Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110193 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS AFANYA MKUTANO WA HADHARA MBEYA MJINI

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakazi wa Mbeya mjini kwenye viwanja vya Ruandanzovwe, Makamu wa Rais yupo mkoani Mbeya kwenye ziara ya...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

“SASA TUTAFIKA KONA KWA KONA” WARATIBU ELIMU NJOMBE MJI.

Hyasinta Kissima- Afisa Habari Halmashauri ya Mji NjombeHalmashauri ya Mji Njombe imepokea jumla ya pikipiki 13 zenye thamani ya shilingi milioni 39 kwa waratibu elimu Kata 13 lengo ikiwa ni kufanya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

GOFU LUGALO YAWASILI NA KUANZA VYEMA MUFINDI OPEN

Na Luteni Selemani SemunyuWachezaji wa klabu Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania ya Lugalo imewasili salama Mufindi Mkoani Iringa kwa ajili ya kushiriki mashindano ya wazi ya mufindi ya utalii...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAGCO NA IDARA YA HABARI MAELEZO ZAPONGEZWA KWA UTENDAJI

Frank Mvungi- MAELEZO, TunduruChama cha Maafisa Habari na Mawasiliano Serikalini (TAGCO) na Idara ya Habari (MAELEZO) vimepongezwa kwa kubuni na kuweka utaratibu wa kufuatilia utendaji wa Maafisa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DK. HERY MWANDOLELA WA HEAMEDA MEDICAL CLINIC AZUNGUMZIA UMUHIMU WA KUPIMA AFYA

*Afurahishwa na idadi kubwa ya wananchi wanavyojitokeza kupima afya bure*Ataja kiini cha kuongezeka kwa kasi magonjwa yasiyo ya kuambukiza nchini Na Said Mwishehe, Glob ya Jamii. DAKTARI Bingwa wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DK.SHEIN AAGANA NA BALOZI WA MALAWI NCHINI.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na mgeni wake Balozi wa Jamhuri ya Malawi katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bibi.Hawa Olga Ndilowe...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PROF MBARAWA AKAGUA MRADI WA MAJI WA MTO RUFIJI

Na Zainab Nyamka, Globu ya JamiiWAZIRI wa Maji na Umwagiliaji Prof Makame Mbarawa ametembelea mradi mkubwa maji wa bwawa katika Mto Rufiji utakaoweza kusaidia matumizi ya maji kwenye kambi ya ujenzi wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YAONDOA RIBA MIKOPO YA WANAWAKE, VIJANA NA WALEMAVU

 Na WAMJW CHATO - GEITASerikali kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imetangaza rasmi kuwa hakutakuwa na riba katika mikopo itakayotolewa kwa wanawake, vijana na walemavu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKING NYUZZZZZ......: MBUNGE WA CHADEMA UKONGA ATANGAZA KUJIUNGA CCM LEO

Na Said Mwishehe,Globu ya jamiiMBUNGE wa Jimbo la Ukonga jijini Dar es Salaam Mwita Waitara kupitia Chadema ametangaza rasmi kujiunga na Chama Cha Mapinduzi(CCM).Ametangaza uamuzi huo leo katika ofisi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANACHUO KUTOKA SOKOINE NA MUHIMBILI WATEMBELEA MAMLAKA YA MAABARA YA MKEMIA...

 Mtumishi wa Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali,  Bw. Boniface Majinyali (kulia) akiwaonyesha kwa vitendo namna uchunguzi wa sumu unavyofanyika kwenye maabara baada ya wanachuo hao...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Muleba kuunganishwa umeme gridi ya Taifa

SHIRIKA la Umeme Tanzania (Tanesco), lipo mbioni kuiunganisha Wilaya ya Muleba Mkoani Kagera na umeme wa gridi ya Taifa ili kuvutia wawekezaji hasa wa sekta ya viwanda nchini. Akizungumza leo wakati wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TUPAMBANENI NA UDANGANYIFU WA HUDUMA- MKURUGENZI MKUU

 Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Bw. Bernard Konga akielezea mwelekeo wa utoaji huduma kwa wanachama wa Mfuko wakati alipokutana na Watoa huduma wa Mkoa wa Kinondoni leo. Baadhi ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YATOA SIKU 30 KWA MADIWANI WA KIGOMA UJIJI

Yasema wasipojirekebisha italivunja baraza laoWAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa siku 30 kwa Madiwani wa Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma Ujiji kujirekebisha na kumaliza tofauti zao ndani ya siku 30...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CCM WAZINDUA KAMPENI ZA UDIWANI ARUSHA

Na Ahmed Mahmoud ArushaChama cha mapinduzi kimesema kuwa kipo kwa ajili ya kuwatumikia na kusikiliza shida za wananchi na wamejipanga kuhakikisha wanaisimamia serikali ipasavyo ili ilani ya chama hicho...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU AZINDUA KAMPENI YA KUFUFUA ZAO LA MICHIKICHI

*Lengo ni kumaliza tatizo la upatikanaji wa mafuta ya kula nchiniWAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amezindua kampeni ya kufufua zao la michikichi mkoani Kigoma na kuagiza kuanzishwa kwa kituo cha utafiti wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Muhimbili Yaendelea Kupata Mafanikio, Watoto 24 Wafanyiwa Upasuaji

Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) inaendelea kupata mafanikio makubwa kutokana na kuboresha huduma za upasuaji wa watoto, huku ndani ya siku mbili watoto 24 wakiwa wamefanyiwa upasuaji.Wataalamu wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMISHNA JENERALI KASIKE AFANYA ZIARA YA KWANZA MKOANI MOROGORO

Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza Phaustine Kasike amehitimisha ziara yake fupi mkoani Morogoro kwa kuongea na baadhi ya maafisa, askari na watumishi raia wa Ofisi ya Mkuu wa Magereza wa Mkoa wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKURABITA Yakabidhi Hati Miliki 661 za Ardhi Wilayani Ikungi

Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi ya Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania (MKURABITA), NBalozi Daniel Ole Njolay akikabidhi a Hati za Hakimiliki za Kimila wakati wa hafla ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RC MNYETI AWAPA ONYO WANAOFUNGIA VIWANDA OVYO

Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Alexander Mnyeti amesema hatakubali kuona maamuzi mabovu yanatolewa kwenye mkoa wake ikiwemo kufungia kiwanda bila sababu ya msingi.Mnyeti ameyasema hayo mjini Babati kwenye...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS AKAGUA MELI KATIKA BANDARI YA KIWIRA NA ITUNGI KYELA MBEYA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Viongozi wa mkoa wa Mbeya pamoja na Wafanyakazi na Wataalam kutoka kampuni ya Songoro Marine...

View Article
Browsing all 110193 articles
Browse latest View live




Latest Images