WAFANYAKAZI BENKI YA TIB CORPORATE WAMTEMBELEA MKURUGENZI MSD KUSHEHEREKEA...
WAFANYAKAZI wa benki ya TIB Corporate wamtembelea Mkurugenzi Mkuu wa bohari ya dawa (MSD) Laurean Rugambwa jijini Dar es Saaam leo.Uamuzi wa wafanyakazi wa benki hiyo kwenda MSD nimwendelezo wa...
View ArticleKLABU YA SIMBA WAFANYA KISOMO KUMUOMBA MUNGU MO APATIKANE AKIWA SALAMA
*Hassan Dalali,wanachama watoa ya moyoni, wasema hivi..Na Said Mwishehe,Globu ya jamiiUONGOZI wa Klabu ya Simba umeamua kufanya dua na kisomo maalumu kwa lengo la kumuomba Mwenyezi Mungu ili Mfadhili...
View ArticleWAZIRI MKUU AKUTANA NA MKURUGENZI MTENDAJI WA BENKI YA CRDB JIJINI DAR LEO
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB, Ally Laay (kulia) aliyeambatana na Mkurugenzi Mtendaji mpya wa Benki hiyo, Abdulmajid Nsekela (kushoto)...
View ArticleFUKWE KUIMARISHWA NA KUWA KIVUTIO CHA UTALII-MAJALIWA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali itaweka mikakati madhubuti kwa lengo la kuimarisha matumizi ya fukwe kama sehemu ya kivutio cha utalii ili kongeza idadi ya watalii wanaokuja nchini na...
View ArticlePROF. MDOE: WANAFUNZI 124,000 KUNUFAIKA NA MKOPO WA ELIMU YA JUU
Na Chalila Kibuda,Globu ya JamiiMAOFISA wanaosimamia madawati ya mikopo vyuoni wametakiwa kutokuwa chanzo cha migogoro ili kuhakikisha wanafunzi wanapata huduma bora isiyokuwa na urasimu na badala yake...
View ArticleWATU 300 DAR WAFANYIWA UCHUNGUZI WA MACHO
*Ni baada ya Hospitali ya macho ya Dk Agarwal kuamua kufanya uchunguzi bila malipoNa Said Mwishehe,Globu ya jamiiWATU zaidi ya 300 wamefanyiwa uchunguzi wa macho yao na matatizo mbalimbali...
View ArticleDKT MPANGO: MAREKEBISHO YA SHERIA YA TAKWIMU HAYAZUII KUFANYA TAFITI
Na. WFM Mjini Bali Indonesia Marekebisho ya Sheria ya Takwimu ya Mwaka 2018, hayawazuii wadau wa takwimu kutoa takwimu kwa ajili ya matumizi yao bali marekebisho hayo yanaweka misingi ya kuzingatiwa...
View ArticleSHUBASH PATEL ATOA MABATI 1,000 KUIMARISHA SEKTA YA ELIMU PWANI
NA MWAMVUA MWINYI,PWANI SEKTA ya elimu mkoani Pwani, inakabiliwa na changamoto ya upungufu wa vyumba vya madarasa 3,678 katika shule za msingi pamoja na nyumba za walimu 5,188.Kufuatia changamoto hiyo...
View ArticleCHUO CHA UANDISHI WA HABARI DSJ WAPATA RAIS MPYA, AAPISHWA RASMI
Na Khadija Seif,globu ya jamiiRAIS mpya wa Chuo cha Uandishi wa Habari Dar es Salaam(DSJ) Esther Amandus ameapishwa rasmi huku akitumia nafasi hiyo kutoa shukrani kwa wote walioshiriki uchaguzi...
View ArticleBALOZI WA UGANDA AMUAGA- DK.SHEIN
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Uganda Mhe.Dk.Aziz Ponary Mlima ayefika kumuaga Rais Ikulu...
View ArticleKIHAMIA:UCHAGUZI SIYO VITA , NI UTARATIBU WA NCHI WA KUPATA VIONGOZI
Na. Vero Ignatus, Liwale,-LindiMaandalizi ya uchaguzi mdogo Jimbo Liwale Mkoani Lindi na kata nne Tanzania Bara yamekamikika kwa asilimia 100Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa Tume ya uchaguzi Taifa (NEC)...
View ArticleWANANCHI KISIWANI UNGUJA WAISHUKURU SERIKALI KUPITIA TASAF.
Na Estom Sanga-ZanzibarMwenyekiti wa Kamati ya Uongozi wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii –TASAF- Ksiwani Unguja Bw. Ayoub Mohamed Mahmoud amepongeza jitihada zinazofanywa na Mfuko huo katika kutekeleza...
View ArticleULEGA AFUNGUA RASMI MAONESHO YA NNE YA NDEGE WAFUGWAO NCHINI
Na Leandra Gabriel, blogu ya jamiiNAIBU Waziri wa kilimo na uvuvi na Mbunge wa Mkuranga Abdallah Ulega amezindua rasmi maonesho ya nne ya ndege wafugwao katika viwanja vya maonesho (sabasaba) jijini...
View ArticleSERIKALI IPO TAYARI KUSAIDIA WAWEKEZAJI WA MADINI-NYONGO
Na Greyson Mwase, Sumbawanga Naibu Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo amesema kuwa Serikali kupitia Wizara ya Madini ipo tayari kuwasaidia wawekezaji kwenye shughuli za utafutaji na uchimbaji wa madini...
View Article“TUSICHANGANYE SIASA KWENYE MAENDELEO” – GAVANA SHILATU
Na Mwandishi Wetu, Mihambwe Mara nyingi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dk. John Pombe Magufuli amekuwa akisisitiza maendeleo hayana chama akiwa na maana kwenye suala la maendeleo tuweke...
View Article
More Pages to Explore .....