Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110192 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA UTURUKI NCHINI

  Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akisalimiana na Balozi wa Uturuki nchini Tanzania, Mhe. Ali Davutoglu kabla ya kikao kilichofanyika leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.Spika wa Bunge,...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

DC ahimiza jamii za wafugaji kusomesha watoto wa kike hadi chuo kikuu

Na Ahmed Mahmoud SimanjiroMkuu wa wilaya ya Simanjiro,Mhandisi Zephania Chaula amezitaka jamii za wafugaji kuanza kuchukua hatua dhidi ya Mila potofu zinazoendelea kumkandamiza Uhuru wa mtoto wa kike...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PROF. MKUMBO AWASHAURI WAHANDISI KUWA NA MAJIBU KABLA YA WANASIASA KUWAULIZA...

Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji, Profesa Kitila Mkumbo.Na Said Mwishehe,Globu ya jamiiKATIBU Mkuu wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji, Profesa Kitila Mkumbo amewashauri wahandisi nchini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VYUO VIKUU VIWE NA BODI ILI KULINDA MASLAHI YA WANAFUNZI NA WAHADHIRI

Na Leandra Gabriel, Blogu ya jamiiMBUNGE wa Manonga Mh. Seif Gulamali amependekeza kuwepo kwa bodi maalumu itakayowaongoza wahadhiri wa vyuo vikuu kiutendaji na kinidhamu.Akichangia katika mjadala wa...

View Article

ISBAH ENTERTAINMENT YAANDAA SHOW YA KIBABE JIJINI DAR ES SALAAM

View Article


SIFA YA TRENI YA UMEME, IKIWA DEREVA ATAENDESHA KWA KASI KINYUME NA UTARATIBU

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO WASAINI MKATABA WA MKOPO WENYE RIBA ZIRO NA BENKI...

Na Avila Kakingo, Globu ya Jamii.WIZARA ya Fedha na mipango kwa niaba ya serikali imesaini mkataba Mkopo wa fedha kati ya serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania na benki kuu ya dunia jijini Dar es...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA BAJETI YAPATIWA MAFUNZO BUNGENI JIJINI DODOMA

 Mtaalamu wa masuala ya Jinsia, Bajeti kwa Mtazamo wa kijinsia na Haki za Binadamu, Ndg. Gemma Akilimali (aliesimama) akitoa mada kwa Wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Bajeti katika semina...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS MAGUFULI AKAGUA UJENZI WA DARAJA LA MTO MARA, AHUTUBIA WANANCHI WA...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Nyamongo mkoani Mara wakati akitokea Mugumu Serengeti. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John...

View Article


Job Opportunity in Tanzania: COMMISSION SALES REPRESENTATIVES

We are a group of companies currently looking to expand and now we are looking for Commission based sales representatives in Dar es salaam (4) who will be placed in different territories.The ideal...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Viwanja vya ndege vyaaswa kuweka mikakati ya kukabiliana na magonjwa...

Na Chalila Kibuda, Globu ya JamiiMAMLAKA ya Usafiri wa Anga (TCAA)  imesema kuwa viwanja vya ndege na wadau wengine katika usafiri wa anga wanatakiwa kuwa na mikakati ya kukubiliana na magonjwa ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMBI YA TIMU YA YAIFA YA SOKA LA UFUKWENI KUVUNJWA JUMAPILI

kIkosi cha timu ya Taifa ya soka la Ufukweni wakiwa katika picha ya pamoja.Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya soka ya ufukweni (Beach Soccer) Boniface Pawasa amesema kuwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANAFUNZI WATATU WA IFM WAPATA UFADHILI WA ADA YA MWAKA WA TATU

Na Chalila Kibuda, Globu ya JamiiWanafunzi watatu wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) wamepata ufadhili kusoma mwaka wa tatu kwa kulipiwa ada kupitia kampuni ya Bima ya Metropolitan.Akizungumza wakati...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MTAANI : MAANDALIZI YA BIASHARA

 Mfanyabiashara wa Matunda akiendelea na biashara yake huku pembeni kukiwa na mtaro wa maji machafu katika eneo la Mwenge  jijini Dar as Salaam,jambo ambalo ni hatari kwa afya ya walaji.Wananchi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PROF KITILA MKUMBO AWATAKA WADAU WA MAJI KUTOA MAONI YA UTUNGAJI WA SHERIA...

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.KATIBU Mkuu wa  Wizara ya Maji na Umwagiliaji Prof Kitila Mkumbo amewataka  wadau wa maji nchini kushiriki katika utoaji wa maoni kuhusiana na utungaji wa sheria mpya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

PPRA yawapa wahandisi ufafanuzi fursa ya ununuzi kwa njia ya mtandao

Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA), imeendelea kuwapa wadau wake elimu na ufafanuzi kuhusu fursa na faida za kutumia mfumo wa ununuzi wa njia ya mtandao (TANePS). Mamlaka hiyo imetumia fursa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MICHUZI TV: Mgambo wanaodaiwa kupiga raia virungu na Ofisa mtendaji Bunju...

Na Karama Kenyunko,blogu ya Jamii.ASKARI Mgambo wawili na Afisa mtendaji wa kata ya Bunju,  wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na shtaka la kumjeruhi kwa kutumia Rungu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMISHNA JENERALI KASIKE AFANYA ZIARA YA KIKAZI MKOANI TANGA

Kamishna Jenerali wa Magereza (CGP) Phaustine Kasike (mwenye miwani) akisalimiana na baadhi ya maafisa wa ofisi ya Mkuu wa Magereza mkoa wa Tanga, Gereza Kuu Maweni na gereza la Mahabusu Tanga mara...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS MAGUFULI KUANZA ZIARA MKOANI SIMIYU KESHO SEPTEMBA 08

Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Anthony Mtaka akizungumza na waandishi wa habari Ofisini kwake leo, kuhusu ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, ambaye...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Programu ya Vodacom Tanzania ya mafunzo kwa wahitimu vyuo vikuu kufanikisha...

Programu nyingi za mafunzo kwa wahitimu wa vyuo vikuu wasio na uzoefu wa kazi duniani kote, zimekuwa zinalenga kuwawezesha wasomi wenye utaalamu katika fani mbalimbali kuwa na dhamira ya kuajiriwa...

View Article
Browsing all 110192 articles
Browse latest View live




Latest Images

<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>
<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596344.js" async> </script>