Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110202 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Magufuli afanya uteuzi wa wenyeviti 8 wa bodi na Mtendaji Mkuu 1

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

SAMIA AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA BARABARA YA LAMI YA MKURANGA - KISIJU

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipata maelezo ya maendeleo ya ujenzi wa kiwanda cha kutengenezea Gypsum Board kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa kiwanda cha...

View Article

MICHUZI TV: Mwanamuziki Peter Msechu ampa sifa hizi Lady Jaydee

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) KUTOA HUDUMA YA KLINIKI YA MOYO...

Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Kagera wanatarajia kutoa huduma ya kliniki ya Moyo inayotembea (Cardiac Mobile Clinic) katika Mkoa wa Kagera...

View Article

MICHUZI TV: JSP Marketing Link Limited yatwaa ushindi wa tatu, tuzo za...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU MAJALIWA ASHIRIKI KATIKA TAMASHA LA UTAMADUNI WA MTANZANIA KWA...

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka Watanzania waendelee kuuheshimu na kuuendeleza utamaduni ambao ndio urithi wao ili kulifanya Taifa liendelee kuwa hai. Amesema suala la kuuenzi utamadini ni jambo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANA-JUNDOKAN ULIMWENGUNI WAFURIKA MJINI NAHA, OKINAWA, JAPAN, KUADHIMISHA...

Kwa mara ya kwanza kabisa katika historia ya Okinawa Goju Ryu Jundokan  Karate kuanzia Novemba 8 hadi 16 mwaka huu itaadhimisha miaka 65 toka ianzishwe sambamba na maadhimisho ya miaka 20 toka kufariki...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mhini aenda kujiunga St Felix Uingereza, aahaidi kuleta medali ya kwanza ya...

Muogeleaji, Dennis Mhini (wa nne kutoka kulia) akiwa na wazazi wake na ndugu na jamaa kabla ya kuondoka kwenda nchini Uingereza kuanza mafunzo ya mchezo wa kuogelea na kusoma katika shule ya St Felix....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWANZA KUFURIKA NA VIBE KAMA LOTE LA TIGO FIESTA 2018

Mkuu wa Mkoa Wa Mwanza, Mhe. John Mongella akizungumza na waandishi wa habari leo kufungua rasmi pazia la Tigo Fiesta Vibe Kama Lote litakalofanyika jioni ya leo kwenye uwanja wa CCM Kirumba Mkoani...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKURUGENZI MTENDAJI WA BENKI YA CRDB AUNGANA NA TIMU YA MPIRA WA KIKAPU...

 Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (kulia) akielekeza jambo wakati alipokuwa akiwapatia mawaidha wachezaji wa Timu ya Mpira wa Kikapu (Basket Ball) ya Benki hiyo, inayoshiriki...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MEJA JENERALI KINGU AONGOZA KIKAO CHA KUPITIA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA...

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali, Jacob Kingu (kushoto), akizungumza na Wakuu wa Idara na Taasisi pamoja na maafisa mbalimbali wa Wizara hiyo, katika kikao cha kupitia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS AWATAKA WANANCHI KULINDA MIUNDO MBINU YA MAJI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu akizungumza wakati wa ziara yake ya Mkoa wa Pwani baada ya kutembelea mradi wa ujenzi wa tenki la maji la Kisarawe lenye uwezo wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

IGP SIRRO AKAGUA UJENZI WA NYUMBA ZA KISASA ZA KUISHI ASKARI NA FAMILIA ZAO...

Mkuu wa Wilaya ya Nyang’hwale Mhe Hamim Gwiyama (aliyesimama) akitoa neno mbele ya Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro, wakati alipofanya ziara ya kikazi katika wilaya hiyo iliyopo mkoani Geita leo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

PROF.KAMUZORA: JAMII INAPASWA KUTOKOMEZA MILA NA DESTURI ZINAZOWAKANDAMIZA...

NA MWANDISHI WETUKatibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera na Uratibu Prof.Faustin Kamuzora ameiasa jamii kutokomeza mila na desturi potofu zinazokwamisha maendeleo ya wanawake na watoto...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TUTAENDELEA KUSHIRIKIANA NA SEKTA BINAFSI-MAJALIWA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali inathamini uwepo wa sekta binafsi nchini na kwamba inaendelea kushirikiana nayo katika kuboresha maendeleo ya Taifa.Ameyasema hayo leo (Jumamosi, Oktoba 27,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS AENDELEA NA ZIARA WILAYANI KISARAWE

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasalimu wananchi mara baada ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa barabara za lami Kisarawe mjini, Makamu wa Rais yupo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rock City Marathon kufanyika kesho

Mbio za Rock City Marathon msimu wa tisa zinatarajiwa kufanyika kesho jijini Mwanza. Maandalizi ya mbio hizo zinazotarajiwa kuanzia kwenye Daraja la Furahisha na kuishia kwenye viwanja vya Rock City...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Marais Kenyatta, Akufo-Addo watoa somo kwa vijana Afrika

Na Ripota Wetu-Lagos, NigeriaMARAIS Uhuru Kenyatta wa Kenya na Nana Akufo-Addo wa Ghana wamewataka vijana Bara la Afrika kuwa wabunifu na kumchangamkia fursa za kiuchumi ili kuiweza kusaidia nchini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Dkt. Ndumbaro awa Mgeni Rasmi maadhimisho ya Siku ya Mfalme wa Ubelgiji

Kampuni 32 kutoka Ubelgiji zilizowekeza Tanzania ni chache ukilinganisha na uwingi wa fursa za uwekezaji zilizopo nchini ambazo kwa kiasi kikubwa bado hazijatumika kikamilifu.Kauli hiyo ilitolewa na...

View Article

BASATA YATOA NENO MIAKA 20 YA TWANGA PEPETA

View Article
Browsing all 110202 articles
Browse latest View live




Latest Images