Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 120460
↧

Wafanyakazi wa DCB washiriki Kilimanjaro Marathon mjini Moshi.

$
0
0
 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe (Katikati), Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Dk. Anna Mghwira (wa pili kushoto) pamoja na baadhi ya wakimbiaji wa Benki ya Biashara ya DCB wakishiriki mbio za kujifurahisha za kilomita 5 wakati wa mashindano ya Kilimanjaro Marathon 2020 yaliyofanyika katika Uwanja wa Chuo cha Ushirika Mjini Moshi, Kimanjaro leo.
  Wafanyakazi wa Benki ya Biashara ya DCB, wakishiriki mbio za Kilomita 21 pamoja na wakimbiaji wengine katika Mashindano ya Kilimanjaro marathon yalifanyika Uwanja wa Chuo cha Ushirika, Mjini Moshi, Kimanjaro leo.
 Wakimbiaji wa Benki ya Biashara ya DCB, wakipasha viungo kabla ya kuanza mbio za Kilomita 21 za mashindano ya Kilimanjaro Marathon 2020 yaliyofanyika katika Uwanja wa Chuo cha Ushirika Mjini Moshi, Kimanjaro,  leo
 Baadhi ya wakimbiaji wa Benki ya Biashara ya DCB, wakitimua mbio wakati wa mashindano ya Kilimanjaro Marathon 2020 mjini Moshi Kilimanjaro, leo.
Wakimbiaji wa Benki ya Biashara ya DCB, wakipiga picha ya kumbukumbu  mara baada ya kumalizika kwa mashindano ya Kilimanjaro Marathon 2020 katika Uwanja wa Chuo cha Ushirika, Mjini Moshi, Kimanjaro leo.

↧

Viewing all articles
Browse latest Browse all 120460

Latest Images

Trending Articles

<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>