Sherehe za kuapishwa Skauti Mkuu wa Chama cha Maskauti Tanzania
Skauti Mkuu wa Chama cha Skauti Tanzania mteule Mhe. Mwantumu Mahiza akisubiri kuapishwa Ikulu jijini Dar es salaam Jumatatu Juni 23, 2013 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akijiandaa kuvishwa skafu na...
View ArticleArticle 0
Dear Friend,Cheka Tuesdays is on AGAIN, at Evans Bukuku's Comedy Club!! Kama Kawaida on every LAST Tuesday of the month!! It's Tuesday 25th June from 8pm, NDANI YA EAST 24 Bar & Grill, Mikocheni,...
View ArticleJacline Walper atamba kwenye Filamu
WASANII mbalimbali watakaoshiriki katika Tamasha la Tamasha la Wazi la Filamu Tanzania, maarufu kama ‘Grand Malt Tanzania Open Film Festival’ ambalo litafanyika katika Viwanja vya Nyamagana jijini...
View Articlemaandalizi ya sherehe ya miaka 3 ya Vijimambo na Tamasha la utamaduni wa...
Afisa Ubalozi Suleiman Saleh (kushoto) akisalimiana na Rais wa Jumuiya ya Watanzania DMV Bwn. Idd Sandaly wakati akiwakaribisha kamati ya maandalizi ya sherehe ya miaka 3 ya Vijimambo na Tamasha la...
View Articlempiganaji nelly mtema wa daily news afiwa na mumewe
Habari wadau, Naomba kuwajulisha kuwa mwanachama mwenzetu wa TASWA, ambaye ni mwandishi wa habari wa gazeti la Daily News, Nelly Mtema amefiwa na mumewe usiku wa kuamkia jana. Msiba upo nyumbani kwake...
View ArticleMAMBO YALIVYONOGA TBL'S FAMILY DAY DAR
Mkurugenzi wa Fedha wa TBL, Kelvin (kulia), akimkabidhi George Magombeka zawadi ya saa ya ukutani baada ya kuwa mshindi wa riadha katika bonanza hilo la kukata na shoka lililofanyika Kunduchi, Dar es...
View ArticleWananchi wa Tarafa ya Pande Wilayani Kilwa Walia na Mbunge wao kwa...
Katibu Mtendaji wa Asasi isiyo ya Kiserikali wilayani Kilwa,Omary Mkuwili akitoa maelezo mafupi kuhusiana na Mdahalo huo wa Uwajibikaji wa Viongozi wa Serikali za Mitaa Chini ya Ufadhili wa The...
View ArticleWATANZANIA WALIVYOSHIRIKI MATEMBEZI YA HIARI YA SIKU YA UTUMISHI WA UMMA...
Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano Bi. Ingiahedi Mduma akiwa na washiriki wa nchi mbalimbali wakati wa matembezi ya hiari wakati wa kukamilisha maonesho ya wiki ya utumishi wa umma nchini Ghana....
View ArticleSifa United yaiadhibu Mtakuja 5-2 Airtel Rising Stars
Mshambuliaji wa Sifa United Haruna Athuman (kushoto) akichuana na Alex Simenga wa Mtakuja Beach wakati wa mechi ya vijana chini ya umri wa miaka 17 ya Airtel Rising Stars, mkoa wa Kinondoni,...
View ArticleMAANDALIZI YA MAONYESHO YA 37 YA SABA SABA 2013 YAENDELEA KWA KASI .
Pichani juu ni maandalizi ya maonyesho ya 37 ya saba saba yatakayoanza hivi karibuni katika viwanja vya Mwalimu nyerere vilivyopo kilwa road jijini Dar es salaam.Maonyesha hayo ya 37 yameelezwa...
View ArticleMKURABITA KULETA MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA KWA VITENDO
Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania, MKURABITA, unaendelea na utekelezaji kwa vitendo, wa awamu ya kwanza ya kuwapatia “Maisha Bora kwa Kila Mtanzania” kwa kuendelea...
View ArticleWANAFUNZI WALIOSOMA SHULE ZA KATA MPAKA VYUO VIKUU WATOA SHUKRANI ZAO KWA MH....
Waziri Mkuu mstaafu na Mbunge wa Monduli, Edward Lowasa akisalimiana na wanafunzi wa chuo kikuu cha UDOM waliotoka shule za sekondari za kata, wakati walipofika nyumbani kwake mkoani Dodoma kutoa...
View ArticleWakazi wa kanda ya ziwa wajipanga kumpokea mfalme Costa Siboka
Wakazi wa kanda ya ziwa katika kumpokea mfalme Costa Siboka wameendelea kuonyesha ushirikiano mkubwa katika kubandika matangazo kwenye nyumba zao za kuishi magari, maduka, na stationary, nyumba za...
View ArticlePPF YAONGEZA MUDA WA KUSOMESHA WATOTO MPAKA KIDATO CHA SITA
Meneja Uhusiano na Masoko wa Mfuko wa Pensheni wa PPF Bi. Lulu Mengele akielezea kuhusu miaka 35 tangu kuanzishwa kwa PPF mwaka 1978 wakati wa mkutano na wanahabari leo katika Ofisi za PPF Makao Makuu....
View ArticleNEWS ALERT: POLISI JIJINI DAR WAKAMATA WATU WAWILI WAKIWA NA BASTOLA KATIKA...
Askari kanzu (kulia) akiwa ameshika bastola aliyokutwa nayo mtu mmoja aliyekuwa amepakiwa katika pikipiki aina ya Boxer yenye namba za usaji T 961 CJW katika mtaa wa Makunganya jirani kabisa na benki...
View Article