Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110192 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MPINA AWATAKA VIONGOZI WOTE WA SERIKALI KUSHIRIKI KIKAMILIFU KWENYE ULINZI WA...

Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina akifunua kitambaa katika jiwe la msingi  la ufunguzi  wa Mnada wa Kimataifa wa Mifugo Kirumi ulioko wilayani Butiama mkoani Mara juzi, wengine wanaoshuhudia ni...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

MASAUNI AZINDUA KAMPENI MAALUMU YA USALAMA BARABARANI NA UDHIBITI WA AJALI...

Na Mwandishi Wetu, Zanzibar NAIBU Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambae pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani, Mhandisi Hamad Masauni, amewatadharisha wamiliki wa shule...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NDITIYE AKAGUA MAENDELEO YA MRADI WA UJENZI A BANDARI KAVU, KWALA VIGWAZA

 Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Atashasta Nditiye akitoa maelekezo kwa wasimamizi wa mradi wa ujenzi wa bandari kavu, Kwala eneo la Vigwaza mkoani Pwani. Wa pili kushoto ni Mkurugenzi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KOMU,KUBENEA WAWEKWA CHINI YA UANGALIZI CHADEMA

Na Mwandishi wetu, Globu ya JamiiKAMATI Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), imewavua nafasi zote za uongozi na kuwaweka chini ya uangalizi kwa mwaka mmoja, Mbunge wa Ubungo, Saed...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RC GAMBO:MTUMISHI ALIYECHUKUA PESA ZAIDI(YA MWANANCHI) YA KUUNGANISHA UMEME...

Na Vero Ignatus, KaratuMKUU wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo amemwagiza Meneja wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco)Wilaya ya Karatu, Edward Mwakapaju kuhakikisha mtumishi wa shirika hilo aliyechukua...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) KUONGEZA KASI YA MATIBABU YA MOYO KWA...

 Katika kuimarisha na kuboresha matibabu ya magonjwa ya moyo kwa watoto, Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) imeendelea kuboresha wodi ya watoto iliyopo katika jengo la watoto ili ifikapo Desemba...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RC GAMBO:MTUMISHI ALIYECHUKUA PESA ZAIDI(YA MWANANCHI) YA KUUNGANISHA UMEME...

Na. Vero Ignatus, Karatu. MKUU wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo amemwagiza Meneja wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco)Wilaya ya Karatu, Edward Mwakapaju kuhakikisha mtumishi wa shirika hilo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MPINA AWATAKA VIONGOZI WOTE WA SERIKALI KUSHIRIKI KIKAMILIFU KWENYE ULINZI WA...

NA JOHN MAPEPELE, MARAWAZIRI wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina amewataka viongozi wote wa serikali kuanzia ngazi za vijiji,wilaya kushiriki kikamilifu katika ulinzi wa rasilimali za mifugo badala ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MWAKYEMBE ATEUA WAJUMBE WATANO WA BODI YA BASATA,YUMO MSANII MWANA FA...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KLINIKI YA HEAMEDA ILIYOPO BUNJU B DAR YAWEKA KAMBI KUPIMA MAGONJWA YASIYO YA...

*Daktari Bingwa wa magonjwa ya Moyo Dk. Mwandolela azungumzia mfumo wa maisha unavyochangiaNa Said Mwishehe,Globu ya jamiiKLINIKI ya Magonjwa ya Moyo Heameda iliyopo Bunju B jijini Dar es Salaam...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI KUREJESHA HALI YA WANANCHI KUJILETEA MAENDELEO

Na Mwandishi Wetu Kibiti, PwaniWananchi wa Kijiji cha Mweyubaruti Kata ya Mwambao Wilaya Kibiti wametakiwa kujenga hali ya kujiletea maendeleo badala ya kusubiri serikali kwakuwa mwelekeo wa serikali...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NEC YATANGAZA RATIBA YA UCHAGUZI JIMBO LA BABATI MJINI NA UKEREWE

Na Idara ya Habari-NECTume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza uchaguzi mdogo kwenye majimbo mawili na kata 26 za Tanzania Bara.Majimbo hayo ni pamoja na Jimbo la Babati Mjini lililopo Halmashauri ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wakulima wachangamkia fursa za Sim Akaunti ya Benki ya CRDB

 Meneja usambazaji wa Sim Akaunti wa benki ya CRDB, Yusuph Mwenda akizungumza jambo kwa waandishi wa habari, wakati wa kuchezesha droo ya promosheni ya SimAkaunti, iliyofanyika leo, Mikocheni jijini...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS AHUDHULIA MCHAPALO NA WADAU WA UTALII

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema Sekta ya Utalii imeendelea kukua kwa kasi sana Duniani kutokana na maendeleo ya teknolijia na upatikanaji...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TFDA YAIKUTANISHA TBS,GCLA,TAFFA KUJADILI UBORESHAJI WA UINGIZAJI WA BIDHAA...

Na Leandra Gabriel, Blogu ya jamii MAMLAKA ya chakula na dawa nchini (TFDA) kwa kushirikiana na shirika la Viwango nchini (TBS) , Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali (GCLA) chama cha mawakala...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TMA YATABILI MVUA KATIKA MIKOA YA PWANI, KUANZA KUNYESHA NOVEMBA 23

Na Karama Kenyunko, glogu ya jamiiMAMLAKA ya hali ya Hewa nchini,( TMA) imesema mvua katika Mikoa ya Pwani ikiwemo Dar es Salaam zinatarajiwa kuanza Novemba 23 mwaka huu.Pia TMA imetoa utabiri wa msimu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JESHI LA POLISI LAMSHIKILIA MTU MMOJA KWA KUKUTWA NA GONGO

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza tunamshikilia mtu mmoja aitwaye Bilenjo Paul, miaka 46, mkazi wa Igombe, kwa kosa la kupatikana na pombe ya moshi (gongo) kiasi cha lita arobaini (40) pamoja na dawa ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

AWESO AITAKA DAWASA KUWEKA MIRADI MIPYA PEMBEZONI MWA MIJI

NAIBU Waziri wa Maji na Umwagiliaji Jumaa Aweso amewataka Mamlaka ya Majisafi na Majitaka (DAWASA) kuweka miradi ya maji pembezoni mwa miji ili wananchi wapate maji.Aweso amewashukuru pia Shirika la...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DC MURO AVIONYA VYAMA VYA SIASA KUTODUMAZA MAENDELEO

Na Imma Msumba, ArumeruMkuu wa wilaya ya Arumeru Mhe.Jerry Muro amevitaka vyama vya siasa kuacha  malumbano na mvutano isiyokuwa na tija kwa wananchi wa Arumeru na badala yake amewataka kuungana na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SMARTPHONE, JEZI NA TIKETI KUTOLEWA KWA WASHINDI WA SHINDA ZAIDI NA SPORTPESA

Na Khadija Seif, Blogu ya JamiiKAMPUNI ya mchezo wa kubashiri ya sportpesa  imechezesha droo   ya 28 ya promosheni ya shinda zaidi na sportpesa, ambapo Amri Nicolas(28) kutoka Kigoma ameibuka mshindi...

View Article
Browsing all 110192 articles
Browse latest View live




Latest Images