Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110201 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DONGE NONO KUTOLEWA KWA WATAKAOFICHUA WEZI WA MITA ZA MAJI JIJINI MWANZA

Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Jijini Mwanza (MWAUWASA) imesema itatoa zawadi nono kwa wananchi watakaofanikisha kukamatwa kwa wezi wa mita za maji jijiini humo. Akizungumza na mwandishi wa...

View Article



MICHUZI TV LIVE: ''SIRI YA USHINDI WA CCM KATIKA UONGOZI WA AWAMU YA 5''

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mafundi washauriwa kuwa waaminifu

Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya Wazazi wa CCM mkoa wa Dar es Salaam, Edson Fungo kwenye tai nyekundu akioneshwa jinsi injini ya gani inavyofanya kazi na mwanafunzi aliyehitimu Mussa Ally. Na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MNAIGERIA KIZIMBANI KWA SHTAKA LA KUSAFIRISHA DAWA ZA KULEVYA

RAIA wa nchini Nigeria, Martine Ike (46) mfanyabiashara na Mkazi wa Mbezi Salasala, amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na shtaka la kusafirisha gramu 647.7 za...

View Article

MICHUZI TV LIVE: IBADA YA KUAGWA MWILI WA MISANYA BINGI

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tigo na Clouds Wazindua Msimu wa Tigo Fiesta 2018 – Vibe Kama Lote

Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), Godfrey Mngereza (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari leo kuhusu msimu mpya wa Tigo Fiesta 2018 – Vibe Kama Lote kupata vibali kutoka kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CAF YATAJA WAAMUZI MECHI YA TANZANIA NA CAPE VERDE

Shirikisho la Mpira wa Miguu Barani Africa CAF limetaja waamuzi kutoka nchini Mali kuchezesha mchezo wa kufuzu AFCON 2019 kati ya Cape Verde na Tanzania katika Uwanja wa Estadio National  Oktoba...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KUELEKEA MICHEZO YA MAJESHI SANLAM LIFE INSURANCE YATOA VIFAA VYA MICHEZO KWA...

Kamishna wa Huduma za Urekebishaji, Augustine Mboje(kushoto) akipokea vifaa vya michezo toka kwa Mkurugenzi Mkuu wa SANLAM LIFE INSURANCE Bw. Khamis Suleiman,(wa tatu toka kulia) ni Meneja Uhusiano...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA LAKABIDHIWA KANDARASI YA KUJENGA OFISI ZA MAKAO...

Mkurugenzi wa Uendelezaji Miliki wa Shirika la Nyumba la Taifa, Haikamen Mlekio na wafanyakazi wengine wa Shirika la Nyumba la Taifa wakiwa ndani ya ofisi za NHC Dodoma. Watendaji wa Shirika la Nyumba...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI KAMWELWE: SINA IMANI NA MHANDISI MSHAURI

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Isack Kamwelwe ameuagiza Wakala wa Barabara (TANROADS), mkoa wa Tabora kujiridhisha kwa kuyapima tena madaraja na makalvati yaliyoanza kutengenezwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LUKUVI ALILIWA ZUMBA /SOGA KUTATUA MGOGORO WA ARDHI BAINA YA WANANCHI NA...

NA MWAMVUA MWINYI,KIBAHA VIJIJINIMBUNGE wa jimbo la Kibaha Vijijini Hamoud Jumaa, ameingilia kati mgogoro wa ardhi kati ya kampuni ya Mohammed Enterprises na kijiji cha Zumba ,Mpiji Stesheni ,Soga na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATANZANIA WATEULIWA NA CAF KUCHEZESHA NA KUSIMAMIA MECHI ZA KUFUZU AFCON

Shirikisho la Mpira wa Miguu Barani Africa CAF limetaja waamuzi kutoka nchini Tanzania kuchezesha mchezo wa kufuzu AFCON 2019 Cameroon kati ya Seychelles na South Africa utakaochezwa Uwanja wa Stade...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MHAGAMA AWAAGIZA WAJUMBE WA CWT KUTEKELEZA HOJA ZA CAG

Na Mwandishi Wetu.Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama (Mb) amewaagiza wajumbe wa baraza la chama cha walimu Tanzania kutekeleza...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

VETA KANDA YA DAR ES SALAAM YATOA MSAADA WA VIFAA CHUO CHA UFUNDI MAALUM YOMBO

Na Chalila Kibuda,Globu ya JamiiMAMLAKA ya Elimu na Ufundi Stadi Kanda ya Dar es Salaam imetoa msaada wa vifaa mbalimbali vyenye thamani zaidi ya sh.milioni 41 katika Chuo cha Ufundi Maalumu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZOEZI LA UZIBAJI MIVUJO TABATA LAKAMILIKA KWA ASILIMI 85- MHANDISI ARON

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.MAMLAKA ya Maji Safi na Maji Taka Mkoa wa Dar es Salaam (DAWASA) wamefunga zoezi la  siku tatu la uzibaji wa mivujo ya mabomba katika Mkoa wa Tabata na kufanikisha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

PROFESA MBARAWA AMEWATAKA WAKAZI WAISHIO KWENYE MIUNDOMBINU YA MAJI KUONDOKA

Waziri wa maji na umwaguliaji profesa Makame MbarawaNa Agness Francis,Globu ya jamii.WAZIRI wa maji na umwaguliaji profesa Makame Mbarawa amewata wakazi waliojenga na wanaoishi Katika miundombinu ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATU WENYE UALBINO 35 WA MATAIFA YA ULAYA NA AFRIKA KUPANDA MLIMA KILIMANJARO

Na Kadama Malunde – Malunde1 blogJumla ya Watu Wenye Ulemavu wa Ngozi 35 kutoka mataifa ya Ulaya na Afrika wanatarajia kupanda Mlima Kilimanjaro kuanzia Septemba 21,2018 kwa ajili ya kuongeza uelewa wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BODABODA, BAJAJI, TAXI KUSHINDWA KULETA HESABU NA KUKUSABABISHIA HASARA, NINI...

Na  Bashir  YakubSio siri wengi waliowekeza kwenye biashara ya bajaji,bodaboda,taxi na hata daladala wamejuta kufanya hivyo. Wengi wameingia hasara na mambo hayakuwa kama walivyotarajia. Na...

View Article

JKT yatekeleza kwa vitendo ujenzi wa uchumi wa Viwanda - Dkt Hussein Mwinyi

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Delegation from African Development Bank visits Bank of Tanzania

The delegation from African Development Bank’s (AFDB) has paid a courtesy call to the Bank of Tanzania Office in Dar es Salaam for official engagements pertaining to AFDB’s projects supervision in the...

View Article
Browsing all 110201 articles
Browse latest View live




Latest Images