$ 0 0 WAZIRI wa Katiba na Sheria, Mathias Chikawe, akimkabidhi Stashahada mmoja wa wahitimu wa Shule ya Biashara ya Aseki iliyoko Dodoma, ambapo jumla ya wahitimu 158 walihitimu kwa ngazi ya Stashahada na Astashahada.