Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110186 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA JUMATANO LEO MARCH 7,2018

Kupata magazeti zaidi BOFYA HAPA

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

LUKUVI AELEZA MABORESHO YALIYOFANYIKA KATIKA SEKTA YA ARDHI

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya kazi, Mhe. William Lukuvi ametaja maboresho kadhaa yaliyofanyika katika Wizara ya Ardhi.Mhe. Lukuvi aliyasema hayo alipokutana na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS MAGUFULI ATOA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KWA FAMILIA YA DK.KABURU

 Aliyekuwa  mbunge  wa  kigoma  mjini, mbunge  wa  bunge la  Africa  Mashariki na Mwenyekiti mstaafu  wa  CCM mkoa  wa  Kigoma,  Dr  Amani Walid Kabourou enzi za uhai wake

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MWIJAGE AFANYA ZIARA KIBAHA

Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhe. Charles Mwijage jana tarehe 6 Machi, 2018 amekabidhi eneo lenye ukubwa wa hekari 200 kwa mkandarasi SUMA JKT ambaye atakuwa na kazi ya kufanya leveling...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BARAZA LA MADIWANI KINONDONI LAPITISHA BAJETI YA MWAKA 2018/2019

Na Emmanuel Masaka, Globu ya JamiiBARAZA  la Madiwani wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam kupitia mkutano wake maalum limepitisha makadirio ya mapato na matumizi ya kawaida  na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWILI WA DK. AMANI KABURU KUSAFIRISHWA KESHO KIGOMA

Na Zainab Nyamka,Globu ya JamiiMWILI wa aliyekuwa Mbunge  wa  Kigoma  Mjini, Mbunge  wa  Bunge la  Afrika  Mashariki na Mwenyekiti mstaafu  wa  Chama Cha Mapinduzi(CCM), Mkoa wa Kigoma Dk.Amani Walid...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UHIFADHI WA KUMBUKUMBU YA HISTORIA YA URITHI WA UKOMBOZI WA BARA LA AFRIKA...

  Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (kulia) akizungumza na Balozi wa Shirikisho la Urusi nchini Tanzania, Mhe. Yuri Popou (kushoto) alipotembelea katika ofisi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMPUNI YAMPA BAISKELI MWANAFUNZI WA DARASA LA SABA ILI ATIMIZE NDOTO YAKE

Na Mwandishi wetuKAMPUNI ya D&G Export Company Ltd inayojishughulisha na ununuzi wa mazao na utunzaji wa korosho wilayani Tunduru na Liwale imeamua kumsaidia baiskeli ya magurudumu matatu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UWT YAWAGEUKIA WADAIWA SUGU BENKI YA WANAWAKE

*Yataka waliokopa warejeshe mkopo haraka, wakishindwa wachukuliwe hatuaNa Said Mwishehe, Globu ya JamiiMWENYEKITI wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT)kupitia Chama Cha Mapinduzi(CCM), Gaudentia Kabaka...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BARCLAYS LAUNCHES A NEW AFRICA MARKETS INDEX IN THE CONTINENT

A survey of the stock markets of 17 African countries by Barclays Africa Group has rated Tanzania’s financial markets 11th overall with a score of 44% in the continent ahead of the likes Morocco (42...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PROF. MBARAWA AWATAKA WATENDAJI KUTUMIA HEKIMA KUONGOZA

 Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa , akikata utepe kuzindua rasmi taarifa ya Klaimatolojia ya mwaka 2017, wakati alipofungua baraza la Wafanyakazi wa Mamlaka ya Hali ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHUO CHA UTUMISHI WA UMMA TANZANIA (TPSC) KUWAJENGEA UWEZO WATUMISHI WA UMMA...

Wataalamu waandamizi kutoka Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC), wapo nchini Somalia kwa ajili ya kazi ya kuandaa mafunzo ya kuboresha utumishi wa umma katika Jimbo la Puntland nchini Somalia....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wafanyakazi TBL walivyoshiriki Kilimanjaro Marathon 2018

Wafanyakazi TBL walivyoshiriki Kilimanjaro Marathon 2018Idadi kubwa ya wafanyakazi kutoka kampuni ya TBL Group wameshiriki mbio za Kili Marathon zilizofanyika mkoani Kilimanjaro.Mashindano haya maarufu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TWB yadai mikopo sugu yenye thamani ya Tsh.bilioni 7.9 toka kwa wateja 7,065

Benki ya Wanawake Tanzania (TWB) katika hatua zake za  kutaka kuimarisha mtaji wake na kufanya kazi zake kwa ufanisi imewataka wateja wake 7,065 wenye mikopo sugu yenye thamani Tsh. bilioni 7.9, kulipa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Madini ni mali ya Watanzania sio wawekezaji wa kigeni: Biteko

Na Mathias Canal, GeitaSerikali ya awamu ya tano inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt John Pombe Magufuli tangu ianze utendaji wake imejipambanua wazi kuwa rasilimali zote...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIA WA ZAMBIA, WENZAKE KORTINI KWA KWA TUHUMA ZA UTAKATISHAJI FEDHA

 Na Karama Kenyunko, Blogu ya JamiiRAIA wa Zambia na wenzake sita wamepandishwa katika kizimba cha Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na tuhuma za kula njama, wizi na utakatishaji wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KUYEKO AWAONYA WENYEVITI KUTOCHUKUA FEDHA ZA WANANCHI WANAOHITAJI HUDUMA

Na Humphrey Shao, Globu ya JamiiMEYA wa Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam, Charles Kuyeko amewataka wenyeviti wa Serikali za mitaa wilayani humo kuacha kuwatoza fedha wananchi  wanaofika katika...

View Article


MAVUNDE: WAAJIRI WASIOFUATA SHERIA YA UAJIRI KUENDELEA KUKIONA CHAMOTO

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AZAM FC, MWADUI HAPATOSHI KESHO CHAMAZI

Na Agness Francis, Globu ya JamiiKLABU Bingwa Afrika Mashariki na kati AzamFC inatarajia kuwakaribisha wachimba madini wa Shinyanga Mwadui FC katika michuano inayoendelea ya kuwania ubingwa wa Ligi Kuu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWENYEKITI UVCCM PWANI ATOA NENO KWA VIJANA

Na Elisa Shunda, KibitiMWENYEKITI wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Pwani (UVCCM),Charangwa Makwiro amewataka vijana wa mkoa huo kutojihusisha na mambo ambayo hayana tija kwa...

View Article
Browsing all 110186 articles
Browse latest View live




Latest Images