Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110192 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Naibu Mkurugenzi Mkuu UNEP atembelea sekondari ya Jangwani ataka wasichana...

Na Mwandishi wetuNaibu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Mazingira (UNEP), Joyce Msuya amewataka wasichana nchini kujipanga vyema kutafuta maisha kwa kuzingatia fursa ambazo...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tigo Yamwaga Zawadi Kibao Kwenye Shindano la Tigo Fiesta 2018 Chemsha Bongo...

 Mshindi wa Shindano la Tigo Fiesta 2018  Chemsha Bongo Trivia , Zam Mohammed Zam wa Mombasa Unguja akipokea shilingi milioni moja kutoka kwa Msimamizi wa Kampuni ya Tigo tawi la Zanzibar, Adolph...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAKANDARASI WAZAWA WAASWA KUACHA UBABAISHAJI WANAPOPEWA KAZI

Na, Vero Ignatus, KaratuMKUU wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo ameiagiza kampuni ya Kiure Engineering Ltd kuhakikisha inakamilisha ujenzi wa daraja uliogharimu Sh. milioni 250 fedha zilizotolewa na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ISSA NAMPEPECHE NA HASHIMU CHISOLA WAPIMA UZITO KUZIPIGA OCTOBAR 20

Na Mwandishi wetuBONDIA Issa Nampepeche na Hashimu Chisola wamepima uzito kwa ajili ya mpambano wao wa raundi kumi utakaofanyika jumamosi ya Octobar 20 katika ukumbi wa CCM Mwijuma Mwananyamala...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAONI YA MDAU: Tuiasaidie Polisi kukabiliana na watekaji watu

Na Evance Ng’ingo HIVI karibuni mfanyabiashara mkubwa nchini na Afrika nzima kwa ujumla, Mohamed Dewji, Moo alitekwa na watu wasiojulikana ambao hadi sasa jeshi la Polisi linaendelea kuwasaka. Habari...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RC Wangabo ataka “work plan” ujenzi wa VETA wenye thamani ya Bil.10.7

Mkuu wa mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo ametaka kupewa mpango kazi wa ujenzi unaoendelea wa Chuo cha Ufundi Stadi (VETA) cha Mkoa, kinachojengwa katika mtaa wa Kaswepepe, kata ya Sumbawanga asilia,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

IGP SIMON SIRRO AVUNJA UKIMYA KUTEKWA KWA MO

*Asema kuna gari wanaishikilia inayodhaniwa kuhusika katika kutekwa kwake*Watu nane waendelea kushikiliwa, azungumzia umuhimu wa CCTV KameraNa Said Mwishehe,Globu ya jamiiJESHI la Polisi nchini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DKT MAGUFULI APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO KUTOKA KWA MABALOZI WAWILI IKULU...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi mteule wa Japan hapa nchini Shinichi Goto Ikulu jijini Dar es Salaam.  Rais wa Jamhuri ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DKT. MAGUFULI APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO KUTOKA KWA MABALOZI WAWILI...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi mteule wa Japan hapa nchini Shinichi Goto Ikulu jijini Dar es Salaam.Rais wa Jamhuri ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS MAGUFULI KUTANA NA TAIFA STARS, AWAPATIA MILIONI 50

Na Zainab Nyamka, Globu ya JamiiRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli ametoa kiasi cha Milioni 50 kwa timu ya Taifa ya Tanzania.Fedha hizo ni  kwa ajili ya safari ya mchezo wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NHIF YATUMIA MAAFALI YA SHULE YA MSINGI KANA CENTRAL ENGLISH MEDIUM KUTOA...

MFUKO wa Bima ya Afya Mkoani Tanga (NHIF) umewapa mbinu bora za wazazi na walezi kuwapa zawadi muhimu watoto wao katika maisha yao ni kuwaingiza kwenye mpango wa Toto Afya kadi ili waweze kunufaika na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DKT TIZEBA AWATAKA WAKULIMA WA NYANYA IRINGA KUCHANGAMKIA FURSA YA UZALISHAJI...

Na Mathias Canal-WK, Mseke-IringaWaziri wa Kilimo Mhandisi Dkt Charles Tizeba (Mb), amewataka wakulima wa nyanya Mkoani Iringa kuchangamkia fursa ya kuongeza uzalishaji wa nyanya ili kuakisi uhitaji wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DK.MABODI AMUOMBEA KURA MGOMBEA WA CCM JANG’OMBE

NA IS-HAKA OMAR, ZANZIBAR. NAIBU Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Zanzibar Dk.Abdulla Juma Saadalla ‘Mabodi’ amewatahadharisha wanachama wa chama hicho, kuwa makini kwa kuepuka propaganda na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAHAKAMA YA HAKIMU MKAZI KISUTU IMEMWONDOLEA MASHTAKA MFANYABIASHARA LAUWO

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuondolea mashtaka mfanyabiashara Peter Lauwo aliyetakiwa kuunganishwa katika kesi ya utakatishaji fedha  pamoja na viongozi wa Simba na mfanyabiashara Hans Pope kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAREKANI YAISHAURI TANZANIA KUFIKIA UCHUMI WA VIWANDA

Na Said Mwishehe,Globu jamiiKAIMU Balozi wa Marekani hapa nchini Dk. Imni Patterson, ameishauri Tanzania njia muhimu za kifikia uchumi wa kati na wa viwanda.Ushauri huo ameutoa leo jijini Dar es...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ULEGA AENDELEA NA ZIARA MKURANGA, AHIMIZA AMANI NA WAFUGAJI KUJISAJILI

Na Emmanuel Massaka, Blogu ya jamiiMBUNGE wa Mkuranga na Naibu Waziri wa mifugo na uvuvi Abdallah Ulega ameendelea na ziara ya kukagua na kuhamasisha miradi ya mandeleo pamoja na kusikiliza kero za...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU MAJALIWA AZUNGUMZA NA WATUMISHI WA HALMASHAURI YA BAHI, AZINDUA...

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Selemani Jafo orodha ya watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Bahi ambao bado...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA VIONGOZI PAMOJA NA WACHEZAJI WA...

   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wachezaji wa Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars ambao walifika Ikulu jijini Dar es Salaam pamoja na Viongozi wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAHAKAMA IMEWAASA MAJAJI NCHINI KUZINGATIA SHERIA ZILIZOPO KULINGANA NA...

Na Karama Kenyunko, Glogu ya JamiiMAHAKAMA imewaasa Majaji nchini kuzingatia sheria  zilizopo kulingana na mazingira ya Taifa na Jamii kwa ujumla katika mchakato mzima wa kutoa maamuzi ili kimuweza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAIBU SPIKA DKT. TULIA ACKSON ATEMBELEA BENKI YA CRDB NA KUFANYA MAZUNGUMZO...

Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson leo ametembelea Benki ya CRDB na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo, AbdulMajid Mussa Nsekela. Dkt. Tulia...

View Article
Browsing all 110192 articles
Browse latest View live




Latest Images

<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>
<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596344.js" async> </script>