Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110192 articles
Browse latest View live

LIVE: SWALA YA EID EL HAJI NA BARAZA LA EID KITAIFA VINGUNGUTI JIJINI DAR

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 10

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NSSF INAWATAKIA IDD EL-ADH'HAA NJEMA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANANCHI WILAYA YA NYASA WASIFU UTENDAJI KAZI WA RAIS MAGUFULI

*Wasema wanamatumaini makubwa dhidi yake,DC azungumzia ujenzi barabara Mbiga hadi NyasaNa David John,NyasaWANANCHI wa Wilaya mpya ya Nyasa wamesema hawaamini kama barabara kutoka Mbinga hadi Nyasa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATANZANIA WASHAURIWA KUTHAMINI, KUHESHIMU TAARIFA ZA HALI YA HEWA

*Serikali yazindua rasmi Mfumo wa Taifa wa huduma za hali ya hewaNa Said Mwishehe,Globu ya jamiiSERIKALI imesema ipo haja kwa Watanzania wote nchini kuhakikisha wanajenga tabia ya kuheshimu na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SUA WAKABIDHIWA MAJENGO KWA AJILI YA KUANZA KAMPASI MPYA YA TUNDURU MKOANI...

WANANCHI wa Kijiji cha Daraja mbili katika kata ya Namwinyu wilayani Tunduru mkoani Ruvuma wameahidi kutoa ardhi bure kwa ajili yamatumizi ya Chuo cha kilimo (SUA) ikiwa ni kivutio kwa chuo hicho...

View Article

SUPER STAR AKILI THE BRAIN AIBUKA UPYA BAADA YA KIMYA KIREFU

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAIBU WAZIRI TAMISEMI AFANYA ZIARA TUNDURU,AHAMASISHA WANANCHI KUJIUNGA MFUKO...

NAIBU Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI) Josephat Kandege amefanya ziara  wilayani  Tunduru mkoani Ruvuma.Katika ziara hiyo, aliongozwa na Mkuu wa Wilaya ya Tunduru...

View Article


MICHUZI TV: RAIS DKT MAGUFULI ASIMULIA KIFO CHA DADA YAKE

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NEEC, Ubalozi wa Uholanzi wazindua mafunzo ya ujasiriamali kwa vijana

 Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa La Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC), Bi, Beng’i Issa wa pili kulia akisisitiza jambo wakati wa uzinduzi wa program ya mafunzo ya ujasiriamali kwa vijana wenye...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU ATUMIA USAFIRI WA BOENG 787-8 DREAM LINER YA. ATCL KUTOKA MWANZA...

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary wakisafiri kwa Ndege ya Boeing 787-8 Dreamliner wakitoka Mwanza kwenda Dar es salaam kupitia KIA, Agosti 22, 2018. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JESHI LA POLISI PWANI LIMEKAMATA PULI NA MBEGU ZA BANGI HUKO KISARAWE-RPC SHANNA

NA MWAMVUA MWINYI,KISARAWE .JESHI la polisi mkoani Pwani, linamsaka dereva aliyefahamika kwa jina la Moshi Ramadhan Malinganya mkazi wa Kisarawe kwa tuhuma za kusafirisha bangi puli 193,katika gari...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MRADI WA UMWAGILIAJI MWASUBUYA KUWA MRADI WA MFANO

Na Stella Kalinga, SimiyuMkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Anthony Mtaka amesema Serikali mkoani humo imedhamiria kuutumia Mradi wa Umwagiliaji wa Mwasubuya kubadilisha maisha ya wananchi wilayani Bariadi,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZANIA NA UGANDA ZA AZIMIA KUKUZA BIASHARA KATI YAO

Tanzania na Uganda za azimia kukuza biashara kati yaoTanzania na Uganda zimeazimia kuondoa vikwazo vya kibiashara ili kukuza kiwango cha biashara kati yao ambacho kwa takwimu zilizopo sasa zinaonesha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wananchi Waridhia Bwawa La Urughu kutangazwa kama Eneo Lindwa-kimazingira

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba ameendelea na ziara yake ya kikazi katika Wilaya ya Iramba kwa kutembelea bwawa la Urughu na kuwataka wakazi wa eneo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HALMASHAURI YA WILAYA YA KISHAPU YAPONGEZWA KWA KUTEKELEZA VYEMA MIRADI YA...

Na Robert Hokororo, Ofisi ya MkurugenziKiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa mwaka 2018, Charles Kabeho ameipongeza Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu kwa kutekeleza miradi ya maendeleo yenye ubora...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DKT. PHILIP MPANGO: KITUO CHA UTAFITI NALIENDELE MKOANI MTWARA KUPEWA FEDHA...

Na Benny Mwaipaja, WFM, MtwaraWAZIRI wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango, ameuahidi uongozi wa Kituo cha Utafiti wa Kilimo Naliendele kwamba Serikali itakiwezesha Kituo hicho na vituo vingine vya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ongala Music Festival kulindima kesho Agosti 23-25,Kigamboni

Na Andrew Chale, DarTamasha kubwa na la aina yake la muziki wa Kiafrika maalum kumuenzi gwiji wa muziki Hayati Dk. Remmy Ongala lililopewa jina la ONGALA MUSIC FESTIVAL, linatarajiwa kulindima kwa mara...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DKT SHEIN AONGOZA SWALA YA EID EL HAJJ (MAKUNDUCHI) KUSINI UNGUJA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (wa nne kulia) akijumuika na Viongozi na Waislamu mbali mbali na Mashekhe wa Mkoa wa Kusini Unguja katika swala ya Eid...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BARAZA LA EID EL HAJJ KIZIMKAZI MKOA WA KUSINI UNGUJA

 Askari wa Kikosi cha Polisi FFU wakitoa salamu ya Hesma kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alipokuwa  akipokea salamu hiyo ya heshma...

View Article
Browsing all 110192 articles
Browse latest View live




Latest Images