Image may be NSFW. Clik here to view. ![]() |
Mtaalam wa masauala ya kufilisi mali na vitendea kazi vilivyotokana na uhalifu kutoka Afrika ya Kusini Bi. Hermione Cronje akitoa mada kwa maafisa wa idara mbalimbali za Serikali walioshiriki semina hiyo jijini Dar es saloaam leo |
Mkurugenzi Msaidizi idara ya Uratibu wa Kesi, Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka Ayubu Mwenda (wa kwanza kulia) akimsikiliza Bw. Jack Titsworh kutoka STAR Initiative wakati wa mafunzo ya kufilisi mali zilizotokana na uhalifu yaliyofanyika jijini Dar es salaam leo
Mkurugenzi wa Mashtaka Dkt. Eliezer M. Feleshi (katikati waliokaa) kwenye picha ya pamoja na Maafisa wa wizara na idara za serikali(waliosimama) waliohudhria semina ya mafunzo ya kufilisi mali zilizotokana na uhalifu