisiasa, amezindua kampeni maalumu ya mitandaoni yenye lengo la kuhuimiza...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

PATO LA MTU MMOJA MMOJA LAONGEZEKA NA KUFIKIA MILIONI 1.7 KWA MWAKA MKOANI...

 NA Janeth Raphael MichuziTv -Dodoma Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhe Halima Dendego ameeeleza kuwa wastani wa patoa la Mwananchi mmoja mmoja Mkoani humo umeongezeka kutoka Shilingi Milioni 1,588,604.66 kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TIRDO Yaonesha Ubunifu na Ubobevu wa Kiteknolojia Sabasaba 2025

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utafiti na Maendeleo ya Viwanda Tanzania(TIRDO) Prof.Mkumbukwa Madundo Mtambo amepongeza maandalizi na uboreshaji uliofanywa ndani ya Maonesho hayo yanayoendelea ndani ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RC BABU AZINDUA MSIMU WA TWENZETU KILELENI

MKUU wa Mkoa wa Kilimanjaro Nurdin Babu amewataka wawekezaji na wafanyabiashara wa ndani kuwekeza zaidi katika sekta ya utalii kwa kujenga hoteli ili kukabiliana na ongezeko la watalii wanaopanda mlima...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATANZANIA WATAKIWA KUACHANA NA DHANA POTOFU KWAMBA NISHATI SAFI YA KUPIKIA...

Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umewasihi Watanzania kote nchini kuachana na dhana ya kwamba Nishati Safi ya Kupikia ni gharama ikilinganishwa na matumizi ya kuni na mkaa.Mkurugenzi wa Umeme Vijijini...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Cheza Aviator Uondoke na Samsung A25 Mpya Kabisa

MERIDIANBET, mabingwa wa ubashiri Tanzania, wamezindua promosheni mpya inayowapa wachezaji wake fursa ya kushinda simu mpya za Samsung A25 kwa kucheza tu mchezo maarufu wa Aviator.Hii si promosheni ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Chukua GG & 3+ kwa Odds Tamu Sana Leo

LEO hii mechi ya kwanza ya Robo Fainali ya Kombe la Dunia la Vilabu itapigwa ambapo ni kati ya Fluminense vs Al Hilal huku nafasi ya kushinda akipewa mgeni kwa Odds 2.50 kwa 3.00.Meridianbet inakwambia...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

FCC YAJIZATITI KUTOA ELIMU KWA UMMA KATIKA MAONESHO YA 49 YA SABASABA

 Tume ya Ushindani (FCC), imeendelea kutumia fursa ya Maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba) kwa kutoa elimu kwa Umma ambao ndio walaji au watumiaji wa bidhaa na huduma. Maonesho hayo yenye...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NISHATI SAFI YA KUPIKIA NI AJENDA YA DUNIA, WIZARA INAITEKELEZA KWA VITENDO...

📌Apokea Magari Mawili kutoka Umoja wa Ulaya kwa ajili ya kuanza kampeni ya kutoa elimu ya uhamasishaji wa nishati safi ya kupikia nchi nzima📌 Amshukuru Dkt Samia kwa kuwa kinara wa nishati safi na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Washiriki zaidi ya 2000 kushiriki kongamano la mashirika yasiyo ya kiserikali

WASHIRIKI zaidi ya 2000 kutoka ndani na nje ya Tanzania wanatarajiwa kushiriki kongamano la mwaka la Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (NGOs) linalotarajiwa kufanyika Agosti 11 hadi 13 mwaka huu mkoani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BILIMEASURE KUKOMBOA MAELFU YA WATOTO WACHANGA DHIDI YA MANJANO

 Watoto wachanga nchini Tanzania wanatarajiwa kunufaika na maisha salama na yasiyo na maumivu kutokana na ubunifu mpya wa kiteknolojia wa mwanafunzi wa uhandisi tiba kutoka Chuo Kikuu cha Sayansi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ROBO-SPINE: MUAFAKA MPYA KWA WATOTO WENYE TATIZO LA MGONGO WAZI

 WATOTO wengi wanaozaliwa na tatizo la mgongo wazi (spina bifida) hukumbwa na hali ngumu ya maisha kutokana na kupooza kuanzia kiunoni, hali inayowanyima uwezo wa kusimama au kutembea. Mbali na athari...

View Article
Browsing all 120491 articles
Browse latest View live
<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>