AMBER RUTY AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA TUHUMA ZA KUFANYA MAPENZI KINYUME NA...
Na Khadija Seif blogu ya JamiiMCHEZA video Rutyfiya Abubakari maarufu kwa jina la Amber Ruty (23), Said Bakari Mtopali (21) (kijana wake AmberRuty) na kijana anayedaiwa kuwa Shoga maarufu, James...
View ArticleUONGOZI INSTITUTE WAFANYA KONGAMANO LA KUKUZA, KUIMARISHA UONGOZI NA VIONGOZI...
Na Leandra Gabriel, Blogu ya jamii.TAASISI ya Uongozi nchini (Uongozi Institute) imefanya kongamano lenye mlengo wa kukuza na kuimarisha uongozi na viongozi nchini hasa katika kutekeleza majukumu yao...
View ArticleKOCHA WA TIMU YA TAIFA YA KIKAPU MAREKANI MATHEW McCOLLISTER ATUA KUSAKA...
Shirikisho la Mpira wa kikapu nchini (TBF) linapenda kuutaarifu umma kuwa kutakuwa Mafunzo kwa ajili ya kusaka Vipaji na Kuendeleza Vipaji kwa vijana wanaoshiki Mchezo wa Mpira wa kikapu hapa Nchini...
View ArticleRAIS DKT. MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI IKULU JIJINI DAR ES...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika leo Ijumaa tarehe 2 Novemba 2018 Ikulu jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU
View ArticleTFF YAMTANGAZA MWAMUZI JONESIA RUKYAA KUCHAGULIWA KUCHEZESHA FAINALI ZA AFCON...
Na Agness Francis, Glogu ya jamiiUONGOZI wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF ) umemtangaza kuchaguliwa kwa mwamuzi Jonesia Rukyaa kuchezesha Fainali za Afrika za Wanawake zitakazofanyika...
View ArticleWatendaji Wakuu na Wenyeviti wa Bodi Waaswa Kuzingatia Sheria Kanuni na Taratibu
Na: Frank Mvungi- MAELEZO Msajili wa Hazina Bw. Athumani Selemani Mbuttuka amewata Watendaji wakuu , Wenyeviti na Wajumbe wa Bodi za Taasisi na mashirika ya umma kutekeleza majukumu yao kwa kuzingatia...
View ArticleWAGONJWA 23 WAPATIWA HUDUMA YA TIBA YA RADIOLOJIA MUHIMBILI
Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kwa kushirikiana na Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi (MUHAS), Taasisi ya Tiba Mifupa (MOI), Chuo Kikuu cha Yale na Emory nchini Marekani wameendesha kambi...
View ArticleRC MAKONDA AKABIDHI MABASI 4 KWA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA, NI YALE...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda leo amekabidhi Mabasi 4 kwa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania JWTZ na Jeshi la Magereza kwaajili ya kuongezea ufanisi katika utendaji wa Kazi wa...
View ArticleMPINA ATEKETEZA ZANA HARAMU ZA UVUVI KIGOMA
Na Editha Karlo wa blog ya jamii,KigomaKUFUATIA operesheni ya kutokomeza uvuvi haramu ndani ya Ziwa Tanganyika inayoendelea Waziri wa mifugo na uvuvi Luhaga Mpina ameteketeza zana mbalimbali za uvuvi...
View ArticleMASHIBA- UPATIKANAJI WA ARDHI NA BAADHI YA VIBALI NI TATIZO KWA BAADHI YA...
NA MWAMVUA MWINYI,KIBAHAMENEJA wa kanda ya Mashariki wa kituo cha uwekezaji Tanzania TIC Venance Mashiba , asema lipo tatizo kwa baadhi ya wawekezaji hasa katika upatikanaji wa ardhi na baadhi ya...
View ArticleNIMEFARIJIKA NA MAENDELEO YA VIWANDA-MAJALIWA
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema amefarijika na maendeleo ya ujenzi wa viwanda kwenye mkoa wa Tanga kwa sababu vitasaidia katika ukuaji wa uchumi na kuongeza ajira.Aliyasema hayo jana jioni...
View ArticleNAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE ASHIRIKI MKUTANO WA MAWAZIRI WA NCHI ZA MWAMBAO...
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa Dkt. Damas Ndumbaro (Mb) anaongoza ujumbe wa Tanzania katika Mkutano wa 18 wa Baraza la Mawaziri wa Jumuiya ya nchi za...
View ArticleMAONYESHO YA SWAHILI FASHION WEEK KUFANYIKA NOVEMBER 30 HADI DISEMBA
Katika kuendeleza mafanikio makubwa na ya kipekee kwa msimu wa 11 ya maonyesho ya jukwaa la mitindo (SWAHILI FASHION WEEK) ambalo ni la kipekee Afrika mashariki maandalizi yafunguliwa rasmi jijini...
View ArticleKOCHA WA TIMU YA TAIFA YA KIKAPU MAREKANI MATHEW McCOLLISTER ATUA KUSAKA...
Shirikisho la Mpira wa kikapu nchini (TBF) linapenda kuutaarifu umma kuwa kutakuwa Mafunzo kwa ajili ya kusaka Vipaji na Kuendeleza Vipaji kwa vijana wanaoshiki Mchezo wa Mpira wa kikapu hapa Nchini...
View ArticleMTANZANIA JONESIA RUKYAA KUCHEZESHA FAINALI ZA AFCON YA WANAWAKE
Na Agness Francis, Globu ya Jamii. Uongozi wa shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF) umemtangaza Mtanzania Pekee ambaye ni mwamuzi Jonesia Rukyaa kuwa amechaguliwa kuchezesha Fainali za Afrika za...
View ArticleMAONYESHO YA SWAHILI FASHION WEEK KUANZA NOVEMBER 30
Katika kuendeleza mafanikio makubwa na ya kipekee kwa msimu wa 11 ya maonyesho ya jukwaa la mitindo (SWAHILI FASHION WEEK) ambalo ni la kipekee Afrika Mashariki maandalizi yafunguliwa rasmi jijini...
View Article
More Pages to Explore .....