Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 119398 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JK AUNGURUMA KISIWANI PEMBA

 Wananchi wakimshangilia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pia Mwenyekiti wa CCM Taifa Dkt.Jakaya Kikwete akizungumza na Maelfu ya wanachama wa chama cha Mapinduzi CCM  na wananchi wa Kisiwani...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MTIBWA SUGAR, JKT RUVU ZASHINDWA KUTAMBIANA

Mshambuliaji wa JKT Ruvu, Gaudence Mwaikimba akimtoka beki wa Mtibwa Sugar, Adrew Vicent katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Karume jijini Dar es Salaam. Timu hizo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKUU WA MKOA WA KILIMANJARO,AMOS MAKALLA ASHIRIKI KIFUNGUA KINYWA NA...

Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Amos  Makalla leo asubuhi ameshiriki kifungua kinywa na wafanyakazi na wateja waNMB Tawi la Moshi na kuipongeza benki ya NMB kwa kuwa benki 10 bora Afrika mashariki, benki...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ALI KIBA NA VICTORIA KIMANI KUWASHA MOTO COKE STUDIO KESHO

WASANII nguli wa muziki wa Bongo Fleva Ali Kiba kutoka Tanzania na Victoria Kimani kutoka Kenya kesho Jumamosi watawasha moto katika onyesho la muziki la Coke studio linalorushwa na luninga ya Clouds...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BALOZI LUVANDA AKUTANA KWA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA UTURUKI

Mkurugenzi wa Kitengo cha Sheria katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Baraka Luvanda akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Uturuki nchini Tanzania, Mhe. Yasemin Eralp....

View Article


ITUMIENI BRN KULETA MABADILIKO:KIKWETE

Na Mwandishi WetuRAIS Jakaya Kikwete ambaye siku chache zijazo atamaliza muhula wake wa pili na wa mwisho wa kuiongoza Tanzania, amewaaga watumishi wa umma nchini kwa kutoa rai kuwa ili kuendeleza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ELIMU YA STADI ZA MAISHA KUOKOA KUNDI KUBWA LA VIJANA WALIO NJE YA SHULE

Afisa vijana kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bw. Godfrey Massawe (aliyesimama) akifuatilia majadiliano ya wawezeshaji kitaifa wakati wa kazi za kikundi kwenye Mafunzo ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS WA ZANZIBAR AKAGUA KARO LA KUHIFADHI UCHAFU

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akifanya ziara ya kukagua maandalizi ya kazi za usafishaji wa karo zinazohudumia uhifadhi ya Uchafu katika Nyumba za Maendeleo zilizopo Mtaa wa Mtemani...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NEWALA WAHAKIKISHIWA USALAMA WA KUTOSHA KWA RAIA NA MALI ZAO SIKU YA UCHAGUZI

Na Father Kidevu BlogWANANCHI wilayayani Newala wamehakikishiwa usalama wa kutosha siku ya kupiga kura na kutakiwa kujitokeza kupiga kura na kuwachagua viongozi wao bila wasiwasi wowote.Akizungumza na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA YA MKUU WA MKOA WA DODOMA MHE. CHIKU GALLAWA KUHUSU UCHAGUZI MKUU WA...

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAOFISI YA WAZIRI MKUU TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAAMkoa wa DodomaAnwani ya Simu REGCOMSimu Nambari: 2324343/2324384E-Mail No. ras@dodoma.go.tzFax No. +255 026...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAMKO LA TUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA

TUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORAKitalu Na. 8, Mtaa wa LuthuliS.L.P 2643, DAR ES SALAAMSimu: +255 22 2135747/8; 2137125; 2135222Faksi: +255 22 2111281Barua Pepe: chragg@chragg.go.tzTovuti:...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UBUNGO WAMPOKEA DK. MAGUFULI KWA FURAHA TELE, WASEMA DK. MAGUFULI NDIYO...

 Wakazi wa Ubungo wakimshangilia kwa shangwe mgombea wa Urais kwa Tiketi ya CCM, Dk. Magufuli. Wananchi wakiwamtandikia apite.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANI WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHIJESHI LA POLISI TANZANIA         “PRESS CONFERENCE” TAREHE 23.10.2015. NDUGU WAANDISHI WA HABARI,TUNAJUA KUWA TAREHE 25 OKTOBA, 2015 NI...

View Article


UCHAMBUZI WA HABARI TOKA VITUO MBALIMBALI VYA TELEVISHENI OKTOBA 23, 2015.

Huu ni uchambuzi wa Habari toka vituo mbalimbali vya Televisheni Mchana Huu October 23, 2015.Klabu ya soka ya Azam FC imeendelea kukabana koo na Mabingwa wa Ligi kuu soka Klabu Ya Yanga baada ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE AAGANA NA WATUMISHI WA UMMA

 Katibu Mkuu Kiongozi na Mkuu wa Utumishi wa Umma Balozi Ombeni Sefue akimkabidhi Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete orodha ya zawadi mbalimbali kutoka katika taasisi za umma wakati wa sherehe ya watumishi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAALIM SEIF AKUTANA NA MASHEIKH

  Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar ambaye pia ni Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza na Viongozi wa Taasisi za Kiislamu katika ukumbi wa Baitul-Yamin,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BEI YA MADAFU HII LEO

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

EFM YAKABIDHI KITITA CHA SH. MILIONI MOJA KWA SHINDI WA SHINDANO LA KUBUNI...

 Meneja  wa Mawasiliano  Efm, Denis Ssebo akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani juu ya kumpata mshindi wa  shindano la kubuni maneno ya Kanga kupitia kipindi cha UHONDO ambacho huruka...

View Article

TIMU YA MAGONGO YA TANZANIA KUANZA KIBARUA CHA KWANZA KESHO NA ZIMBAMBWE

TIMU ya taifa ya mpira wa magongo ya wanawake kesho inacheza mechi yake ya kwanza ya ufunguzi dhidi ya zimbambwe itakayopigwa nchini Afrika kusini,katika mashindano kuwania kufuzu michuano ya Olympic...

View Article

MZUSHAJI SMS NYINGINE YA MWAMUNYANGE KIZIMBANI

Na Mwene Said wa blogu ya jamii, Dar es Salaam.George Aloyce Kimaryo amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na shtaka la kusambaza taarifa zauongo kupitia katika kundi la Adios...

View Article
Browsing all 119398 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>