MBEYA MUBASHARA: Jengo refu zaidi kuliko majengo yote Jijini Mbeya ni jengo hili la Shirika la Umeme la Taifa (TANESCO) lenye ghorofa 11 ambalo lipo katika eneo la Uhindini mkabara na Stendi ya Zamani ya BP Barabara ya Soko Matola katika barabara ya kwenda Uyole Jijini Mbeya.
Picha na Mr. Pengo wa Globu ya Jamii, Mbeya.