AFISA UTAMADUNI MKOA WA TABORA BW. KATUNZI KATIKA UZINDUZI WA SHINDANO LA MISS TABORA 2013, NDANI YA UKUMBI WA FRANKMAN PALACE HOTEL.
MKALA FUNDIKIRA AMBAYE NI MWENYEKITI WA KAMATI MAANDALIZI YA SHINDANO, AKIELEZEA UFAAFU NA TASWIRA YA MABADILIKO YA HALI YA JUU YA SHINDANO LA MISS TABORA 2013
NASSOR WAZAMBI, MJUMBE WA KAMATI YA MAANDALIZI YA MISS TABORA 2013 AKIKAZIA MIPANGO YA MABORESHO YA SHINDANO LA UREMBO MKOANI TABORA
DADAZZZ WAKIPIGA KWITO MWANZO MWISHO
AFISA UTAMADUNI MKOA WA TABORA, BW. KATUNZI AKIZINDUA SHINDANO KWA KUKABIDHI FOMU KWA MOJA YA WASHIRIKI
BAADHI YA WASHIRIKI WALIOJICHUKULIA FOMU ZA USHIRIKI
KUSHOTO: DIANA, ZENNA (MISS SINGIDA 2012) NA KALUNDE
WAREMBO NDANI YA UKUMBI WA FRANKMAN PALACE HOTEL
(PICHA NA: AloySonBlog)
== == ==
BW. KATUNZI ALIPONGEZA JITIHADA ZILIZOFANYIKA KUHAKIKISHA MKOA SASA UNAJIKITA KATIKA FURSA NZURI ZA KUWAWEKA SAWA VIJANA HAPO MKOANI NA ZAIDI KUNUFAISHA JAMII YA WANATABORA.
AMETOA WITO KWA JAMII KULIPOKEA SHINDANO HILO VYEMA NA KUTOA USHIRIKIANO WOWOTE UNAPOHITAJIKA, IKIWA YEYE MWENYEWE AMESEMA ATAKUWA MSTARI WA MBELE KUHAKIKISHA SHINDANO LINAFANYIKA KWA UFASAHA WA HALI YA JUU.
AKIONGEZEA, AMESEMA KUWA WAZAZI WANATAKIWA KUWA NA MWITIKIO MZURI KWA WATOTO WAO WAKITAKA KUONESHA VIPAJI VYAO KWENYE FURSA MBALIMBALI ZITAKAZO WANUFAISHA KIMAISHA WATOTO WAO.
PONGEZI KUBWA ZILITOLEWA PIA KWA WATU, MAKAMPUNI NA YEYOTE AFANIKISHIE KUTOA MCHANGO WAKE WA HALI NA MALI KUFANIKISHA MASHINDANO HAYO KUFANYIKA.