Quantcast
Viewing all articles
Browse latest Browse all 117961

VIONGOZI MBALI MBALI WASHIRIKI HITMA YA KARUME LEO CCM KISIWANDUI MJINI ZANZIBAR LEO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati) akiungana na waumini wa dini ya Kiislamu na Wananchi,katika kumuombe dua kwa Kisomo cha Hitma iliyosomwa leo katika Ukumbi wa CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar,wakiwemo Rais wa Tanzania Alhaj Dk.Jakaya Mrisho Kikwete,(wa pili kushoto).Image may be NSFW.
Clik here to view.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,akiweka shada la mauwa katika kaburi la Marehemu Rais wa kwanza wa Zanzibar Mzee Abeid Amani Karume,wakati wa Hitma na Dua iliyoombwa na wananchi wa Zanzibar huko Kisiwandui Mjini Zanzibar leo.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 117961

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>