ZAWADI ZATAJWA KICHOCHEO CHA UKEKETAJI TARIME
NA BALTAZAR MASHAKA, TARIME ZAWADI zimetajwa kuwa chanzo na kichocheo kikubwa cha vitendo vya ukeketaji na tohara kwa watoto wa kike na kiume wilayani Tarime katika Mkoa wa Mara. Hayo yamebainishwa na...
View ArticleOLE NASHA:VETA NI CHOMBO MUHIMU KATIKA UJENZI WA VIWANDA NCHINI
Na Chalila Kibuda, Globu ya Jamii Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia William Ole Nasha amesema kuwa Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) ni chombo muhimu katika kuzalisha...
View ArticleNAIBU WAZIRI NDITIYE ATEMBELEA MRADI WA DGMP BANDARINI
Na Leonard MagombaMRADI mkubwa wa kuboresha Bandari ya Dar es Salaam ‘Dar es Salaam Maritime Gateway Program’ (DGMP) umefikia asimilia 42 ya ujenzi wake hadi sasa.Mradi huo unahusisha ujenzi wa gati...
View ArticleHALMASHAURI YA CHALINZE YATAKIWA KUZIBA MIANYA INAYOSABABISHA KUSHUKA KWA...
NA MWAMVUA MWINYI,CHALINZEKAMATI ya siasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Bagamoyo ,,imeiasa halmashauri ya Chalinze kuongeza usimamizi na jitihada ili kuinua ukusanyaji wa mapato yake ya...
View ArticleSPIKA NDUGAI ATEMBELEWA NA WAGENI KUTOKA TAASISI YA KIMATAIFA YA KIDEMOKRASIA...
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akimsikiliza Mkurugenzi wa Taasisi ya Kimataifa ya Kidemokrasia (NDI) Kanda ya Mashariki na Kusini mwa Afrika, Dkt. Keith Jennings wakati Mkurugenzi huyo pamoja na...
View ArticleDkt. Ndumbaro akutana na Balozi wa Uganda,Uingereza na Kaimu Balozi wa Marekani
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt Damas Ndumbaro(Mb.) na Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Faraji Kasidi Mnyepe wamekutana na...
View ArticleZAIDI YA KAYA 200 KATA YA MNYANJANI JIJINI TANGA KUNUFAIKA NA MRADI WA UJENZI...
ZAIDI ya kaya 200 katika mtaa wa Mnyanjani kata ya Myanjani Jijini Tanga zitanufaika na mradi wa ujenzi wa mtaro kwa ajili ya kuondoa tatizo la mafuriko linalotokea kila nyakati za msimu wa mvua. Hayo...
View ArticleMAHAKAMA KUSHIRIKIANA NA SERIKALI KUTOA HAKI
Na Lydia Churi-Mahakama SengeremaJaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma amesema Mahakama itaendeleza ushirikiano uliopo kati yake na mihimili mingine ili kurahisisha suala la utoaji na...
View ArticleIGP AKUTANA NA BALOZI WA KOREA NCHINI
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro akizungumza na Balozi wa Korea nchini Song, Geum-young wakati balozi huyo alipotembelea Makao makuu ya Polisi Dar es Salaam ambapo walizungumza mambo...
View ArticleKAIMU MKURUGENZI TPA AFIKISHWA MAHAKAMA YA KISUTU JIJINI DAR LEO
Na Karama Kenyunko, blogu ya jamii.KAIMU Mkurugenzi wa Rasilimali watu na Utawala wa mamlaka ya bandari Tanzania, (TPA) Peter Gawile amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na...
View ArticleHakuna cha msalia mtume usipotekeleza sheria- Profesa Kikula
Na: Rhoda James - SingidaMwenyekiti wa Tume ya madini, Profesa Idris Kikula amesema kutokujua sheria ya madini si kigezo wala sababu ya kukwepa adhabu ya ukiukwaji wa sheria hiyo na kuwataka wachimbaji...
View ArticleSERIKALI IMEZITAKA HALMASHAURI KUWA NA ONE STOP CENTRES KUPAMBANA NA VITENDO...
Na Mwandishi wetu PwaniSerikali imezitaka Halmashauri zote Nchini kuhakikisha zinakuwa na vituo vya huduma za mkono kwa mkono (Ones Stop Centre) ili kuunga mkono serikali katika juhudi zake za...
View ArticleWANAFUNZI 25,532 WAPANGIWA MIKOPO KATIKA AWAMU YA KWANZA
Wanafunzi 25,532 wa mwaka wa kwanza wapangiwa mikopo ya TZS 88.36 bilioni.BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) inapenda kuwafahamisha waombaji wa mikopo kwa mwaka wa masomo 2018/2019...
View Article
More Pages to Explore .....