$ 0 0 Moja ya nguzo kuu za kiafya ambazo hazizungumziwi sawasawa kwetu Afrika ni umuhimu wa kuvuta pumzi. Mwandishi Freddy Macha anaanza msururu wa maelezo juu ya shughuli hii muafaka sana kwetu wanadamu.