TIB Corporate bank (TIB CBL) wameshiriki katika jukwaa la biashara linalofanyika katika ukumbi wa Rock City, jijini Mwanza.
Jukwaa hili limehusisha wadau mbalimbali Ili kujadili na kutambua fursa mbali mbali ktk mkoa wa mwanza Na namna ya kuwezesha maendeleo ktk Fursa hizo.
"TIB CBL ikiwa Ni benk ya serikali inalenga kufanikisha lengo la kuwezesha maendeleo ya nchi hivyo kuhakikisha kuwa watanzania wengi na wadau mbalimbali wanapata huduma Bora kabisa za kibenki Kwa gharama nafuu" amesema Ni Bi Theresia Soka mkuu WA kitengo Cha masoko Na mahusiano ya kampuni wa benki hiyo.
Akiwasilisha mada juu ya huduma zinazopatikana TIB Corporate bank (TIB CBL) ni Bi Theresia Soka mkuu kitengo Cha masoko na mahusiano ya kampuni wa benki hiyo |
Wadau mbali mbali katika picha ya pamoja baada ya kufanyika kwa jukwaa la biashara jijini Mwanza