Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110202 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAKUKURU JIRIDHISHENI NA HUDUMA ZINAZOTOLEWA KWA WANANCHI-MAJALIWA

 WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka viongozi wa TAKUKURU wajiridhishe huduma zinatolewa kwa wananchi bila ya rushwa, watakapobaini rushwa wachukue hatua.Pia, Waziri Mkuu amewataka watumishi wa umma...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

MTANGAZAJI NGULI WA REDIO TANZANIA (RTD) AHMED JONGO AZIKWA LEO MAKABURI YA...

 Maziko ya Mtangazaji wa RTD Ahmed Jongo  yamefanyika leo  makaburi ya Mbagala Charambee Dar es Salaam Baadhi ya Ndugu,Jamaa na marafiki wakiwa wamejumuika nyumbani leo mchana kwenye mazishi ya...

View Article

CASTLE LAGER YAMLETA SAMUEL ETO'O NCHINI

Na Leandra Gabriel, Blogu ya JamiiKAMPUNI ya bia ya Tanzania (TBL) kupitia bia yake ya Castle lager imemualika mmoja ya wachezaji bora barani Afrika Samuel Eto'o kuzindua mradi wa ujenzi wa uwanja wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KESI YA KUTOA LUGHA CHAFU KWA RAIS INAYOMKABILI HALIMA MDEE YASHINDWA...

 Na Karama Kenyunko, blogu ya jamiiMAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu leo Oktoba 8 mwaka 2018 imeshindwa kuendelea kusikiliza kesi ya kutoa lugha chafu ya matusi dhidi ya Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KISANGA AWATAKA WAKAZI WA OYSTERBAY KUWA WALINZI KWENYE MAENEO YAO

 Na Khadija Seif,Globu  ya jamii  MWENYEKITI Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi(UVCCM) katika Tawi la Oysterbay Dar es Salaam  Donald Kisanga ameendesha uchaguzi wa chipukizi huku...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAMASHA LA WAJASILIAMALI KUFANYIKA OKTOBA 13 KINONDONI

Mwenyekiti wa jukwaa la kuwezesha mwanamke wilaya ya ubungo Hidaya Njaidi akizungumza jijini Dar es Salaam leo na MICHUZI BLOG wakati akihamasisha wanawake na wananchi kwa ujumla kwenda kwenye tamasha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BODI YA UTALII YAANDAA MAONESHO YA UTALII NCHINI YATAKAYOANZA OKTOBA 12

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.BODI ya Utalii Nchini (TTB) imeandaa maonesho ya kimataifa ya utalii yajulikanayo kama Swahili International Tourism Expo (SITE) ambayo hufanyika kila mwaka mwezi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATANZANIA WATAKIWA KUENZI VITU VYA KIASILI KUVUTIA WATALII

Na Zainab Nyamka, Globu ya JamiiWATANZANIA wameombwa kuenzi vitu vya asili ili kudumisha utamaduni na kuvutia watalii wengi kuja nchini.Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Japhet...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAASISI YA HDIECA YAFANYA MAONESHO YA WAJASILIAMALI WADOGO KUONESHA KAZI ZA...

Taasisi ya isiyo ya Kiserikali inayojishughulisha na maswala ya Mazingira pamoja na Utu (HDIECA) , iliandaa maonesho maalum ambayo yaliwakutanisha wajasiliamali mbalimbali ambao wanafanya shughuli zao...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JIMBO LA KONDOA LAPIGA HATUA KUBWA KIMAENDELEO MIAKA MITATU YA JPM

Na Mwandishi wetu, KondoaNAIBU Waziri wa Fedha na Mipango, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Kondoa mkoani Dodoma, Dkt. Ashatu Kijaji, amesema huduma mbalimbali za kijamii ikiwemo elimu, maji, afya,...

View Article

MICHUZI TV: SHUHUDIA CHECHE ZA HAJI MANARA

View Article

UJUMBE MZITO WA DIAMOND, KHERI YA BETHIDEI KWA KIKWETE

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Balozi Dr. Abdallah Possi, awasilisha hati za utambulisho kwa Rais wa...

Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani, Dr. Abdallah Possi, aliwasilisha hati za utambulisho kwa Rais wa Hungary Bw. János Áder hivi karibuni. Pamoja na Ujerumani, Ubalozi wa Tanzania uliopo Berlin pia...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Magufuli akutana na Wageni mbalimbali Ikulu jijini Dar es Salaam

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza  katika kikao cha kupokea Taarifa ya Maendeleo ya Ujenzi wa Ikulu ya Chamwino Dodoma kutoka kwa wataalamu mbalimbali...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKING NEWZZZ: KAMANDA WA POLISI MKOA WA KAGERA NA MAKAMANDA WA WILAYA YA...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU ATOA SIKU MBILI KWA AFISA ELIMU MULEBA

* Ifikapo Jumatano awe amepeleka walimu shule ya msingi Rwenzige*Ina wanafunzi 216 wa darasa la awali hadi la nne bila mwalimu WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa siku mbili kwa Kaimu Afisa Elimu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZANIA KUSHIRIKI MAZOEZI YA KIKOSI CHA DHARURA CHA ULINZI WA AMANI CHA SADC...

Nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) zimejipanga kuzuia na kudhibiti madhara yanayosababishwa na machafuko ya kisiasa katika jumuiya hiyo na Bara la Afrika kwa ujumla....

View Article


DIRA YA KITAA NA TOFAUTI YA MAWAIDHA NA MATANGAZO..!

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AJALI YA KENTA YAUA MCHEZAJI WA TIMU YA IYUMBU FC NA KUJERUHI 38 WAKIENDA...

Na Jumbe Ismailly SINGIDA MCHEZAJI mmoja wa timu ya soka ya Kijiji cha Iyumbu,tarafa ya Sepuka,wilayani Ikungi,Mkoani Singida,Mussa Kikumbu (20) amepoteza maisha na wengine 38 wamejeruhiwa vibaya baada...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAMA MARIA NYERERE:MAGEUZI YANAYOFANYWA NA RAIS MAGUFULI NI YA KUUNGWA MKONO

Maneno haya yamesemwa na Mama Maria Nyerere, Mke wa Hayati Mwalimu Julius K. Nyerere mwasisi wa Taifa letu alipotembelewa na Viongozi wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) TAIFA jana Oktoba...

View Article
Browsing all 110202 articles
Browse latest View live




Latest Images