Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110192 articles
Browse latest View live

MICHUZI TV: POLISI KUIMARISHA MAFUNZO YA VITENDO KWA ASKARI WAKE.

View Article



MICHUZI TV: HARUSI YA LULU NA MAJIZO YANUKIA, RC MAKONDA AFUNGUKA KILA KITU

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KERO ZA ARDHI TABORA ZITATATULIWA NA WAZIRI WA ARDHI - MAJALIWA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi atakwenda katika Halmashauri ya Manispaa ya Tabora ili kutatua kero kubwa za ardhi.Β Ameyasema hayo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI LUGOLA AONYA POLISI KUTUMIWA NA MAFISADI KUPORA ARDHI ZA WANANCHI

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia Mbunge wa Jimbo la Mwibara, Kangi Lugola akizungumza katika mkutano wa hadhara na wananchi wa Kijiji cha Ragati, Jimbo la Mwibara, Wilayani ya Bunda, mkoani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Maugo amchapa Mmalawi, Class amnyamazisha Mazola kwa TKO

Bondia wa ngumi za kulipwa nchini, Mada Maugo wa Tanzania amemchapa kwa pointi, mpinzani wake, Charles Misanjo wa Malawi katika pambano la kimataifa la uzito wa Super Middleweight kwenye ukumbi wa PTA...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS AONDOKA NAMIBIA KUREJEA TANZANIA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Waziri wa Elimu ya Juu , Mafunzo na Ubunifu wa Namibia Mhe. Dkt. Itah Kandjii-Murangi muda mfupi kabla ya kupanda...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VIONGOZI NA WATUMISHI NCHINI WAKUMBUSHWA KUTEKELZA MAJUKUMU YAO KWA...

Viongozi na Watumishi nchini wamekumbushwa kutanguliza mbele moyo wa uzalendo na masilahi mapana ya taifa wanapotekeleza majukumu yao ili kupeleka maendeleo ya taifa mbele na kuimarisha usalama wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DKT. MAGUFULI AHANI MSIBA WA BI. PATRICIA MAZIGO, CHATO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli (katikati) akizungumza na wanakijiji wa Rubambagwe plot (Chato) wakati alipokwenda kutoa pole kwenye msiba wa Patricia Tibengana Mazigo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Naibu Spika Baraza la Wawakilishi Aongoza Ujumbe wa Zanzibar Mkutano wa 49...

Makamu wa Rais wa Botswana Mhe Slumber Tsogwane akipata picha ya pamoja na wajumbe wa Kamati Tendaji na viongozi mashuhuri huko Gaborone Botswana.Β Β Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CCM YATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KIFO CHA DADA WA RAIS DKT JOHN MAGUFULI

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NEWZ ALERT:DADA WA RAIS DKT MAGUFULI AFARIKI DUNIA

Bi.Monica Joseph Magufuli enzi za uhai wake

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM PEMBA LEO

NA IS-HAKA, ZANZIBAR.KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Dk.Bashiru Ally amesema CCM inaendelea kuimarika na hakuna Chama chochote cha kisiasa nchini kinachoweza kushindana nacho katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YA ZANZIBAR YAKABIDHI FEDHA ZA FIDIA KWA WANANCHI.

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imekabidhi Fedha za fidia kwa Wananchi waliopisha Ujenzi wa Karantini ya Mifugo katika eneo la Nziwengi katika Jimbo la Gando liliomo ndani ya Wilaya ya Wete Mkoa wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DC JERRY MURO AAHIDI KUSIMAMIA UBORA WA ELIMU ARUMERU, AMSHUKURU RAIS KWA...

Na Ripota Wetu,Globu ya jamiiMKUU wa Wilaya Arumeru mkoani Arusha Jerry Muro amemshukuru Rais Dk.John Magufuli kwa uamuzi wake wa kuendelea kuboresha sekta ya elimu kwa kutoa vitendea kazi kwa lengo la...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATUMISHI WA SERIKALI WAHIMIZWA KUTEMBELEA VIVUTIO VYA UTALII

Β NA LUSUNGU HELELA-DODOMA .Mkurugenzi wa Utawala na Raslimali Watu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Bw. Lusius Mwenda ametoa wito kwa watumishi wa Serikali kuwa mstari wa mbele kutembelea vivutio vya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MCHENGA BBALL STARS AANZA KUTETEA UBINGWA WA SPRITE BBALL KINGS

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.Mabingwa watetezi wa michuano ya Kikapu ya Sprite Bball Kings, Mchenga Bball Stars wamefanikiwa kuondoka na ushindi wa kwanza katika hatua ya fainali, baada ya kushinda...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WFP YAADHIMISHA SIKU YA MISAADA KWA KUELEZEA MAFANIKIO NA MAHITAJI

SHIRIKA la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) limesema kwamba kutoka mwaka 2010 imeingiza katika uchumi wa Tanzania zaidi ya dola za Marekani milioni 278 kutokana na huduma mbalimbali inazotoa kusaidia...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rotary Dar Marathon yaadhimisha miaka kumi ya kubadilisha maisha

Tukio maarufu la riadha la Rotary Dar Marathon ambalo hufanyika siku ya 14 Oktoba – siku ya Nyerere kila mwaka tangu 2009 litaadhimisha mwaka wa kumi tangu kuanza kwa tukio hilo. Dhima ya Rotary Dar...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MICHUZI MEDIA GROUP YATOA SALAMU ZA POLE KWA RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFULI KWA...

MICHUZI MEDIA GROUP INATOA SALAM ZA POLE KWA FAMILIA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT. JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI KUFUATIA KIFO CHA DADA YAKE MPENDWA BI.MONICA JOSEPH MAGUFULI...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA KWA UMMA

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAOFISI YA MAKAMU WA RAISΒ Β Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Ndugu January Makamba (Mb), leo anaanza ziara ya mikoa 19 nchini, ambayo...

View Article
Browsing all 110192 articles
Browse latest View live




Latest Images