Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110202 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAJALIWA ATEMBELEA SHAMBA LA FAMILLIA YA RIWA MKOANI KIGOMA

  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akikagua shamba la  kahawa bora iliyopandwa na Familia ya Bibi Victoria Riwa (watano kulia) katika kijiji cha Nyarubanda mkoani Kigoma Julai 30, 2018. Wapili kulia ni...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU AWASIMAMISHA KAZI WATUMISHI WATATU HOSPITALI YA KASULU MJI KWA...

Na Rhoda Ezekiel Kigoma,WAZIRI mkuu Kasimu Majaliwa amewasimamisha kazi watumishi watatu wa Hospitali ya Wilaya ya Kasulu mji ambao wanatuhumiwa kuiba dawa na kwenda kuuza katika maduka ya mjini.Aidha,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MADIWANI CHADEMA.CUF WAFIKISHWA MAHAKAMA WILAYA YA ILALA KWA TUHUMA ZA...

Madiwani wawili wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na mmoja wa Chama cha Wananchi CUF, wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala, wakikabiliwa na mashtaka mawali likiwamo la...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS AHITIMISHA ZIARA YAKE MKOANI MBEYA

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakazi wa Chunya kwenye uwanja wa Sabasaba ikiwa ni siku ya kuhitimisha ziara yake mkoani Mbeya.  Makamu wa Rais...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ATCL YADAIWA KUKIUKA TARATIBU ZA SHERIA YA MANUNUZI-NAIBU GAVANA BANK KUU.

NAIBU Gavana wa Benki Kuu Tanzania (BOT), Yamungu Kagandabila (47), ameieleza mahakamani ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) ilisaini mkataba wa kukodisha ndege kabla haijapata...

View Article


MICHUZI TV: SERIKALI YAONDOA VIKWAZO ADA YA BIDHAA ZA CHAKULA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

IGP AKUTANA NA VIONGOZI RSA

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro akipokea fulana yenye ujumbe wa kuhamasisha juhudi za usalama barabarani kutoka kwa Mwenyekiti wa Mabalozi wa Usalama barabarani (RSA) Bw. John Seka...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

GAZETI LA MWANAHALISI LATOKEA MAHAKAMANI

Na Humphrey Shao , Globu ya JamiiMahakama Kuu kanda ya Dar es Salaam imelifungulia gazeti la Mwanahalisi ambalo lilifungiwa na Serikali kutokana na kile kilichodaiwa kuchapisha habari ambazo zipo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MBARAWA APIGA MARUFUKU USAMBAZAJI WA MAJI KWENYE MELI KWA KUTUMIA MAGARI

Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Profesa Makame Mbarawa akiongea mara baada ya kumaliza kufanya uzinduzi na ukaguzi wa mfumo wa mita za malipo ya kabla (Pre Paid meter).  Pembeni ni Afisa Mtendaji Mkuu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZANIA BADO BORA KWA UKAGUZI WA MAHESABU BARANI AFRIKA

Na Humphrey Shao Globu ya JamiiMdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa hesabu za Serikali (CAG) Prof. Mussa Assad, amesema Tanzania ni moja ya nchi zinazofanya vizuri katika bara la Afrika na kushika nafasi ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DKT. MAGUFULI AKABIDHI HATI ZA VIWANJA VYA DODOMA KWA MABALOZI WA NCHI...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na Mabalozi wa nchi mbalimbali na wawakilishi wa Mashirika ya Kimataifa baada ya kuwakabidhi bila malipo hati za viwanja vya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BALOZI MPYA WA KENYA NCHINI MHE. DAN KAZUNGU AKABIDHI HATI ZA UTAMBULISHO WA...

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati za utambulisho kutoka kwa Balozi mteule wa Kenya hapa nchini Dan Kazungu Ikulu jijini Dar es Salaam leo Julai 30, 2018...

View Article

VOA SWAHILI: Duniani Leo Julai 30, 2018

View Article


BBC DIRA YA DUNIA JUMATATU 30.07.2018

View Article

INTRODUCING "CHAGUO" BY JOZEE FT BEKA FLAVOUR OFFICIAL VIDEO

View Article


Introducing new music from PAUL SOLO, "ZIMA"

View Article

INTRODUCING "NIOE" BY KEISHA

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Dk. Kalemani azindua umeme usiku vijijini

WAZIRI wa Nishati, Dk. Medard Kalemani, ameendelea na ziara yake vijijini y kukagua miradi ya umeme REA III inayoendelea huku akilazimika kuzindua umeme usiku. Amesema amelazimika kufanya uzinduzi huo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MIPANGO YA MATUMZI YA ARDHI KUNUSURU MISITU NCHINI

Tume ya Taifa ya Mipango ya Matumizi ya Ardhi (NLUPC) kwa kushirikiana na Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) inatarajia kuandaa mipango ya matumizi ya ardhi katika vijiji 120 vinavyozunguka...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RC MNYETI KUZINDUA MICHUANO YA CHEMCHEM CUP AGOST 19 MDORII BABATI

Na Ripota wetu, ManyaraJumla ya timu 20, zinatarajiwa kushiriki ligi ya Chem Chem CUP, wilayani Babati mkoa wa Manyara ambapo zawadi zenye thamani ya sh 4.5 milioni zitatolewa.Akizungumza na waandishi...

View Article
Browsing all 110202 articles
Browse latest View live




Latest Images