Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110193 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAFANYAKAZI WA BENKI YA CRDB WAPATIWA MAFUNZO YA KUKABILIANA NA MAJANGA YA MOTO

 Mkurugenzi wa Benki ya CRDB Idara ya Udhibiti hali hatarishi, Anderson Mlabwa akizungumza jambo wakati wa kufunga mafunzo ya kuwajengea uwezo wafanyakazi wa Benki hiyo juu ya kukabiliana na majanga ya...

View Article



BBC DIRA YA DUNIA JUMATANO 19.09.2018

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO ALHAMISI SEPTEMBA 20, 2018

KUPERUZI MAGAZETI ZAIDI BOFYA HAPAKUNUNUA GAZETI  ONLINE BOFYA HAPA(Ukishafungua Bofya gazeti ulitakalo kisha fuata maelekezo)

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

YANGA YAVUNA POINTI 3, MAKAMBO AFUNGA GOLI LA USHINDI

Na Agnes Francis, Globu ya Jamii.Mabingwa wa kihistoria ligi kuu Tanzania Bara Yanga Sc wametoka kifua mbele kwa bao 1-0 dhidi ya wagosi wa kaya Coastal Union katika dimba la uwanja wa Taifa Jijini Dar...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Jalada la kesi ya Uhujumu Uchumi dhidi ya aliyekuwa mfanyakazi wa TAZAMA lipo...

Na Karama Kenyunko, blogu ya jamii.UPANDE wa mashtaka katika kesi ya  Uhujumu Uchumi dhidi ya aliyekuwa mfanyakazi wa Shirika la Mafuta Tanzania na Zambia(Tazama), Samwel Nyakirang'ani na wenzake,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NHIF TABORA YALIPA BILIONI 3.8 KWA WATOA HUDUMA KATIKA MWAKA WA FEDHA ULIOPITA

Na Tiganya Vincent Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya(NHIF) Mkoa wa Tabora umelipa jumla ya bilioni 3.8 kwa watoa huduma mbalimbali mkoani humo katika mwaka wa fedha uliopita.Kauli hiyo imetolewa hivi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANAWAKE 46,158 WAMEJIFUNGUA TOKA JANUARI HADI SASA MKOANI TABORA

Na Tiganya VincentJUMLA ya wanawake 46,158 mkoani Tabora wamejifungua katika kipindi cha kuanzia Januari hadi kufikia Septemba mwaka huu.Kauli hiyo imetolewa hivi karibuni na Kaimu Katibu wa Afya wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

POLISI ARUSHA WAFANIKIWA KUPATA GARI AINA YA TOYOTA SURF ILIYOIBIWA SEPTEMBA 17

Na Seif Mangwangi, ArushaJESHI la Polisi Mkoa wa Arusha limefanikiwa kupata gari aina ya Toyota surf namba T996AGK, lililokuwa limeibiwa  Septemba 17, mwaka huu katika eneo la stand ndogo lilipokuwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CRDB BANK PLC announcing the new CEO, Mr. Abdulmajid Musa Nsekela

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI KALEMANI AWATOA HOFU WANANCHI KUHUSU MATUMIZI YA UMEME WA REA

Na Veronica Simba – MaraWananchi wametakiwa kuondoa hofu kuwa umeme unaosambazwa vijijini kupitia Mradi wa Umeme Vijijini (REA) ni mdogo usioweza kutumika kwa shughuli kubwa za kibiashara kwani si...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WALIOKUFA KWA AJALI YA BOTI NYAMINYWILI WATAMBULIWA - LYANGA

NA MWAMVUA MWINYI, RUFIJIWATU watatu kati yao akiwemo mtoto wa miaka kumi, wamefariki dunia baada ya boti waliyokuwa wakisafiria wakitokea mashambani kupinduka wakati walipokuwa wakielekea msibani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VIJANA 4200 NCHINI KUNUFAIKA MRADI WA KILIMO KUPITIA KITALU NYUMBA

Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu,Bunge, Sera, Kazi, Ajira, Vijana na Walemavu, Mhe. Anthony Mavunde akimwagilia bustani ya kijana Matogolo Samwel wa Kijiji cha Mwamanyili wilayani Busega, wakati wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mradi mpya wa utafiti kujenga uwezo kukabili mabadiliko tabia nchi wazinduliwa

Na Mwandishi wetuMRADI mpya wa utafiti na wa kujenga uwezo wa kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi na kutoa ushauri wa kisera katika nyanja za kilimo na mfumo wa chakula nchini Tanzania umezinduliwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAZISHI YA JOHN GUNINITA IFAKARA WILAYANI KOLOMBELO

Waombolezaji wakiandamana kutangulia mbele wakati mwili wa Marehemu John Guninita ulipokuwa ukipelekwa eneo la kusaliwa wakati wa mazishi yake yaliyofanyika jana, Ifakara wilayani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Naibu Waziri Biteko atatua mgogoro uchimbaji madini Tarime

Naibu Waziri wa Madini, Doto Biteko (katikati mbele) pamoja na msafara wake wakiendelea na ziara katika machimbo ya dhahabu ya Msege yaliyopo wilayani Tarime mkoani Mara. Na Greyson Mwase, Tarime Naibu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KILIMO CHA MPUNGA CHA SHADIDI KIMEANZA KUWA MKOMBOZI KWA WAKULIMA ZANZIBAR

Na Fatma Abdallah, Maelezo - Zanzibar Wakulima wa Mpunga wa kilimo cha majaribio cha Shadidi wameongeza uzalishaji kutoka tani 4.3 msimu wa vuli kufikia tani 13.5 msimu wa mwaka baada ya kupatiwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAFANYABIASHARA SAME WAFURAHIA ELIMU YA KODI

Na Veronica KazimotoWafanyabiashara Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro wamefurahia elimu ya kodi iliyotolewa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ikiwa na lengo la kuwaongezea uelewa juu ya Msamaha wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

PROMOSHENI YA SHINDA ZAIDI NA SPORTSPESA YAZINDULIWA

Na Khadija Seif, Globu ya JamiiKAMPUNI ya  kubashiri michezo nchini ya Sportspesa imezindua rasmi promosheni ya kuinua watu maisha yao hasa kiuchumi inayokwenda kwa jina la Shinda zaidi na...

View Article

MICHUZI TV LIVE: KATIBU HAMASA UVCCM HASSAN BOMBOKO AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AMANI CENTRE WAOKOA WATOTO 1200 WALIOKUWA WAKIISHI KATIKA MAZINGIRA HATARISHI

Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika lisilo la Kiserikali la Kituocha Amani (Amani Center for Street Children ) Meindert Schaap akizungumza wakati wa mahafali ya 12 ya wanafunzi wa Darasa la Saba waliokolewa...

View Article
Browsing all 110193 articles
Browse latest View live


Latest Images