Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110192 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

'NCHI ZA AFRIKA KUENDELEA KUKABILIWA NA UHABA WA MBEGU BORA ZENYE KUTOA MAZAO...

Seif Mangwangi,ArushaNCHI za Afrika zitaendelea kukabiliwa na uhaba wa mbegu bora za msingi zenye kutoa mazao mengi na bora kutokana na uzalishaji wa mbegu hizo kuwa mdogo kulinganisha na mahitaji...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

DC KAWAWA APIGA MARUFUKU WANAOSHIRI KUKARIBISHA MIFUGO KIHOLELA

NA MWAMVUA MWINYI, BAGAMOYO MKUU wa wilaya ya Bagamoyo, Zainab Kawawa ametoa onyo kwa baadhi ya viongozi wa vijiji na watendaji wanaoshiriki kukaribisha wafugaji bila utaratibu na waache mara moja...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

YALIYOJIRI LEO BUNGENI JIJINI DODOMA

Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Azzan Mussa Zungu akiongoza kikao cha saba cha mkutano wa kumi na mbili cha Bunge hilo leo Jijini Dodoma.Naibu Waziri wa Fedha na Mipango...

View Article

HISTORIA YA UTALII ILIYOSAHAULIKA KATI YA TANZANIA NA MSUMBIJI

Unapozungumzia nchi ya Msumbiji kuhusu kupata uhuru lazima utaigusa nchi ya Tanzania, Tanzania ni miongoni mwa nchi iliyotoa mchango mkubwa katika kuhakikisha nchi ya Msumbiji inapata Uhuru. Makazi ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI KUKUZA UCHUMI KWA KUDHIBITI FEDHA ZA ZIADA KATIKA MZUNGUKO

Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb).FEDHA za ziada kuwepo katika mzunguko wa uchumi sio kigezo cha kukua kwa uchumi wa Taifa bali ni ishara ya Taifa hilo kushindwa kudhibiti...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MASENETA KUTOKA BUNGE LA UFARANSA WAKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WENYEVITI WATATU...

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama Mhe. Mussa Azzan Zungu (katikati) akiongoza kikao kilichokuwakutanisha Wenyeviti wa Kamati tatu za Bunge (kushoto) na Maseneta kutoka...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NIDA YAANZA KUTOA VITAMBULISHO VYA UTAIFA KWA WALEMAVU KINONDONI

Na Leandra Gabriel, Blogu ya jamiiMKUU wa Wilaya ya Kinondoni Daniel Chongolo amezindua rasmi zoezi la utambuzi na usajili kwa watu wenye ulemavu ili waweze kupata vitambulisho vya utaifa na hii ni kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS MAGUFULI AMUAGIZA DK. JINGU KUSIMAMIA UTENDAJI KAZI WA NGOs

Na Mwandishi Wetu DodomaRAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amemuagiza Katibu Mkuu Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. John Njingu kusimamia kwa karibu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAMILIKI WA VIWANDA WANAOKIUKA SHERIA YA MAZINGIRA NCHINI KUCHUKULIWA HATUA...

Serikali imetoa wito kwa wamiliki wa viwanda kuzingatia utekelezaji wa Sheria ya Mazingira na Mikakati mbalimbali iliyopo kwa ajili ya kuwezesha usimamizi endelevu wa hifadhi ya mazingira kwa faida...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAIBU WAZIRI MHANDISI NDITIYE AZINDUA WIKI YA SHIRIKA LA RELI NCHINI

Na Emmanuel Massaka, Globu ya JamiiNaibu Waziri wa Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiy amefungua wiki ya Shirika la Reli Tanzania (TRC) pamoja na kuzindua nembo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZAZI, WATOTO OMBAOMBA KUSHTAKIWA

Na Fatma Salum – MAELEZOSERIKALI imewaagiza Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi wa Halmashauri nchini kuwakamata na kuwashitaki mahakamani watoto pamoja na wazazi wao ambao huzagaa mitaani kuombaomba.Agizo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

GARI LAACHA NJIA BA KUINGIA MTARONI WAZO JIJINI DAR

 Deleva wa bajaji,pikipiki wakiangalia namna gari hilo lilivyoongia mtaroni jijini Dar es Salaam.Gari  limeacha njia na kuingia mtaroni katika eneo la  Wazo barabara ya Madale Jijini Dar es Salaam...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

YANGA KUCHEZA MECHI 11 UWANJA WA TAIFA

Raundi ya nne ya Ligi ya Tanzania Bara (TPL) inaendelea tena wikiendi hii kwa timu mbalimbali kukutana kwenye viwanja tofauti nchini.Ratiba hiyo ya Ligi inaonesha Yanga na Simba wote wakiwa Jijini Dar...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DKT. MAGUFULI AMUAPISHA MKURUGENZI MKUU WA TAKUKURU, KATIBU MKUU WA...

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Kamishna Diwani Athuman Msuya kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa TAKUKURU katika Ikulu ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHUO KIKUU ARDHI CHAANZA KUTUMIA NDEGE TIARA KATIKA UKUSANYAJI TAARIFA NA...

Mtaalam wa ndege tiara kutoka kampuni ya China TOPRS Tech Limited, Yu Jing Run akiiandaa ndege tiara tayari kwa kuirusha katika viwanja vya Chuo Kikuu Ardhi (ARU) Septemba 12 2018, wakati wa uzinduzi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BALOZI WA INDIA ATEMBELEA BUNGE NA KUZUNGUMZA NA SPIKA NDUGAI

Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai akizungumza na na Balozi wa India nchini Mhe. Sandeep Arya Ofisini kwake Jijini Dodoma. Balozi wa India nchini Mhe. Sandeep Arya akimueleza jambo Spika wa Bunge Mhe. Job...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VIONGOZI WA KLABU YA MALINDI WANAOTAMBULIWA NA BODI YA WADHAMINI WASEMA...

Kaimu Naibu Katibu Mkuu wa Malindi Sports Club anaetambuliwa na Bodi ya Wadhamini Mtumwa Said Haji (Kijiba) akitowa maelezo kwa Waandishi wa habari kuhusu mgogoro wa Uongozi unaoikabili klabu hiyo....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZAZI, WATOTO OMBAOMBA KUSHTAKIWA

Na Fatma Salum – MAELEZOSerikali imewaagiza Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi wa Halmashauri nchini kuwakamata na kuwashitaki mahakamani watoto pamoja na wazazi wao ambao huzagaa mitaani kuombaomba. Agizo...

View Article

BBC DIRA YA DUNIA JUMATANO SEPTEMBA 12, 2018

View Article

Mkuu wa wilaya ya Kibaha Asumpter Mshama mzigoni

View Article
Browsing all 110192 articles
Browse latest View live




Latest Images