Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110193 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHANGAMOTO YA KUPUNGUA KWA MAJI MTO MARA KUPATIWA UFUMBUZI

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba amewakumbusha watendaji wa Wilaya ya Serengeti wajibu wao wa kipekee wa ulinzi katika hifadhi ya mbuga ya Serengeti...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

BARABARA YA MASWA-BARIADI KUONGEZA UKUAJI WA UCHUMI KANDA YA ZIWA

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Isack Kamwelwe, akifafanua jambo kwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Anthony Mtaka wakati alipofanya ziara ya ukaguzi wa ujenzi wa barabara ya Maswa-Bariadi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU MAJALIWA AKUTANA NA WAFANYABIASHARA WA CHINA JIJINI BEIJING

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na baadhi ya Wafanyabiashara wa nchini China, wakati akizungumza nao leo jijini Beijing ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya Mkutano wa wakuu wa nchi na serikali wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANAWAKE NCHINI WAMETAKIWA KUPIGA VITA MFUMO DUME

 Profesa Marjorie Mbilinyi akizungumzia simulizi ya hadithi yake  Jijini Dar es Salam katika viwanja vya ofisi ya TGNP mtandao  jinsi alivyofanikiwa  kupambana kupiga vita mfumo dume usimtawale katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JWTZ laahimisha miaka 54 tangu kuanzishwa kwake

JESHI la Wananchi wa Tanzania JWTZ Leo limeadhimisha miaka 54  tangu kuanzishwa kwake.Maadhimisho hayo yamefanyika jijini Dar es salaam chini ya Mkuu wa Majeshi Generali Venance Mabeyo akiwa na mgeni...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

K-VANT WAJA NA MUONEKANO MPYA NA LADHA YAKE HALISI YA SIKU ZOTE

Na Mwandishi Wetu.KAMPUNI ya Mega Beverage Company Limited,ya mkoani Arusha, inayotengeneza pombe kali chapa maarufu ya K Vant, imezindua chupa mpya za kinywaji cha K-Vant zenye mwonekano tofauti na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UNLOCK CASTLE LITE YAZIDI KUWAPA RAHA WAKAZI WA JIJI LA DAR

ILE promosheni ya kampuni ya TBL kupitia bia yake ya Castle Lite kwa lengo la kuwapatia burudani inayojulikana kama Unlock Castle Lite inazidi kusambaza furaha kwa wakazi wa jiji la Dar es Salaam...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LUGOLA AKERWA MGAMBO KUMPIGA KIKATILI MWANANCHI JIJINI DAR ES SALAAM, ATOA...

Na Felix Mwagara, MOHAWaziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola amelaani tukio lililofanywa na Mgambo wa Jiji la Dar es salaam akisema ni la kihuni, kishenzi na kinyama na halipaswi kufumbiwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JUMLA YA WAHAMIAJI HARAMU 647 WAMEKAMATWA MKOANI PWANI KATIKA KIPINDI CHA...

Na Mwamvua Mwinyi, PwaniIDARA ya Uhamiaji, Mkoani Pwani imesema, jumla ya wahamiaji haramu 647 wamekamatwa kwa kuingia nchini kinyume na sheria, katika kipindi cha miaka mitatu iliyopita.Aidha idara...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Vanesa Mdee atumia mitandao ya jamii kushawishi kampuni ya Zola Tanzania...

Na Ibrahim othman Jama, Arusha.Msanii Vanessa Bdee amefanikiwa tumia mitandao ya kijamii katika shughuli zake kuhakikisha kuwa anamtafuta mfadhili wa kusambaza umeme wa solar power kwa shule ya bweni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MADHIMISHO YA MIAKA 54 YA JESHI LA WANANCHI WA TANZANIA PAMOJA NA MIAKA 42 YA...

Madhimisho ya miaka 54 ya jeshi la wananchi na Miaka 42 ya chuo cha mafunzo ya kijeshi Monduli(TMA) yaliadhimishwa Jumamosi  katika uwanja wa Bomani na kuongozwa na Mgeni rasmi Mkuu wa wilaya ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Taasisi ya The Desk & Chair Foundation yatoa msaada wa madawati 60 na miche...

 Mwenyekiti wa The Desk & Chair Sibtain Megjee akizungumza na walimu (hawapo pichani) pamoja na wanafunzi wa Shule ya Msingi Mabatini A iliyopo Wilaya ya Nyamagana kabla ya kuwakabidhi msaada wa...

View Article

MISS TANZANIA WAPEWA UBALOZI WA KUHIMIZA UHIFADHI WA MISITU NA UTALII WA NDANI

View Article


HABARI ZA UN: Kijana Abdul wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar ajivunia hatua...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAITARA - MIMI SIO MSALITI NIMEFUATA MAENDELEO YA JPM

Na Humphrey Shao, Globu ya JamiiMgombe Ubunge wa jimbo la Ukonga kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mwita Waitara  amesema yeye sio Msaliti bali amechagua CCM  ili aweze kumalizia alipoishia hususani...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AZUNGUMZA NA WATANZANIA WAISHIO CHINA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Watanzania waishio nchini China Kwenye ubalozi wa Tanzania uliopo Beijing, Septemba 2, 2018. Pichani kushoto ni Balozi wa Tanzania nchini China,Mh Mbelwa...

View Article

INTRODUCING "IOKOTE" by Maua Sama Ft. new kid on the block Hassan Banza Stone

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETINI LEO

BOFYA HAPA KUONA ZAIDI

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Vodacom yatoa gari la Tisa la M-Pesa jijini Tanga katika sherehe ya kufana

  Mkuu wa kanda ya Kaskazini wa Vodacom Tanzania, Brigita Stephen (kushoto) akikabidhi kadi ya gari kwa mkazi wa Tanga Adolf Mlay, huku mkewe Amina Urssa akishuhudia, hafla hiyo ya kusherehekea miaka...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

GULAMALI AENDELEA KUBORESHA HUDUMA ZA AFYA NA ELIMU MANONGA

Na Leandra Gabriel, Blogu ya jamiiMBUNGE wa Manonga Mh. Seif Khamis Gulamali ameendelea na  ziara yake jimboni humo katika kukagua na kuangalia namna miradi ya  maendeleo  inavyoendelea kutekelezwa...

View Article
Browsing all 110193 articles
Browse latest View live




Latest Images