BENKI YA DUNIA YAIPONGEZA RAIS MAGUFULI KWA KUJENGA RELI YA KISASA KWA FEDHA...
Na Benny Mwaipaja, WFM, Dar es SalaamMKURUGENZI Mtendaji wa Benki ya Dunia, Kanda ya Afrika, Bi. Anne Kabagambe, ameipongeza Serikali ya Tanzania kwa kutekeleza Mradi Mkubwa wa Ujenzi wa Reli ya Kati...
View ArticleWAZIRI JAFO AITAJA NMB KATIKA MAFANIKIO SERIKALINI
Waziri Selemani Jafo,akizungumza kwenye ufunguzi wa Teachers day mkoa wa Dodoma iliyoandaliwa na benki ya NMBBaadhi ya walimu Mkoa wa Dodoma wakishiriki Mkutano uliyoandaliwa na benki ya NMBWaziri...
View ArticleVodacom yadhamini Ligi kuu Tanzania bara
Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania, Hisham Hendi (kulia) akimkabishi Rais wa shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF) Wallace Karia (Kusho ), mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi za...
View ArticleSERIKALI YAJIPANGA KUONGEZA USHIRIKIANO NA SEKTA BINAFSI-WAZIRI HASUNGA
Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) akisisitiza jambo wakati akifungua Mkutano mkuu wa mwaka wa dharura wa TCCIA mwaka 2019 uliofanyika New African Hotel Jijini Dar es salaam, leo tarehe 24 Agosti...
View ArticleAWESO ATAKA WAJUMBE BODI INAYOSIMAMIA MRADI WA MAJI WA MAKILENGA WILAYANI...
Naibu Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso (Mb) akiwa na Meneja RUWASA Wilaya ya Arumeru, Mhandisi Christine Kessy akikagua tenki la maji la Mradi wa Maji wa King’ori.Naibu Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso...
View ArticleRAIS DKT SHEIN AFUNGUA HOTELI YA MADINAT AL BAHAR,MBWENI ZANIBAR
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akifuatana na Mtendaji Mkuu wa Hoteli ya Madinat Al Bahar Bw Rustamali Merani Shivji wakati alipotembelea sehemu mbali...
View ArticleMILIONI 300 KUTUMIKA MRADI WA MAJI HOROHORO
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Jijini Tanga (Tanga Uwasa) Mhandisi Geofrey Hilly kulia akisisitiza jambo kwa Msimamizi wa Mradi wa Tanga Uwasa Mhandisi Shame Juma katikati...
View ArticleTANZANIA YASHINDWA KUTAMBA MICHUANO YA FEASSSA ARUSHA
Mathayo Sombi Mtanzania aliyeshika nafasi ya Pili katika mbio za mita 10,000 na kupewa medhali ya Fedha.Mathayo Sombi Mtanzania aliyeshika nafasi ya Pili katika mbio za mita 10,000 na kupewa medhali ya...
View ArticleVIJANA KANISA LA ANGLIKANA WACHANGIA DAMU MLOGANZILA
Mwanasayansi wa Maabara wa Hospitali ya Taifa Muhimbili –Mloganzila Bw. Jastus Silvester akimuhudumia Bi. Foibe Jackson kutoka Kanisa la Anglikana wilaya ya Ubungo ambaye ni mmoja wa vijana wa Kanisa...
View ArticlePolisi wala rushwa kutimuliwa kazi
Na Woinde Shizza Michuzi Tv ,ArushaJESHI la Polisi mkoa wa Arusha,limesema kuwa litawafukuza askari wa jeshi hilo pamoja na maafisa wake bila kujali cheo chake ikiwa watabainika kuomba rushwa kutoka...
View ArticleMAKUNDI YA UCHAGUZI UKARA, UKEREWE YALIIANGUSHA CCM DHIDI YA CHADEMA
Katibu wa CCM Mkoa wa Mwanza, Salum Kalli, akizungumza na wanachama wa CCM (hawapo pichani) wa Kata ya Bwisya Tarafa ya Ukara wilayani Ukerewe jana.………………….NA BALTAZAR MASHAKA, UKARAMAKUNDI ya viongozi...
View ArticleMKUTANO WA 50 WA CHAMA CHA MABUNGE YA JUMUIYA YA MADOLA KANDA YA AFRIKA
Mkutano wa 50 wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika unategemea kuanza tarehe 30 Agosti, 2019 mpaka tarehe 5 Septemba, 2019 katika hoteli ya Madinat Al Bahr, Zanzibar(PICHA NA OFISI...
View ArticleKUMBUKIZI YA BI KIDUDE.
NA Moshy Kiyungi,Tabora.Ukipima kwenye mizani historia ya muziki wa taarabu na tamaduni za unyago Visiwani Zanzibar, ni wazi kwamba mizani hiyo lazima itaegemea upande wa Fatuma Binti Baraka...
View ArticleDKT NDUGULILE AAGIZA UTEKELEZAJI MAJUKUMU KAMATI ZA ULINZI WA WANAWAKE NA WATOTO
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt Faustine Ndugulile akimkabidhi kitabu cha Mpango Mkakati wa kutokomeza Ukatili wa Kijinsia dhidi ya wanawake na watoto Mkuu wa...
View ArticleJUMLA YA MASHAURI 14 YAFUNGULIWA NA KUSIKILIZWA NA MAHAKAMA INAYOTEMBEA...
Gari likiwa eneo linapopaki Buhongwa mnamo Agosti 22, 2019.Mhe Hakimu (aliyeketi mbele) akisikiliza kesi ndani ya Mahakama inayotembea 'Mobile Court' mkoani Mwanza.Na Mary Gwera, MahakamaJumla ya...
View ArticleDEKULA KAHANGA ‘VUMBI’ ANAYEMILIKI BENDI YAKE SWEDEN.
Na Moshy Kiyungi,Dar es SalaamDekula Kahanga ameweza kuyasaka mafanikio hadi kuunda bendi yake anayojulikana kama Dekula band akiwa katika jiji la Stockholm nchini Sweden.Kabla ya kwenda nchini humo...
View ArticleRASHIDI PEMBE ‘KULI’ MANZESE HADI KUMILIKI BENDI.
Na Moshy Kiyungi,Tabora.Mafanikio yoyote ya mwanaadamu hupatikana baada ya kukabiliana na changamoto nyingi, ambazo wengine hushindwa kuvumilia wakaishia kukata tamaa.Rashidi Pembe ni mmoja kati ya...
View ArticleWEMA SEPETU ASIYEFUTIKA KWENYE VYOMBO VYA HABARI NCHINI.
Na Moshy Kiyungi,Tabora.Jina la Wema Sepetu ni maarufu lililojitokeza hususan baada ya kushiriki na kushinda mashindano ya Miss Tanzania ya mwaka 2006.Aliongeza umaarufu zaidi baada ya kujikita katika...
View ArticleMwakyembe Afunga Mashindano ya FEASSSA
Na Mathew Kwembe, ArushaWaziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Dk Harrison Mwakyembe ameyafunga Mashindano ya 19 ya michezo ya shule za Sekondari kwa nchi za Afrika Mashariki (FEASSSA) kwa...
View Article