Afisa Masoko na Elimu kwa Umma wa Mfuko wa Bima ya Afya, Grace Michael akimpa maelekezo juu ya shughuli za mfuko Mwenyekiti wa Bodi ya SSRA, Jayne Nyimbo
Mmoja kati ya watu walihudhuria maonesho hayo akipatiwa huduma ya afya na afisa wa NHIF.
AfisaMasokowa SSRA, Naima Bakari akitoa maelezo ya kazi Kuu za Mamlaka kwa wananchi wa Dodoma.
Mmoja kati ya wananchiwa Dodoma akijiandikisha katika banda la SSRA
Afisa Masoko wa SSRA, Naima Bakaria kitoa maelezo ya kazi kuu za Mamlaka kwa wananchi wa Dodoma
Mh Arden Rage akijiandikisha katika banda la GEPF baada ya kupata maelezo ya Mfuko kutoka kwa, Aloyce Ntukamazina na Josephat Mshana
Bw Lewis NgirwaakielezeafaidayakujiunganaMfukowa GEPF
Afisa Uwekezaji wa Mfuko wa Pensheni wa PPF Bi. Anna Shayo akimkabidhi kitambulisho cha uanachama Mh. Margaret Agnes Mkanga, Mbunge wa Viti Maalum mara baada ya kujiunga na PPF alipotembelea banda la Mfuko.
Mbunge wa Viti Maalum Mbeya Mh. Dr. Mary Mwanjelwa akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa Mfuko wa PPF Kutoka kulia ni Afisa Majanga wa Mfuko Bw. Noel Assenga, Meneja Uhusiano Bi. Lulu Mengele na Mhasibu wa PPF Bi. Grace Fihavango alipotembelea banda PPF.