Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110201 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI KUBORESHA KISIWA CHA MAGAFU KATIKA ZIWA VICTORIA WILAYANI CHATO MKOA...

Na Richard Bagolele, ChatoWaziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira na Muungano) January Makamba amesema serikali inaangalia uwezekano wa kilinda na kukihifadhi kisiwa cha Magafu kilichopo...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

MBUNGE CCM ACHARUKA UBADHIRIFU ULIOFANYIKA JIMBONI KWAKE

Na Leandra Gabriel, Blogu ya jamiiMBUNGE wa jimbo la Manonga, Mh. Seif Gulamali ambaye siku za karibuni amegeuka mwiba mkali kwa watendaji wabadhirifu ndani ya wilaya ya Igunga na hii ni baada ya kuona...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri Mkuu Majaliwa amjulia hali Dkt. Kigwangalla MOI

Na Andrew ChaleWaziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Kassim Majaliwa leo Agosti 26,2018 amemtembelea na kumjulia hali Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Dkt. Hamisi Kigwangalla aliyelazwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZIA : MAMA MZAZI WA MBUNGE JOSEPH MBILINYI 'SUGU' AFARIKI DUNIA

*Sugu asema msiba upo nyumbani kwake Salasala Dar es salaam, mwili kusafirishwa Mbeya baada ya taratibu zitakapokamilikaNa Said Mwishehe, Globu ya JamiiMAMA mzazi wa Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA) chajizatiti...

KITENGO cha Afya katika Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA) kimeweka udhibiti madhubuti wa kujikinga na usambazaji wa magonjwa ambukizi ukiwemo ugonjwa wa Ebola. Ugonjwa wa Ebola...

View Article


Spea za magari ya Landlover kutoka UK sasa zinapatikana Tanzania

Kwa taarifa kamili BOFYA HAPA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Morogoro yafana baada ya kushinda gari la nane la M-Pesa

Mstahiki Meya wa Mji wa Morogoro Paschal Kihanga Mwendashule (Kushoto) akimkabidhi funguo ya gari bi Glory Lyatuu kutoka Morogoro baada ya kuibuka mshindi wa nane wa promosheni ya Tumia M-Pesa ushinde...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JK AMUWAKILISHA JPM KWENYE SHEREHE ZA KUAPISHWA RAIS MPYA WA ZIMBABWE LEO

Rais Mstaafu, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Rais wa Zimbabwe, Mhe. Emmerson Mnangagwa baada ya kuapishwa kwake jijini Harare, Zimbabwe leo. Dkt. Kikwete amehudhulia sherehe hiyo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HATUTARUDIA MAKOSA SIMBA MJIANDAE-MBEYA CITY

Na Agness Francis,blogu ya Jamii.Kikosi cha Mbeya city chatamba kufanya vizuri katika mchezo wao dhidi ya mnyama Simba sc hapo kesho katika muendelezo wa michuano ya Ligi kuu Tanzania bara.Mpambano huo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MCHENGA BBALL STARS WANYAKUA TENA UBINGWA WA SPRITE BBALL KINGS 2018

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.Mchenga Bball Stars imefanikiwa kutetea ubingwa wake wa Sprite Bball Kings kwa mara ya pili mfululizo baada ya kufanikiwa kuwafunga wapinzani wake Flying Dribbllers kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMPUNI YA EY TANZANIA YAWAKUTANISHA PAMOJA WAFANYAKAZI WAKE KATIKA BONANZA...

Sehemu ya Wafanyakazi wa Kampuni ya EY Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kumalizika kwa Bonanza lao la Michezo, lililofanyika mwishoni kwa wiki kwenye Viwanja vya Chuo Kikuu cha Dar es...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETINI LEO

BOFYA HAPA KUONA ZAIDI

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Jukumu la kuendeleza Sanaa Nchini ni la Serikali ,Wadau wa Sanaa na Wananchi

Na Lorietha Laurence-WHUSM,Shinyanga.Jukumu la kuendeleza sekta ya sanaa nchini ni la Serikali kwa kushirikiana na wadau wa sanaa na wanachi ambao wako mstari wa mbele kuhakikisha sekta hiyo inaleta...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

VIFUNGASHIO VYA KISASA VYA BLISTA VYARAHISISHA KAZI YA UGAWAJI DAWA KWA WAGONJWA

Na Dotto Mwaibale, MulebaWATENDAJI wa Vituo vya kutolea huduma za afya wilayani Muleba mkoani Kagera wamesema vifungashio vya dawa za serikali viliboreshwa kutoka kwenye makopo kwenda kwenye Blister...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI LUGOLA AITAKA POLISI, MAGEREZA KUWAONDOA WANANCHI WALIOVAMIA MAENEO YA...

Na Felix Mwagara, MOHA-Lindi WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola amewataka wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama vilivyopo ndani ya Wizara yake kuwaondoa mara moja wananchi wote waliovamia...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKURUGENZI MKAZI UNDP ALETA HERI SAME

Mkurugenzi mkazi wa UNDP, Natalie BOUCLY ametembelea Wilaya ya Same Mkoani Kilimanjaro kwa ziara yake ya siku mbili, na kukagua miradi iliyofadhiliwa na UNDP kupitia shirika la SIPRO na TFS. Katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Bodi ya maji bonde la mto Pangani yajenga kituo cha polisi Sakale-Muheza

Bodi ya maji mto pangani yajenga kituo cha polisi katika kitongoji cha Kwelusanga kijiji cha Sakale kata ya Mbomole baada ya changamoto za uchimbaji madini kukithiri katika chanzo cha maji cha mto Zigi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Exim Bank Tanzania yasheherekea Miaka 21 ya huduma nchini

 Wafanyakazi wa benki ya Exim Tanzania wakikata keki kuadhimisha miaka 21 ya huduma za benki hiyo nchini wiki iliyopita katika tawi la Samora Avenue. Kutoka kushoto ni mkuu wa shughuli za matawi, Eugen...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TSN OIL YAIBUKA KIDEDEA TUZO ZA AFRICA LEDERSHIP 2018

TSN Oil imeshinda tuzo ya Africa Leadership Oil and Gas Retail of the Year.TSN Oil imeshinda tuzo hiyo ya ‘Oil and Gas Retail of the Year’ ya Africa Leadership Awards 2018, katika hafla iliyofanyika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKURUGENZI MTENDAJI TIC AWAONYA VIONGOZI WANAOTOA MAAGIZO KWA WAWEKEZAJI BILA...

*Wamo wakuu wa wilaya,mikoa na mawaziri,awataka waheshimu mamlaka nyingine*Aahidi kuandika barua kwa Kamishna wa TRA,aeleze namna wanavyowatafuta wawekezajiNa Said Mwishehe,Globu ya jamiiMGURUGENZI...

View Article
Browsing all 110201 articles
Browse latest View live




Latest Images