$ 0 0 Balozi,Sir George Kahama amefariki leo alasiri katika hospitali ya Taifa Muhimbili,alikokuwa amelazwa kwa matibabu.Mungu ailaze Roho ya Marehemu mahali pema pepono-Amen.Taarifa zaidi za msiba huo tutazipata baadae kidoogo.