Mtanzania mtaalamu wa Karate na Yoga Sensei Rumadha Fundi (3rd Dan,Black Belt ) mwenye maskani yake kule marekani juzi Mei 17, 2013 Sensei Rumadha Fundi amekula nondozzz ya "Associate in Applied Science Cardiopulmonary Respiratory Care" katika chuo cha "Collin College, McKinney, Texas, USA.
Sensei Rumadha sasa amekuwa mtaalam wa hewa na gesi ya kupumua (wa Respiratory Therapist) anayetibu mapafu na moyo chini ya maelekezo ya mganga wa mapafu"pulmonalogist.
Respiratory therapist ana majukumu mengi kama kuwatibu wagonjwa wa pumu,COPD,Ephysema,Asthma,TB na majonjwa yote yanayohusu mapafu na moyo. Pia ana uwezo wa kutafsiri damu baada ya kupima hali ya mgonjwa kama ana oxygen ya gesi ya kutosha na kama inahitaji tiba yeyote.
Kwa mengi zaidi kuhusiana na utaalam wa Respiratory Therapist nenda"Who is a Respiratory Therapist? http://en.wikipedia.org/wiki/Respiratory_therapy
Sensei Rumadha Fundi akielekea kuchukua Nondozzzz zake
Sensei Rumadha na mkewe Anita pamoja na mdogo wake Rumadha,Kibwana Fundi katika shangwe
Sensei Rumadha Fundi (mstari wa nyuma) akiwa na wataalamu wenzie wa mapafu
Sensei Rumadha akiwa na ndugu na marafiki. |
Sensei Rumadha akiwa na binamu yake Dotto Haruna