Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110193 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MGENI RASMI MECHI YA SIMBA NA YANGA SPIKA JOB NDUGAI

 Mgeni rasmi katika mchezo wa watani wa jadi kati ya Simba na Yanga, Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai akiwa ameongozana na Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakwembe...

View Article



NEWS ALERT: KIPINDI KIPYA KUTIKISA TANZANIA, NI "STUKA" CHENYE UCHESHI NA ELIMU.

Kwa mara ya kwanza katika historia ya Tanzania, kipindi kipya chenye mahadhi ya pranks (kumstua mtu huku ukimrikodi anavyostuka, bila yeye kufahamu), kinaanza mwezi Oktoba.  Katika mahojiano maalum na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NEWS ALERT: WAZIRI LUGOLA AAMURU POLISI WATOE DHAMANA SIKU ZOTE ZA WIKI, SAA...

 Na Felix Mwagara, MOHA-Kasulu WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola amepiga marufuku tabia ya baadhi ya askari Polisi kutoza fedha kwaajili ya huduma ya dhamana kwa watuhumiwa waliopo...

View Article

WAZIRI ALLY ALIVYOPAMBA SHEREHE ZA MIAKA 50 YA MSONDO NGOMA... OOHH BWANA...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ASILIMIA 11 YA WATANZANIA KUWA WAZEE IFIKAPO 2050

Na Mwandishi Wetu -ArushaTanzania inakadiliwa itakuwa na wazee 11% ya watu wote nchini ifikapo mwaka 2050, kwa kuwa idadi ya watu inaongezeka kwa kasi kutokana na kuendelea kuboreka kwa huduma za Afya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU ATAKA WACHIMBAJI WADOGO WAENDE BENKI WAKAKOPE MITAJI

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka wachimbaji wadogo wa madini waende Benki wakakope mitaji kwa sababu wana uhakika wa kudhaminiwa na Benki Kuu.“Msihofu kukopa, kukopa ni jambo la kawaida sana....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YAWAAGIZA WENYEVITI WA VIJIJI KUSIMAMIA WAKANDARASI MIRADI YA UMEME...

Na Veronica Simba – LindiWaziri wa Nishati Dkt Medard Kalemani amewaagiza Wenyeviti wa Vijiji nchini kote, ambako miradi ya umeme vijijini inatekelezwa, kuwasimamia wakandarasi wanaotekeleza miradi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Serikali kuleta mabadiliko ya kiuchumi kwa wafanyakazi nchini

Na Mwandishi Wetu.Serikali imewahimiza wafanyakazi  kote nchini kuchangamkia fursa za kiuchumi ili kujiletea maendeleo  na kuchangia katika ujenzi wa Taifa. Hayo yamesemwa leo na Waziri wa Nchi, Ofisi...

View Article


NGOMA AZIPENDAZO ANKAL: Kilwa Jazz Band - Napenda nipate lau nafasi

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SONGAS yatoa rambirambi ya milioni 50 kwa wafiwa kufuatia tukio la ajali la...

Mwenyekiti wa Kamati ya Maafa ambaye pia ni Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mh. Issack Kamwelwe (wa pili kushoto) akipokea mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi za kitanzania milioni 50...

View Article

EXCLUSIVE:Makubwa yaibuka Nai kuacha video vixens kisa hiki hapa

View Article

MICHUZI TV: NAVY KENZO Kusajiliwa WCB wafunguka Haya..

View Article

MICHUZI TV: DIAMOND atanioa ni mwanaume anayenifaa, Mrembo Irene

View Article


MICHUZI TV: MBOSSO afunguka ishu ya kushindanishwa na ASLAY

View Article

MICHUZI TV: Aunty Ezekiel kumuacha Mose Iyobo, siwezi kumuhusisha Cookie na Film

View Article


MICHUZI TV: Queen Darleen Utamu wake katika Mapenzi, Mbosso sababu ya kutoboa

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DAWASA WAANZA UJENZI WA BOMBA KUBWA LA MAJI BANDARINI

Na Zainab Nyamka,Globu ya JamiiMamlaka ya Maji Safi na Maji Taka (DAWASA) wameendelea kuboresha huduma ya maji sehemu mbalimbali ikiwemo kuongeza maji ya kutosha katika bandari ya Dar es Salaam.Mkakati...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TETEMEKO LAUA 832 INDONESIA, VIFO VYAHOFIWA KUONGEZEKA

Na Leandra Gabriel, Globu ya jamiiIDADI ya vifo vilivyosababishwa   na tetemeko la ardhi na tsunani nchini Indonesia vimefikia  832  huku vifo vingi zaidi vikihofiwa kuongezeka kadri maeneo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

IMANI POTOFU-ZIMBABWE -BAADHI YA WAGONJWA WA UKIMWI WANAAMINI UKISHIRIKI...

Anaandika Dixon Busagaga.IMANI haba na zile za kishirikina zimeendelea kushika kasi kwa nchi za Afrika huku  watu wenye ulemavu wa Ngozi “Albino” wakiwa waathirika wakubwa kwa kufanyiwa vitendo vya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PROFESA NDALICHAKO 'AWATUMBUA' WAWILI WIZARANI KWAKE

NA TIGANYA VINCENT,RS TABORA WAZIRI Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako amemwagiza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo kuwaondoa kwenye vyeo vyao Mratibu wa Miradi na Kaimu Mkurugenzi wa...

View Article
Browsing all 110193 articles
Browse latest View live




Latest Images