Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Biashara,Viwanda na Masoko,katika utekelezaji wa kazi za Wizara hiyo katika Ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar. Kkushoto ni Makamo wa Kwanza wa Rais Maalim Seif Sharif Hamad,
Baadhi ya Watendaji na maafisa wa Idara mbali mbali katika Wizara ya Biashara Viwanda na Masoko,wakiwa katika ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar,katika kikao cha Uongozi wa Wizara
hiyo,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,ikiwa katika mpangilio wa Rais, kuzungumzia utekelezaji wa kazi za kila Wizara. Picha na
RamadhanOthman,Ikulu