Ankal Misupu mzee wa saundi.
Wasalaam aleuikum
Ankal, mimi ni mdau blogu yetu ya jamii wa long taimu xana. Yaani wa siku nyingi kinoma. tangu globu ya jamii inazaliwa bado kichanga vile, nilikua naipakata. Na ki computer changu cha henzi hizo na dial-up, ilikuwa ni lazima niichungulie blog ya jamii mara tatu kwa siku, nitupe komenti mbili tatu za uongo na kweli nianze kucheka vituko vya Peter Nalitolela wa muzumbe univesiti. unaona
Ankal mimi ndo watu wa mwanzoni wa kukomenti kwenye globu yetu. ila leo, nalazazimika kuchukua fursa hii kutoa dukuduku moja tu. Globu ya jamii imebadilika Kuna vitu ambavyo vimepotea na tunavimisi sana. Tumemisi ze- fulunazz ya Ankal, tumemisi konoz za ankal, tumemisi nondozz za mzee wa Oxford, mbishi ngangari us-Blogger, Debates na nondoz zilizoenda shule za economy of walsstreet, Prof.John Mashaka na Dr. hidleband Shayo. tumemiss Salamu za Mtu mzima Baraka wa Chibiriti wa inter milan, huko Cessnia , Mzee wa vitu vitamu vya uhakika, za italy, ma Spania, mzee wa menyu, Chef Issa, na taswira za ankal akiwa vekesheni huko maju. unaona, yaani listi ndefu
itakuwa vizuri sana, you know, kama vipi, ukiwaita hawa waasisi waendeleze libeneke. Au ndio wamekuwa Zilipendwa ma classic? Ankal hawa jamaa walichangamsha sana genge. Globu ya jamii ilikuwa ni kijiwa cha kujiburudisha na kujielemisha. Tunaokaa ugenini bila marafiki, globu yetu ndiye rafiki mkubwa tuliyekuwa naye. Hasa peter nalitolea, Ze fulanazz, US blogger na John Mashaka, Ze Konozz. Tunaomba warudi walikuwa ni entertainers na stress relieves wakubwa sana

Mdau. J Chingwile-
mamtoni , olimpia ugiriki