Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110192 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TBL WATEMBELEA KAMBI YA WASANII WA FIESTA DAR

MAOFISA Waandamizi kutoka kampuni ya Tanzania Breweries Lmited (TBL Group),iliyopo chini ya kampuni ya kimataifa inayoongoza kutengeneza vivywaji ya ABInBev, wamefanya ziara ya kutembelea kambi ya...

View Article



BBC DIRA YA DUNIA ALHAMISI 20.09.2018

View Article

KATIBU HAMASA UVCCM HASSAN BOMBOKO AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI

View Article

uchaguzi wa chama cha Baiskeli Tanzania CHABATA wasuasua

Afisa Habari wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT) Najaha Bakari akikumbushia uchukuaji wa fomu za uchaguzi wa chama cha Baiskeli Tanzania CHABATA unaotarajiwa kufanyika tarehe 6 Oktoba, 2018 jijini...

View Article

Serikali Yafuta Baadhi ya Tozo za Kikanuni zilizokuwa Zikitozwa na OSHA...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZIA: GWIJI WA MUZIKI WA REGGAE NCHINI JAH KIMBUTE AFARIKI DUNIA

Na Sultani Kipingo wa Globu ya JamiiHabari zilizotufikia katika chumba chetu cha habari usiku huu zinasema kwamba gwiji wa muziki wa reggae nchini Jah Kimbute (pichani) amefariki dunia nyumbani kwake...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mengi akubali kuilea Serengeti Boys

Na Mwandishi WetuMLEZI wa timu ya Taifa ya Vijana wenye umri chini ya miaka 17, ‘Serengeti Boys’, Dk. Reginald Mengi, amesema kuwa kikosi hicho kina kila sababu ya kufanya kweli katika fainali za Kombe...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO IJUMAA SEPTEMBA 21, 2018

KUPERUZI MAGAZETI ZAIDI BOFYA HAPAKUNUNUA MAGAZETI ONLINE BOFYA HAPA(Ukishafungua bofya gazeti ulipendalo, kisha fuata maelekezo)

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

IDADI YA MIILI ILIYOOPOLEWA YAFIKIA 44, WATU WALIO HAI 37 KATIKA AJALI YA...

Na Said Mwishehe,Globu ya kamiiIMEELEZWA kuwa hadi sasa jumla ya miili ya maiti ya watu 44 imetolewa ndani ya maji ya Ziwa Victoria huku pia watu waliokuwa hai 37 wameokolewa baada ya kutokea ajali ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RC SHIGELLA AWAONYA WANANCHI WA KIPUMBWI KUHUSU UINGIZWAJI WA DAWA ZA...

MKUU wa Mkoa wa Tanga Martine Shigella amewaonya wananchi wa Kijiji cha Kwakibuyu kata ya Kipumbwi wilayani Pangani wanaojishughulisha na uingizwaji wa dawa za kulevya ,wahamiaji haramu na biashara za...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TADB Board meets African Development Bank Delegation

The Tanzania Agricultural Development Bank’s Board of Directors has met with the delegation from African Development Bank (AFDB), which is in official engagements pertaining to AFDB’s projects...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAMASHA LA TULIA TRADITION DANCES FESTIVAL 2018

MKURUGENZI wa Taasisi ya Tulia Trust na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Akson, akimtunza pesa msanii wa muziki wa kizazi kipya Hip Hop akapela, Meshack Ngemela,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MATUKIO MBALIMBALI YA ZIARA YA WAZIRI MKUU MKOANI DODOMA

 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na wananchi wa Kata ya Pahi Wilayani Kondoa, akiwa kwenye ziara ya kikazi Mkoani Dodoma, Septemba 20, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu Kassim...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAANDAMANO YA KUMBUKIZI YA KIFO CHA IMAM HUSSEIN YAFANA

 Sheikh Mkuu  wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salim (wa pili kushoto) akiongoza maandamano ya kumbukizi ya kifo cha Imam Hussein Ally wa dhehebu la kiislamu la Shia, jiini Dar es Salaam juzi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VIKUNDI 19 WALIOPOKEA MSAADA KUTOKA UBALOZI WA MAREKANI WAASWA KUSIMAMIA KIDETE

VIKUNDI 19 vilivyopokea msaada kutoka Mfuko wa Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania vimeshauriwa  kusimamia kidete ili fedha zinazotolewa zifanye kazi iliyokusudiwa na si vinginevyo.Hayo yamesemwa na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA BALOZI WA UINGEREZA NCHINI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Uingereza nchini Mhe. Sarah Cooke.Pamoja na mambo mengine Balozi wa Uingereza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Michuzi Media Group (MMG) inaungana na watanzania wote kutoa salamu za pole...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NEWZ ALERT:IDADI YA MIILI ILIYOOPOLEWA YAONGEZEKA KUFIKIA 86, WATU WALIO HAI...

Kwa mujibu wa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza,Mh John Mongella  hadi leo saa 4 asubuhi Septemba 21,2018,jumla ya maiti 86 zimeopolewa.Akihojiwa na Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC),Mongella amesema Miili...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI AZITAKA TAASISI ZA FEDHA, WAENDELEZAJI MILKI BINAFSI KUSHIRIKIANA NA...

NAIBU Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Anastazia Mabula amezitaka taasisi za fedha pamoja na waendelezaji milki binafsi kushirikiana na Serikali ili kutatua changamoto iliyopo ya uhaba wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAFANYABIASHARA WATAKIWA KUTUMIA KITUO CHA KIBIASHARA NMB

Na Mwandishi Wetu, MorogoroSERIKALI mkoani Morogoro imewahimiza Wafanyabiashara wakubwa eneo hilo kukitumia Kituo cha Biashara kilichofunguliwa na Benki ya NMB ili kutambua fursa zilizopo katika kituo...

View Article
Browsing all 110192 articles
Browse latest View live




Latest Images

<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>
<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596344.js" async> </script>