
Wanafunzi wa shule ya sekondari ya Airport iliyopo jijini mbeya wakiwa wamekamatia soda mkononi kutoka katika kampuni ya Coca-Cola ikiwa ni muendelezo wa kuamsha shangwe na Coca-cola na ujio mpya wa mkanda mwekundu katika chupa za soda ya Coca-Cola.

Mmoja kati ya wanafunzi wa shule hiyo ya Airport iliyopo Jijini Mbeya akijaribu kushiriki shindano la kupiga danadana kwa kutumia Mpira na hatimae kujinyakulia Mpira huo kutoka Coca-Cola.

Mwanafunzi wa shule ya Air Port Sekondari akionesha moja ya zawadi aliyoipokea kutoka Coca-Cola kwanza walipotembelewa shuleni hapo.

Wanafunzi wa shule ya Sekondari Airport wakiwa katika uwanja wa shule yao uliopo katika eneo la jakalanda jijini mbeya kuuonja msisimko na Coca-Cola yenye muonekano wa kuvutia uliozinduliwa hivi karibuni mkoani Mbeya na kuingizwa mtaani ili wanaMbeya waendelee kuamsha shangwe zao na Coca-Cola ya nguvu yenye muonekano mpya wa mkanda mwekundu kwenyechupa za Coca-Cola.
PICHA ZOTE NA FADHIRI ATICK MR.PENGO MBEYA.