Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110202 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MJUKUU WA MALKIA ELIZABETH II...

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mjukuu wa Malkia wa Uingereza Prince William mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam kwa ajili ya mazungumzo....

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

RC NDIKILO -AUNDA TUME NDOGO KUFUATILIA SAKATA LA MWENYEKITI WA DUTUMI...

NA MWAMVUA MWINYI, PWANI MKUU wa Mkoa wa Pwani ,mhandisi Evarist Ndikilo ameunda tume ndogo kufuatilia malalamiko ya baadhi ya wajumbe wa serikali ya kijiji cha Dutumi ,Kibaha, kumtaka mwenyekiti wao...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS MAGUFULI AAGANA NA BALOZI WA JAPANI ANAYEMALIZA MUDA WAKE IKULU JIJINI...

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Balozi wa wa Japan Masaharu Yoshida anayetarajia kumaliza muda wake wa kuiwakilisha Nchi ya Japan hapa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANANCHI WA SOGA WAPO KIHALALI WASIBUGHUDHIWE NA MTU AMA MWEKEZAJI-MABULA

NAIBU Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Angeline Mabula ,ameweka bayana kuwa wananchi wa kijiji cha Soga wilayani Kibaha mkoani Pwani, wapo kihalali hivyo asitokee mtu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JUMLA YA VIWANDA 1,596 VIMEJENGWA NCHINI-MAJALIWA

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema hadi kufikia Juni, 2018 jumla ya viwanda 1,596 vimejengwa ambapo ni sawa na asilimia 61.4 ya lengo la kujenga viwanda 2,600 hadi Desemba 31, 2018 ikiwa ni...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YAWATAKA WATAFITI KUFANYA TAFITI ZENYE TIJA NA KUBORESHA SERA YA...

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dkt. Faustine Ndugulile (ambaye alikuwa mgeni rasmi) akizungumza  katika Kongamano la kuwasilisha tafiti za dawa za kulevya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

30 WAITWA STARS MKUDE,KAPOMBE,BOCCO NDANI

Kocha mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania 'Taifa stars', Emmanuel Amunike akizungumza na waandishi wa habari jijni Dar es Salaam leo. katikati kushoto ni Afisa habari habari na mawasiliano wa Shirikisho...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS MAGUFULI AZINDUA FLYOVER YA MFUGALE ENEO LA TAZARA JIJINI DAR ES SALAAM LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia  wakati akizindua rasmi wa Daraja la Juu la Mfugale (Mfugale Flyover) katika makutano ya barabara za Nyerere na Mandela...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Pinda ajitosa kuinua lishe Kagera

Na Mwandishi Wetu, PuguWAZIRI Mkuu mstaafu, Mizengo Peter Pinda, amesema asasi zisizo za kiserikali zitachochea vikubwa maendeleo ya uchumi na ustawi wa jamii nchini endapo zitahamasisha ushiriki wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YAASWA KUTOA ELIMU YA UOKOAJI KWA WANAOTUMIA USAFIRI WA MAJINI

SERIKALI yaaswa kutoa elimu ya uokoaji kwa wananchi wanaotumia usafiri wa majini pamoja na matangazo kama ilivyo kwenye vyombo vya usafiri wa anga.Hayo yamesemwa na mwanaharakati,Laulence Mabawa wakati...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JKCI KUTOA HUDUMA YA UPIMAJI WA MAGONJWA YA MOYO NA ELIMU YA AFYA YA MOYO KWA...

Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) inapenda kuwajulisha Wahariri na Waandishi wa Habari kwamba katika kuadhimisha siku ya moyo Duniani itafanya uzinduzi wa upimaji wa afya ambao utaenda sambamba na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VAN VICKER ATUA NCHINI KWA AJILI YA UZINDUZI WA FILAMU YA D.A.D

MUIGIZAJI wa Kimataifa wa Nchini Ghana Van Vicker ametua nchini kwa ajili ya uzinduzi wa filamu mpya ya D.A.D aliyoshirikishwa na muigizaji wa Tanzania Wema Sepetu utakaofanyika kesho Septemba 28...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HUU NDIO UJUMBE WA CHIKI KWA WASANII WANAOCHIPUKIA

Khadija Seif, Globu ya jamiiSTAA mwenye ubora wake katika tasnia ya filamu za kibongo a.k.a Bongo Muvie  Chiki Mchoma amewashauri  wasanii  wanaochipukia kuhakikisha wanaishi maisha yao halisi.Amesema...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wizara ya Madini na Taasisi zake yashiriki Maonesho ya aina yake mkoani Geita

Naibu Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo akiwahutubia wananchi wa Mikoa ya Geita na Kagera tarehe 26 Septemba, 2018 katika Viwanja vya Kalangalala mkoani Geita.Na Rhoda James, GeitaNaibu Waziri wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MEDARD AZINDUA MATUMIZI YA GAS DANGOTE-MTWARA

JOSEPH MPANGALA -MTWARAWaziri wa Nishati Dkt.Medard Kaleman amezindua Mradi wa matumizi ya Nishati ya Gasi awam ya kwanza katika kiwanda cha Saruji cha Dangote kwa lengo la kuzalisha umeme wa megawatts...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

INDONESIA YAAHIDI USHIRIKIANO NA TUME YA NGUVU ZA ATOMIKI TANZANIA

Na. VERO IGNATUS, ARUSHA. Ubalozi wa Indonesia umeridhika na kazi zinazofanywa na Tume ya Nguvu za Atomiki Nchini katika kudhibiti matumizi ya nyuklia sanjari na kushirikiana katika kuhakikisha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UJENZI WA BARABARA KIWANGO CHA LAMI KINONDONI MKWAJUNI MPAKA MANGO KUPITIA...

 Uchimbaji wa barabara hiyo inayotoka Kinondoni Mkwajuni nyuma ya Muslim ukiwa unaendelea  Moja ya Greda likiendelea na kazi ya uchimbaji wa barabara wa eneo la Mkwajuni. Hili ni eneo ambalo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS MAGUFULI AWANYOOSHEA KIDOLE WATALAAM WASIO WAZALENDO, ATOA MAAGIZO

Atuma salamu kwa watalaam wa mazingira..awaambia ole wao.Na Said Mwishehe,Globu ya kijamiiRAIS Dk.John Magufuli amewataka watalaam nchini kuwa wazalendo kwa nchi yao huku akieleza kuwa baadhi ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AFUNGUA WARSHA YA WANAJIOSAYANSI. JIJINI DODOMA.

Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa mwananjiolojia, Batwenge Chakutema kuhusu vifaa mbaIimbali vinavyotumika katika utafiti na upimaji madini wakati alipofungua Warsha ya Jumuiya ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VIONGOZI WA KIJIJI WAFUNGA OFISI, “WATIMKA” KISA OPERESHENI YA BHANGI

Na Rashid Nchimbi wa Jeshi la Polisi Arusha Wananchi wa kijiji cha Kisimiri Juu Kilichopo tarafa ya King’ori wilayani Arumeru walikiacha kijiji chao kwa muda huku viongozi wao wakifunga ofisi zao na...

View Article
Browsing all 110202 articles
Browse latest View live




Latest Images