MSHINDI WA NYUMBA ALIA KWA UCHUNGU KUFUATIA USHINDI WA BIKO
Mshindi wa nyumba na sh milioni 20 wa Biko, Prisca Msuya wa Mbezi jijini Dar es Salaam, amelia kwa uchungu mbele ya waandishi wa habari wakati anakabidbiwa hundi ya ushindi wake wa fedha na nyumba...
View ArticleALIYEKUWA MBUNGE WA TEMEKE ABDALAH MTOLEA AOMBA KUJIUNGA NA CHAMA CHA...
Wakati tarehe ya mwisho ya kupokea viongozi wa upinzani wanao omba kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) ikifika leo hii, Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Temeke kwa tiketi ya Chama cha CUF Abdalah Mtolea...
View ArticleMKUU WA JESHI LA MAGEREZA AKUTANA NA RC NJOMBE KABLA YA KUHITIMISHA ZIARA YAKE
Kamishna Jenerali wa Magereza Nchini (CGP) Phaustine Kasike akielezea malengo ya ziara yake ya kikazi mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Njombe alipotembelea Ofisi za Mkoa huo.Kamishna Jenerali wa Magereza...
View ArticleVODACOM TANZANIA FOUNDATION YAKABIDHI VIFAA VYA KULINDA MAISHA YA WATOTO...
Waziri wa Madini, Angellah Kairuki (kulia) akizungumza wakati makabidhiano ya mashine ya kusaidia kupumua kwa Watoto njiti ilivyotolewa na taasisi ya Vodacom Tanzania Foundation kwa hospitali ya rufaa...
View ArticleJWTZ WAANZA UTEKELEZAJI WA AGIZO LA RAIS WILAYA YA NEWALA MKOANI MTWARA
Na Humphrey Shao, Globu ya Jamii Newala, MtwaraMkuu wa Wilaya ya Newala Aziza Mangosongo leo amepokea ujumbe wa Askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ )ambao umeanza kukagua Maghala yote ya...
View ArticleSERIKALI YAWAPANDISHA MADARAJA WATUMISHI WA UMMA 113,520 WALIOAJIRIWA TANGU...
Serikali imewapandisha madaraja watumishi wa umma 113,520 walioajiriwa mwaka 2012 katika awamu tatu, ambapo ya kwanza walipandishwa vyeo Watumishi 28,049 waliokuwa wameidhinishiwa vyeo kabla ya zoezi...
View ArticleNHC YAWATAKA WALIOPEWA HATI MRADI WA SAFARI CITY KUANZA UJENZI ILI HUDUMA...
Na Ahmed Mahmoud ArushaShirika la taifa la Tafa (NHC)Limewataka wale wote walikabidhiwa hati za viwanja walivyopewa katika la eneo la Safari City lililopo kata ya Mateves nje kidogo ya jiji la Arusha...
View ArticleMKIWAENDEKEZA WATOTO MTATENGENEZA “BOMU”- POLISI
Na Rashid Nchimbi wa Jeshi la Polisi ArushaImeelezwa kwamba tabia ya wazazi kutoa ahadi ya zawadi kwa kila wanachofanya watoto wao ni kibaya na kinawajengea mazingira magumu watoto hao baadae hasa...
View ArticleATHMANI AENDELEA KUOMBA MSAADA WA MATIBABU KWA WATANZANIA
NA YEREMIAS NGERANGERA,NAMTUMBOAthmani Amani mkazi wa kijiji cha Naikesi kata ya kitanda wilayani Namtumbo mkoani Ruvuma anawaomba watanzania kumsaidia fedha za kugharimia matibabu ya mtoto wake...
View ArticleZANZIBAR KUADHIMISHA SIKU YA TAKWIMU AFRIKA.
Na Faki Mjaka-Maelezo Zanzibar 16.11.2018Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imeandaa Mdahalo mkubwa utakaofayika Novemba 19, kwa lengo la kuongeza uelewa wa Wananchi juu ya...
View ArticleZIARA YA MAKAMU WA RAIS MKOANI MANYARA LEO
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi waliojitokeza nje ya kiwanda cha Mbolea cha Minjingu mkoani Manyara.Makamu wa Rais yupo kwenye ziara...
View ArticleKONGAMANO LA WAHITIMU CHUO KIKUU MZUMBE LAFANA
Rais wa Baraza la Wahitimu Chuo Kikuu Mzumbe, Ludovick Utoh, akizungumza katika mkutano uliowakutanisha wahitimu wa waliosoma chuoni hapo. Picha zote Kajunason/MMG - Morogoro. Spika wa Bunge mstaafu,...
View Article