Quantcast
Viewing all articles
Browse latest Browse all 118031

WAZIRI WA HABARI,VIJANA, UTAMADUNI NA MICHEZO ATEMBELEWA NA MKURUGENZI WA BRITISH COUNCIL OFISINI KWAKE

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara (Mb) akisalimiana na Mkurugenzi wa British Council nchini Sally Robinson (kulia) leo Ofisini kwa Waziri,alipokwenda kumtembelea na kufanya mazungumzo mbalimbali kuhusu tasnia ya ubunifu wa Sanaa na Utamaduni pamoja na jinsi ya kuwajengea uwezo katika fani mbalimbali za sanaa na ujasiria mali.Image may be NSFW.
Clik here to view.
Waziri wa Habari ,Vijana,Utamaduni na Michezo,Dkt. Fenella Mukangara (Mb) akizungumza na Mkurugenzi wa British Council nchini (kulia) Sally Robinson leo alipomtembelea Ofisini kwake jijini Dar es Salaam na kuzungumzia masuala mbalimbali ya tasnia ya Utamaduni.
Waziri wa Habari, Vijana , Utamaduni na Michezo (kushoto) Dkt. Fenella Mukangara akiangalia kipeperushi baada ya kupokea kutoka kwa Mkurugenzi wa British Council nchini,Sally Robinson alipomtembelea leo jijini Dar es Salaam. Picha zote na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO

Viewing all articles
Browse latest Browse all 118031

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>