Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110192 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BODI YA KOROSHO YASHAURIWA KUZITUMIA TAASISI ZA KIJESHI ZA JKT MGAMBO NA JKT...

 MKUU wa Mkoa wa Tanga Martine Shigella akizungumza katika mkutano wa wadau wa zao la korosho uliokuwa na lengo la kujadili maendeleo ya Tasnia ya zao la korosho kwa kipindi cha msimu wa miaka mitatu...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWAKILISHI WA PAPA AWATEMBELEA JIMBO KUU LA TABORA

 Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri (kushoto) akizungunza na  Balozi wa Vatican nchini ambaye ni Mwakilishi wa Papa, Askofu Mkuu Marek Solczynski( wa pili kutoka kushoto) na  Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wananchi wa Mkuranga wanufaika na Kilimo

Na Emmanuel Massaka,Global ya jamiiWILAYA ya Mkuranga ni moja ya wilaya saba zilizopo mkoani pwani wakazi wake  wakijishughuisha sana na shughuli za kilimo ilikujipatia kipato.Wilaya ya Mkuranga...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWEZI MMOJA WA KAMPENI YA USAFI MILIONI 346 ZAPATIKANA, MAKONDA ALAANI MGAMBO...

Na Leandra Gabriel, Blogu ya jamiiMKUU wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda ametoa taarifa ya kampeni ya usafi iliyoanza takribani mwezi mmoja uliopita katika kikao kilichohusisha wadau ya afya na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HALMASHAURI YA MKURANGA YARUDISHA ENEO LA DUNDANI

HALIMASHAURI ya Wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani imelirudisha eneo la Dundani ililolichukua kwa madhumuni ya kufanya shughuli za uwekezaji wa viwanda na kulirudisha mikononi mwa wananchi.Eneo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIDOMOLE FC YAICHAPA VIKAWE FC BAO 1-0

 Vikosi vya Timu za Vijiji vya Kidomole pamoja na Vikawe vikiwa katika picha ya pamoja na Mdhamini wao, Tippo Athuman a.k.a Zizzou (kati) kabla ya mtanange wao ulipigwa jana jioni katika uwanja wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DKT. MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA DARAJA LA MTO SIBITI...

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na viongozi mbalimbali wa Serikali, Mawaziri, Viongozi wa dini na Chama akivuta utepe kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS AFANYA ZIARA WILAYANI UVINZA MKOANI KIGOMA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo ameendelea na ziara yake ya kukagua na kuhamasisha shughuli za maendeleo mkoani Kigoma ambapo ametembelea Wilaya ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATANZANIA WAOMBWA KUSHIRIKI SIKU YA MAZINGIRA SEPT 15, 2018

Na Cathbert Kajuna - Kajunason/MMG.Tanzania itashiriki kwenye Siku ya Usafi Duniani ambayo itafanyika kwa mara ya kwanza Jumamosi tarehe 15 Septemba, 2018. Tukio hili litafanyika chini ya kauli mbiu ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATAALAM WA AFYA KUTOKA MAREKANI WATEMBELEA HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI...

Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) Prof. Lawrence Museru (kushoto) akizungumza na mke wa aliyekuwa Balozi wa Marekani Dkt Deborah Stith. Wataalam kutoka vyuo vikuu mbalimbali...

View Article

INTRODUCING "FASHIONISTA" BY CLICKER FT. MR BLUE

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BASI LA MWENDOKASI LAPATA AJALI JIJINI DAR ES SALAAM

 Wananchi wakiangalia ajali ya basi la mwendo kasi lenye namba za usajili, T 967 DGV  iliyohusishwa na ajali ya barabarani na gari dogo lenye namba za usajili  T 584 DLA kwenye makutano ya Barabara ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 1

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANGAZO LA MAONESHO YA TEKNOLOJIA YA DHAHABU MKOANI GEITA.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Taarifa ya hali ya Mfumuko wa Bei nchini kwa mwezi Agosti, 2018

Mkurugenzi wa Sensa ya Watu na Takwimu za Jamii wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Ephraim Kwesigabo akitangaza hali ya Mfumuko wa Bei wa Taifa kwa mwezi Agosti, 2018 leo jijini Dodoma. Baadhi ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATU WANNE WAFARIKI DUNIA PAPO HAPO KATIKA AJALI YA GARI LA KUBEBA MBAO ROMBO

Na Dixon Busagaga,Rombo.WATU wanne wakiwemo wawili wa familia moja wamefariki dunia papo hapo baada ya gari walilokuwa wakisafiria aina ya Isuzu kuacha njia na kwenda kugonga ngema katika eneo la...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS MAGUFULI ATOA SALAMU ZA POLE KWA MAJERUHI SITA WA AJALI SIMIYU, WAKIWEMO...

Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Anthony Mtaka akikabidhi salamu za pole kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli, kwa Mwandishi wa habari wa AZAM TV, Bi Rehema...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mikocheni veterans ndani ya michezo ujirani mwema nchini Rwanda

Timu ya Mikocheni veterans itashiriki tamasha maalum ya ujirani mwema lililopangwa kufanyika Kigali, Rwanda kuanzia Septemba 22. Timu hiyo inatarajia kuandoka nchini Septemba 19, ikiwa na wachezaji na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kwa Simu toka London: VItabu Mahiri Vya Kiswahili

Mwandishi nguli wa Kiswahili - Mohammed S Mohammed- aliwahi kupata tuzo mbalimbali na kuzawadiwa na Mwalimu Nyerere (1970) na Kenyatta (1973). Ingawa alichapisha vitabu vitatu tu Mohammed S Mohammed...

View Article

MICHUZI TV: DIRA YA KITAA : TOFAUTI YAMPIGA PICHA NA PHOTOGRAPHER

View Article
Browsing all 110192 articles
Browse latest View live




Latest Images

<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>
<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596344.js" async> </script>