Quantcast
Viewing all articles
Browse latest Browse all 118030

Mdau Allan Rwechungura alivyosherehekea besdei yake ya kuzaliwa

Birthday boy Allan Rwechungura (kulia) akionyesha ishara ya peace akiwa na marafiki zake waliohudhulia hafla ya siku yake ya kuzaliwa iliyofanyika hivi karibuni kwenye kiota cha maraha cha Mel Moz,Mikocheni jijini Dar.
Mdau Terence (kulia) akiwa na marafiki zake  Philly na Ombeni wakati wa hafla fupi ya kusherehekea kuzaliwa kwa rafiki yao Allan Rwechungura (hayupo pichani).Image may be NSFW.
Clik here to view.
Birthday Boy,Allan Rwechungura (kati) akiwa na warembo waliohudhulia kwenye hafla yake hiyo.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 118030

Trending Articles