Quantcast
Viewing all articles
Browse latest Browse all 118116

Wadau Kassian Ernest na Sabina Alexander wamermeta

Wadau Kassian  Ernest  na Sabina Alexander  wakifurahia baada ya kumeremeta katika Ibada ya misa takatifu ya  ndoa yao iliyofanyika katika Kanisa Katoliki Chang,ombe jijini Dar es Salaam, na kufuatiwa na mnuso wa nguvu  iliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Lamada jijini . Bwana Harusi ni mwajiriwa katika Wizara ya Habari Vijana Utamaduni na Michezo na Bi Harusi ni  mwajiriwa  katika Chuo cha Elimu ya Biashara CBE.
 Mdau Kassian  Ernest akimvisha pete mai waifu wake Sabina Alexander
 Maharusi katika mnuso
Pozi la nguvu la kumeremeta

Viewing all articles
Browse latest Browse all 118116

Trending Articles