Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110193 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JAFO ATOA SOMO KWA WAKUU WA WILAYA WAPYA

Zulfa Mfinanga. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo amewataka Wakuu wapya wa Wilaya walioteuliwa hivi karibuni kuhakikisha wanasoma na kuzielewa...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWENYEKITI WA CCM TAIFA, DKT. JOHN MAGUFULI AENDESHA KIKAO CHA KAMATI KUU YA...

Ndugu John Pombe Joseph Magufuli Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) akiwa katika ukumbi wa mikutano katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba kwa ajili ya kuendesha Kikao cha Kamati Kuu ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TRA: MSAMAHA WA RIBA NA ADHABU YA MALIMBIKIZO YA KODI KUTOA MOTISHA KWA...

Na Veronica Kazimoto,Dar es SalaamMamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema kuwa msamaha wa riba na adhabu wa asilimia 100 kwenye malimbikizo ya madeni ya kodi unaotolewa ndani ya Mwaka wa Fedha 2018/19...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UEFA SUPER CUP Jumatano hii kule Hispania mambo ni hivi, mambo ni moto!!

Nani atakuwa bingwa ya Super Cup, kati ya Real Madrid Na Atletico Madrid Jumatano hii? Usikose mechi hii kali ya mabingwa hawa mawili wakiwania ubingwa wa jumla wa Super Cup ndani ya DStv , Ni Jumatano...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Dkt Kalemani afungua mafunzo ya Wasimamizi wa miradi ya usambazaji umeme...

 Wataalam wanaosimamia mradi wa usambazaji umeme vijijini wa Awamu ya Tatu (REA III) wakifuatilia maelekezo yaliyokuwa yakitolewa na Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani (hayupo pichani)wakati...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DKT. KIJAJI AAGIZA UCHUNGUZI UFANYIKE MRADI WA UJENZI WA VYUMBA VYA MADARASA...

Benny Mwaipaja, WFM, KigomaNAIBU Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashatu Kijaji, ameiagiza Kamati ya Ulinzi na Usalama wilaya ya Kigoma kufanya uchunguzi na kuchukua hatua baada ya kubaini harufu ya...

View Article

TANZANIA KUHIFADHI HEKTA MILIONI 5.2 ZA MISITU ASILI IFIKAPO 2030

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Muuza mitumba akabidhiwa gari na Diamond Platnumz kupitia shindano la 'nogewa...

Msanii nyota wa muziki wa kizazi kipya nchini (Bongofleva) na Mkurugenzi wa WCB Nassib Abdull almaarufu Diamond Plutnum akimkabidhi ufunguo wa gari  mshindi wa shindano la 'Nogewa Ushinde' ,Mkazi wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kushirikiana na Ubalozi wa Marekani...

Mkurugenzi wa Magonjwa ya moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge akielezea maendeleo ya ukarabati wa jengo la watoto kwa Naibu Balozi wa Marekani nchini Mhe. Dkt. Inmi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKUU MPYA WA WILAYA YA HAI AZUNGUMZA KWA MARA YA KWANZA NA WATUMISHI WA...

Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii ,Kanda ya Kaskazini.MKUU mpya wa wilaya ya Hai,Lengai Ole Sabaya amekemea vikali vitendo vya Rushwa vinavyofanywa na baadhi ya watumishi wa halmashauri ya wilaya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Serikali kudhibiti Uhalifu Ukanda wa Ziwa na Bahari

Na Mwandishi WetuSerikali imejipanga kuimarisha Ulinzi na Usalama katika Ukanda wa Ziwa na Bahari kote nchini ili kuweza kudhibiti uhalifu unaotekelezwa majini ikiwepo uvuvi haramu, usafirishaji wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MHANDISI NDIKILO AWAAHIDI UMEME WA REA AWAMU YA TATU KUWAFIKIA WANANCHI WOTE...

Na Zainab Nyamka, Globu ya JamiiMkuu wa Mkoa wa Pwani Mhandis  Evarist Ndikilo amewaahidi wananchi wa Kijiji cha Matimbwa kata ya Yombo kuwa awamu ya tatu ya Mradi wa  Umeme wa vijijini REA utawafikia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMATI YA VIWANDA, BIASHARA, MAZINGIRA YA BUNGE LA TANZANIA KUFANYIA KAZI...

MPANGO wa uwekaji muhuri wa Kiectroniki ya kodi (Electronic tax stamp(ETS) kuongeza ukusanyaji wa mapato ya serikali kwa watengenezaji wa pombe kali kwani waingizaji wa pombe kali wa kinyemela...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DC MJEMA AAGIZA TAKUKURU KUCHUNGUZA FEDHA ZA MRADI URASIMISHAJI ARDHI...

Na Humphrey Shao, Globu ya JamiiMKUU wa Wilaya Ilala, Sophia Mjema, ameagiza Taasisi ya Kuzuia ya Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), kuchunguza kamati ya mradi wa ulasimishaji ardhi katika Kata ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

USHIRIKIANO SEKTA YA UMMA NA SEKTA BINAFSI KUIBUA MIRADI YA KIMKAKATI KUKUZA...

Na Mwandishi Maalum, Tanga Serikali imezitaka Wizara na Taasisi za Umma kuhakikisha zinawajibika kikamilifu kufuata hatua zote muhimu za utekelezaji wa miradi ya Ubia kati ya Serikali na Sekta Binafsi...

View Article


KIPINDI CHA BBC DIRA YA DUNIA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AFRIKA KUSINI YAONESHA UTAYARI KUWA NA USHIRIKIANO SEKTA YA MADINI

Na Asteria Muhozya, DodomaWaziri wa Madini Angellah Kairuki jana tarehe13 Agosti alikutana na Balozi wa Afrika Kusini nchini Tanzania, Mheshimiwa Thami Mseleku. Katika mkutano huo, Balozi huyo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DKT. KIJAJI AAGIZA DEREVA ALIYEHAMISHWA KITUO CHA AFYA BITALE KIGOMA...

Na Benny Mwaipaja, WFM, Kigoma.NAIBU Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashatu Kijaji, amemwagiza Mkurugenzi Mtendaji wa Halmahauri ya Wilaya ya Kigoma kumrejesha mara moja katika kituo chake cha kazi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LUGOLA ATOA ONYO KALI KWA TRAFIKI WAOMBA RUSHWA, WANAONYANYASA WAENDESHA...

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia Mbunge wa Jimbo la Mwibara, Kangi Lugola akizungumza katika mkutano wa hadhara na wananchi wa Kijiji cha Igundu, Jimboni kwake Mwibara, Wilaya ya Bunda,...

View Article

VIDEO: Diaspora 2018 kukutana Pemba, Zanzibar

View Article
Browsing all 110193 articles
Browse latest View live




Latest Images